#clouds360

MOST RECENT

Kesho kwenye #Clouds360 #CloudsTV atakuwepo Mkuu wa wilaya ya Ilala, Mh. Sophia Mjema (@sophia_mjema) ... Cc @babbiekabae @hassan_ngoma @samsasali

Kesho nitakuwa katika kipindi cha #Clouds360 @cloudstv- Karibu uungane nami

#Mate Miili ya watumishi 5 wa Wizara ya Kilimo waliofariki katika ajali iliyotokea Oktoba 21 Wilayani Manyoni-Singida, inaagwa katika viwanja vya Wizara ya Kilimo jijini Dodoma na baadae kusafirishwa kuelekea Bukoba na Dar es Salam kwa ajili ya mazishi.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

#CloudsDigital
#CloudsDigitalUpdates
#Clouds360

UWEZEKANO WA MWANAUME KUPATA SARATANI YA MATITI UPO.

Leo katika kipindi cha #Clouds360 kinachoendeshwa na @babbiekabae,@hassan_ngoma pamoja na @samsasali kirukacho kupitia @cloudstv Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road,Dkt.Julius Mwaiselage ameeleza kuwa "Kiungo cha matiti kipo sehemu zote kwa mwanamke na mwanaume isipokuwa kutokana na maumbile ya mwanamke kipo tofauti,uwezekano wa mwanaume kupata saratani ya matiti upo,titi limeumbwa na chembechembe za kutengeneza maziwa,mwanaume akipata saratani huonekana kwa haraka kutokana titi lake halina nyama"

Dkt.Mwaiselage ameeleza hayo alipoulizwa Je? wanaume wanaweza kupata saratani ya matiti?

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Januari Makamba, amekanusha taarifa kuwa alikamatwa na Polisi kwa ajili ya kumhoji juu ya uhusika wake katika suala la kutekwa kwa Mfanyabiashara Mohamed Dewji, 'MO'. Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Waziri Makamba amesema Polisi walimpigia simu kama rafiki wa Mo, awasaidie kama kuna chochote cha ziada ambacho Mo alimwambia kinachoweza kusaidia uchunguzi

#CloudsDigital
#CloudsDigitalUpdates
#Clouds360

Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, amewasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mkoani Arusha, kuitikia wito wa Jeshi hilo uliomtaka kufika kituoni hapo kwa ajili ya mahojiano.

Lema ambaye ameambatana na Mkewe pamoja na baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wa Mkoa wa Arusha, amewasili kituoni hapo majira ya saa 4.55 asubuhi hii.
Endelea kufuatilia Clouds Digital kwa taarifa zaidi

#CloudsDigital
#CloudsDigitalUpdates
#Clouds360

Kunyonyesha husaidia kupunguza visababishi vya Saratani.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk Julius Mwaiselage yuko #Live #Clouds360 amesema akina Mama wanaonyoyesha watoto wana uwezekano wa mdogo kupata visababishi vinavyosababisha Saratani ya matiti. "Zamani akina Mama walikuwa wakizaa watoto wengi na walikuwa wananyonyesha, lakini kwa sasa hivi kutokana na hali ya maisha wengi wanakuwa na watoto wawili au mmoja na pengine Mama asinyonyeshe, kunyonyesha kunasababisha visababishi vya saratani kupungua." Dk Julius Mwaiselage
Cc. @babbiekabae @hassan_ngoma

Kunyonyesha husaidia kupunguza visababishi vya Saratani.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk Julius Mwaiselage ambaye yuko #Live #Clouds360 amesema akina mama wanaonyoyesha watoto wana uwezekano wa mdogo kupata visababishi vinavyosababisha Saratani ya matiti. .
.
"Zamani akina mama walikuwa wakizaa watoto wengi na walikuwa wananyonyesha, lakini kwa sasa hivi kutokana na hali ya maisha wengi wanakuwa na watoto wawili au mmoja na pengine mama asinyonyeshe, kunyonyesha kunasababisha visababishi vya saratani kupungua"

#Mate Leo kwenye kipindi cha #Clouds360 ya @cloudstv atakuwepo live Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) Dkt. Julius Mwaiselage.
Cc. @babbiekabae @hassan_ngoma @samsasali
#Freedom
#VibeKamaLoteeee

Kesho kwenye #Clouds360 atakuwepo Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk Julius Mwaiselage.. #Usikose #CloudsTV

Swahili coffee stop.
Mobile coffee shops
Why this business mainly runs by people from Dodoma?
A unique flavor which is in Swahili culture.
Learn about Swahili coffee
Roast beans
Grind it by African paste and mortar ( kinu na mchi)
Make kashata
And brew your own coffee
History of coffee since 1898 at Kilema Parish.
About robusta and arabica as types of coffee we grows in Tanzania
#coffee
#swahilicoffee
#swahilitour
#cycletour
#afriroots
#ecoutourisme
#culture
#clouds
#clouds360
#djdommy
#coffeetour

#CloudsDigitalUpdates | #AnaandikaKtinyotz.

Ni rahisi sana kufanikisha Elimu kupitia michezo.. ni rahisi kufanikisha mshikamano kupitia michezo. Ni rahisi kufundisha maarifa ya maisha kupitia Michezo. Watoto zaidi ya 10000 wamehudhuria fainali za JR NBA kwenye eneo la kifalme la Bafokeng. Mfalme anaamini kuwa kwa kushirkiana na NBA Idadi kubwa ya watoto kila mwaka itakuwa inapata scholarship na pia idadi kubwa ya watoto watakuwa wanaelimika. Na amefanikiwa kwa kiasi kikubwa. #RoyalBafokengJRNBA.

S/O @kotinyotz

#CloudsDigital
#CloudsDigitalUpdates
#Clouds360

Msemaji wa Familia ya Mohammed Dewji, Azim Dewji akielezea namna MO alivyopatikana usiku wa kuamkia leo na pia akitoa shukrani kwa Rais Magufuli, Vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na watanzania wote kwa ujumla kwa kushirikiana na familia katika wakati mtoto wao alipokuwa ametekwa

#CloudsDigital
#CloudsDigitalUpdates
#Clouds360

Kwa mujibu wa Kamanda Mambosasa, Mo amewaeleza polisi kwamba kilichosababisha kutekwa kwake ni fedha

#CloudsDigital
#CloudsDigitalUpdates
#Clouds360

Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa akiezelea tukio la kutekwa na kupatikana kwa Mfanyabiashara Mohammed Dewji

#CloudsDigital
#CloudsDigitalUpdates
#Clouds360

Tanga na Fikra Mpya Ndele Mwaselela Mmanta na mdau wa maendeleo ya Elimu atakuwepo katika Ukumbi wa Regal Naivera kutupa madini juu ya Biashara. @tulia.ackson @fursatz #fikrampya #UsichukuliePoa

#CloudsDigital
#CloudsDigitalUpdates
#Clouds360

"Watu wanaongozana tu na timu bila msaada, kazi kujipachika vyeo tu wakifika ugenini wao wanastarehe hotelini na kula posho tu, watu ambao hawana msaada kwa timu wasitumie fedha zetu ambazo zingeenda kwa wachezaji direct." Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.

#CloudsDigitalUpDates
#VibeKamaLoteeee
#CloudsDigital
#CloudsDigitalUpdates
#Clouds360

Tanga na Fikra Mpya atakuwepo mkuu wa Wilaya ya Pangani Mhe. Zainab Abdallah @zainababdallah93 kuelezea jitihada na Fursa mbalimbali za Wilaya ya Pangani tukutane kesho ukumbi wa Regal Naivera kuanzia saa 2:00 asubuhi. #fikrampya UsichukuliePoa @fursatz

#CloudsDigital
#CloudsDigitalUpdates
#Clouds360

#Repost @cloudsfmtz
• • • • •
Haikuwa ndoa, ilikuwa ‘Attention’- Malkia Karen
.
Ile ndoa iliyo’trend’ kwenye mitandao ya kijamii kati ya msanii @malkiakaren na meneja wa wasanii Bongo, @petitman_wakuache haikuwa halisi bali ‘attention’.
.
Taarifa imetolewa na Karen muda huu kwenye #LeoTena.
.
‘’Ilikuwa ni attention ili watu wakae tayari kwa ajili ya ngoma yangu mpya, haikuwa kiki, nilikuwa naogopa sana familia yangu kwa sababu sikutaka wazione picha zangu ndio maana Petit alizitoa kwanza za kwake’’ .
.
Kwanini Petit?
.
‘’ Nimemzoea ghafla tu, kuna maneno yalianza kuenea kuwa natoka naye kimapenzi nikasema ili niiue ile stori ikabidi tutoe hiyo video ya Washa’’ #CloudsDigital
#CloudsDigitalUpdates
#Clouds360

MUZIKI WA INJILI WAVUKA MIPAKA
______________
Mwimbaji wa Gospel, @joellwaga_official amesema kwa muziki wa Injili wa hapa nchini umevuka mipaka na kuenea kwenye baadhi ya nchi za Afrika.
.
. " Muziki wetu umekuwa sana na kutoka nje ya Afrika Mashariki, nimefanya kolabo na mwimbaji wa Nigeria, lakini wanamuziki wengine wanafanya shoo Marekani kama Angel Bernard alikuwa ana'tour' huko"
#UmejuaKunifurahisha
#Clouds360

Most Popular Instagram Hashtags