[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

#bongogossip

2168 posts

TOP POSTS

#RomaMkatoliki amefunguka na kusema kuwa ingawaje Serikali ilimsaidia mpaka kupatikana kwake kipindi alipotekwa  lakini haikumsaidia chochote mpaka kupona kwake. .
.

#Roma na wenzake wanne ambao walitekwa na watu wasiojulikana mwanzoni mwa mwaka huu na kupata majeraha makubwa kwenye mwili wake amekiri wazi kuwa Serikali haikumsaidia chochote mpaka anapona zaidi ya ndugu, Jamaa,marafiki na familia yake.
.
.
#Roma👉 “Lahashaa! Hapana juu kwa juu tuu polisi, polisi Mwananyamala PF3 sijui nini ile, baada ya pale nikajiongoza mimi mwenyewe na familia yangu,so ikawa hivyo tuu“amesema Roma
.
.
Hata hivyo #Roma amesema ameshawasamehe na amewasahau wote waliohusika na kutekwa kwake ila amewaweka wazi tuu Watanzania kuwa hakusaidiwa chochote na Serikali katika kuuguza majeraha aliyoyapata baada ya kutekwa.
.
.
Aliongeza👉“Yaliyopita yamepita tunasamehe,tunasahau waliohusika Mungu atawahukumu na mkono wake na Mungu atupe neema uvumilivu na neema ya kuwasamehe…Lakini usidanganyike na mtu anakwambia sijui alikuja akatoa bugana lake au sijui akatoa hela ya panadol, Lahashaa!“amesema kwenye mahojiano yake na Times FM
.
.
.
#bongogossip

#KassimMganga amesema kuna baadhi ya mashabiki wamembeza baada ya kuweka ndevu zake rangi.
.
.

#KassimMganga ameiambia E-Newz ya EATV kuwa huwa akiamka asubuhi na kujisikia kufanya jambo fulaui huwa anafanya tu bila kujali watu wataongea nini.
.
.
#Kassim👉“Niliamka nikajisikia kuweka mvi kwenye ndevu zangu kama ambavyo siku zote najisikia kufanya kitu kingine. Kwenye kufanya jambo huwezi kumfurahisha kila mwanadamu, unapofanya jambo lazima utegemee yes na no, hivyo mimi nilikuwa nategemea tu, kwa hiyo haikunishtua. Sijui, nikijisikia naweza nikaendelea (kuweka) au nikaacha,” alisema
.
.
.
#Bongogossip

#BarakaThePrince amedai tatizo la nyimbo nyingi za wasanii kutofanya vizuri hivi karibuni ukiwemo wimbo wake mpya ‘Acha Niende’, linatokana na hali ya muziki kubadilika hivi karibuni huku akidai siasa ni moja kati ya vitu vilivyosababisha tatizo hilo.
.
.
#Baraka amedai amegundua wimbo wake mpya ‘Acha Niende’ umeshindwa kufikia malengo kutoka na kipindi kibaya cha mpito ambacho wanakutana nacho wasanii Wengi.
.
.
#Baraka👉“Hali ni ngumu kweli kwa wasanii, nyimbo nyingi ambazo zimetoka hivi karibuni zimeshindwa kufanya vizuri kusema kweli hata wimbo wangu haujafikia kwenye malengo ambayo nilijiwekea wakati natoa au hata nikilinganisha na nyimbo zangu zilizopita,” alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV.
.
.
CEO huyo wa #BanaMusic amedai moja kati ya sababu zilizosababisha hali hiyo kutokea ni matukio ya kisiasa ambayo yamekuwa yakitokea mara kwa mara.
.
.
.
#bongogossip

#BenPol amefunguka kwa kukanusha kwamba siku hizi muziki wake anauendesha kwa kutegema kiki na sio kama zamani alivyokuwa anafanya.
.
.
#BenPol amedai kiki nyingi ambazo baadhi ya watu wanadhani anazitengeneza zinakuja zenyewe.
.
.
#Benpol👉 “Sio kweli kwamba nimekuwa msanii wakiki, siku hizi naweza kupigiwa simu sijui chochote nikaulizwa jambo ambalo hata silijui na kusababisha watu kudhani mimi natengeneza mazingira. Mambo mengi ambayo mmekuwa mkiyasikia yanatokea yenyewe sio kwa kupangwa na mtu,” alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV.
.
.
#Benpol ambaye anafanya vizuri na wimbo wake uitwao, Tatu, amehusishwa kuwa miongoni mwa wasanii wanaotafuta kiki kwaajili ya muziki wake baada ya matukio kadhaa kutokea hivi karibuni likiwemo la mchekeshaji wa Timamu Media, #Ebitoke ambaye alitangaza hadhani kwamba anampenda muimbaji huyo
.
.
.
#bongogossip

#Hascanaamefunguka kuwa #Diamond alimpa fedha #RayC kwaajili ya kufanya video ya unanimaliza kwake lakini msanii huyo alibadilisha mawazo.
.
.
#Hascana👉 “Kwanza Diamond alinifuata na kunambia anataka kumsaidia Ray C kwenye suala la video mi nikakubali na tukakubaliana masuala ya malipo vizuri tu. So baada ya hapo Diamond akampa pesa Ray C ili ifike kwangu tufanye video lakini Ray C akasema amebadili mawazo anataka kushoot na mtu mwingine. Lakini pia mi sikuwa nchini kwa kipindi hicho,” aliiambia Dizzimonline
.
.
Hata hivyo #Hanscana amesema hajaathirika kwa lolote baada ya #RayC kumtosa.
.
.
Aliongeza👉“Kiukweli hakuna kilichoniathiri.....Kwa sababu mi nipo busy sana, hata mtu akichange mawazo inakuwa hainiumizi. Ila kanirahisishia kufanya kazi zingine pia so haikuwa suala baya kwangu.”
.
.

#Hanscana amesema hawezi kutoa maoni kuhusiana na video hiyo kwasababu bado hajaitazama.
.
.
.
#Bongogossip

#Riri na Spanish boy wake 🙌🏻🌺🌸 #rihanna 😍😍
#Bongogossip

Baada ya kujifungua mapacha na kukaa nao kwa muda wa wiki moja na nusu katika kituo cha afya cha UCLA, wakiwa chini ya uangalizi maalumu wa madaktari, hatimaye #Beyonce na mapacha wake waruhusiwa kutoka hospitalini hapo na kuhamia katika mjengo wao mpya.
.
.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, watoto hao ambao wamezaliwa njiti maweruhusiwa kutoka na wameungana na dada yao Blue Ivy pamoja na familia yao katika jumba la kifahari la kukodi lililopo Malibu Estate. Inadaiwa kuwa mjengo huo umewagharimu #JayZ na #QueenBey kiasi cha dola 400,000 ambapo wanatarajiwa kuishi hapo kwa muda wa mwezi mmoja.
.
.
#JayZ na #Beyonce bado wapo katika utaratibu wa kutafuta nyumba nyingine ya kwao ya kuishi baada ya kutoka hapo, nyumba hiyo mpya inatafutwa katika maeneo ya Los Angles
.
.
.
#Bongogossip

Alichoandika #WemaSepetu Baada ya kuona maneno yanayoendelea mitandaoni kuhusu shepu yake, #WemaSepetu ameona sio mbaya kuwajibu wanaoiponda shepu yake kwa kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram.
.
.
#WemaSepetu👉”Shepu ya mwendokasi… Ndo niliojaliwa nayo… Kama imeanzia kiunoni kwenda magotini ndo niliojaliwa nayo… Kama wewe hauna basi mshukuru Allah… Ndo nilivyoumbwa jamani… Sio mimi bali ni Maulana ndo alionibariki nayo… Hata ingekuwa kwanzia kichwa hadi Vidole vya miguuni ni sawa pia… Ndo niliojaliwa nayo…. Sometimes najiangalia kwenye kioo sijimalizi… Ndo majaliwa yangu… Ndo yangu basi… Imenizidia… Allah Subhanah wataallah ndo amenipa… Aaaah….!? Sio shepu ya kawaida… Niacheni na Shepu yangu jamani… Ndo nishaimiliki mie… Siwezi kuitoa…. ” .
.
.
#bongogossip

Msanii wa bongo fleva kutoka mkoani kigoma #Lomodo amewataka wasanii wenge mipango ya kufanya video zao Africa kusini kuwatumia waongozaji 'director' wa hapa nyumbani .
.
Akizungumza na bingwa #lomodo ambaye anafanya vizuri na wimbo wake mpya, #njeyandoto
.
Alisema👉"Tanzania ina waongozaji wa video wazuri lakini wasanii hawawapi nafasi ya kuonyesha uwezo wao.
Nilivyofanya video yangu Africa kusini kwa kushirikiana na Travella nikagungua bongo tuna 'madirector' wazuri ila hatuwatumii ipasavyo , si vibaya kina Ali kiba, diamond na wengine kwenda Afrika kusini na waongozaji wetu wa video"alisema #lomodo ambaye wimbo wake nje ya ndoto unapatikana kwenye tovuti ya wasafi.com
.
.
.
#Bongogossip

MOST RECENT

#BobJunior amefunguka kuwa ukimya wake umetokana na kuwa busy na biasharana studio yake kupata matatizo hivyo baada ya mambo kutulia, anajiandaa kuachia ngoma yake mpya ya #rap.
.
.
#BobJunior👉“Nilikuwa nasafiri sana na mzazi wangu kwenye biashara zake, lakini pia kwenye studio yangu nilipata matatizo mafaili mengi na kazi nyingi za wasanii zilipotea. Lakini pia nilikuwa na michakato ya kubadili vyombo, so vitu vingi sana vilitokea.”aliiambia dizzimonline
.
.
Aliongeza👉“Lakini mashabiki wasijali maana kwa sasa hivi nimekuja na kazi mpya kutokea hapa hapa studio yangu na kwa awamu hii nimekuja na ngoma ya kurap na kuimba na nina uhakika mashabiki zangu wataenjoy kazi hizo, so waendelee kusubiri soon tu mizigo itaachiwa,” .
.
.
#Bongogossip

Baada ya kujifungua mapacha na kukaa nao kwa muda wa wiki moja na nusu katika kituo cha afya cha UCLA, wakiwa chini ya uangalizi maalumu wa madaktari, hatimaye #Beyonce na mapacha wake waruhusiwa kutoka hospitalini hapo na kuhamia katika mjengo wao mpya.
.
.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, watoto hao ambao wamezaliwa njiti maweruhusiwa kutoka na wameungana na dada yao Blue Ivy pamoja na familia yao katika jumba la kifahari la kukodi lililopo Malibu Estate. Inadaiwa kuwa mjengo huo umewagharimu #JayZ na #QueenBey kiasi cha dola 400,000 ambapo wanatarajiwa kuishi hapo kwa muda wa mwezi mmoja.
.
.
#JayZ na #Beyonce bado wapo katika utaratibu wa kutafuta nyumba nyingine ya kwao ya kuishi baada ya kutoka hapo, nyumba hiyo mpya inatafutwa katika maeneo ya Los Angles
.
.
.
#Bongogossip

#RomaMkatoliki amefunguka na kusema kuwa ingawaje Serikali ilimsaidia mpaka kupatikana kwake kipindi alipotekwa  lakini haikumsaidia chochote mpaka kupona kwake. .
.

#Roma na wenzake wanne ambao walitekwa na watu wasiojulikana mwanzoni mwa mwaka huu na kupata majeraha makubwa kwenye mwili wake amekiri wazi kuwa Serikali haikumsaidia chochote mpaka anapona zaidi ya ndugu, Jamaa,marafiki na familia yake.
.
.
#Roma👉 “Lahashaa! Hapana juu kwa juu tuu polisi, polisi Mwananyamala PF3 sijui nini ile, baada ya pale nikajiongoza mimi mwenyewe na familia yangu,so ikawa hivyo tuu“amesema Roma
.
.
Hata hivyo #Roma amesema ameshawasamehe na amewasahau wote waliohusika na kutekwa kwake ila amewaweka wazi tuu Watanzania kuwa hakusaidiwa chochote na Serikali katika kuuguza majeraha aliyoyapata baada ya kutekwa.
.
.
Aliongeza👉“Yaliyopita yamepita tunasamehe,tunasahau waliohusika Mungu atawahukumu na mkono wake na Mungu atupe neema uvumilivu na neema ya kuwasamehe…Lakini usidanganyike na mtu anakwambia sijui alikuja akatoa bugana lake au sijui akatoa hela ya panadol, Lahashaa!“amesema kwenye mahojiano yake na Times FM
.
.
.
#bongogossip

Alichoandika #WemaSepetu Baada ya kuona maneno yanayoendelea mitandaoni kuhusu shepu yake, #WemaSepetu ameona sio mbaya kuwajibu wanaoiponda shepu yake kwa kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram.
.
.
#WemaSepetu👉”Shepu ya mwendokasi… Ndo niliojaliwa nayo… Kama imeanzia kiunoni kwenda magotini ndo niliojaliwa nayo… Kama wewe hauna basi mshukuru Allah… Ndo nilivyoumbwa jamani… Sio mimi bali ni Maulana ndo alionibariki nayo… Hata ingekuwa kwanzia kichwa hadi Vidole vya miguuni ni sawa pia… Ndo niliojaliwa nayo…. Sometimes najiangalia kwenye kioo sijimalizi… Ndo majaliwa yangu… Ndo yangu basi… Imenizidia… Allah Subhanah wataallah ndo amenipa… Aaaah….!? Sio shepu ya kawaida… Niacheni na Shepu yangu jamani… Ndo nishaimiliki mie… Siwezi kuitoa…. ” .
.
.
#bongogossip

#EnockBella amefunguka kuwa wimbo wake wa #Mkuyu ulivuja na ulitoka bila idhini yake.
.
.
#Enock👉 “Unajua mwenyewe nilikuwa sijui kabisa kama ngoma imetoka na sijui nani alikuwa ameevujisha,”aliiambia dizzimonline
.
.
.
Aliongeza👉 “Kuna mshikaji wangu mmoja wa Kenya alinipigia na kuisifia ngoma yangu, ki ukweli nilishaanga sana kwasababu nilikuwa bado sijaachia na yeye aliipata kupitia magroup ikanibidi nimtafute Maxmizer nikamuuliza juu ya ngoma yangu kuvuja lakini hakusema hasa ni nani na alijionesha kama hajui kitu chochote.....Kiukweli tulikolomeana sana, ila ndio basi imeshatokea.”
.
.
Pamoja na yaliyotokea, #Bella amewaomba mashabiki waendelee kuisupport ngoma hiyo
.
.
.
#bongogossip

#LuluDiva kusema amemblock msanii mwenzie #Linex katika mtandao wa instagram kutokana na kupishana kauli. Sasa #Linex amesema hamjui msanii huyo.
.
.
Licha ya kukiri waliwahi kuwa washikaji, Linex ameiambia E-Newz ya EA Radio kuwa hamkumbuki #LuluDiva kama mwanamuziki ila anamkumbuka kama shabiki tu.
.
.
#Linex👉“Wewe unaweza kumaindi kublokiwa na mtu ambaye hata haumjui, kwanza sidhani hata kama namba yangu anayo, sijui hata nimemfollow kwanza. Sio lazima kila mtu akujue, mimi mwenyewe naweza nikapita mtaa na mtu asinijue na niwezi kumkasirikia, kila mtu yuko bize na mambo yake, kwa hiyo there no way kila mtu akujue wewe ni nani,” .
.
.
#bongogossip

#DiamondPlatnumz amesimulia kugongana kwa wazo la uandishi wa ngoma yake ya ‘I miss You’ na wimbo wa ‘Hello’ wa Staa wa Uingereza #Adele.
.
.
Akizungumzia sababu zilizochangia kuchelewa kutoka wa wimbo huo wa ‘I miss You’ Diamond amesema kuwa akiwa nchini Italia baada ya kusikiliza wimbo mkubwa wa Hello wa Adele aligundua kufanana kwa mwanzo wa ngoma hiyo na matumizi ya neno la ‘HELLO’ hali ambayo ilimpa hofu ya kuhisi kuwa atakapoachia wimbo huo ataonekana kuwa alitumia wazo la mtu.
.
.
#DiamondPlatnumz👉 “wakati nimeandika hii nyimbo ninayo ndani…mimi nimesafiri nimeenda Italy, mara ya kwanza nasikia ile nyimbo ya Adele ile ya Hello nilikuwa niko na meneja Sallam…nikapagawa, nikasema mbona huyu kaimba kama mimi nilivyoanza mwanzo alafu nyimbo ninayo ndani!?. Nafikiri hiyo pia ilichangia nyimbo isitoke nisije kuonekana nimemuiga huyu…kwasababu sometime idea zinagongana” Alisema .
.

Hata hivyo ameitaja ngoma ya ‘I miss you’ kuwa ni ngoma ambayo iliandika kwa hisia sana ambapo wazo la wimbo huo alilipata akiwa safarini.
.
.
.
#bongogossip

#Darassa ameweka bayana kigezo ambacho anaangalia iwapo mtu anamuhitaji kumsainisha katika lebo...........ameeleza kuwa kwanza linapokuja suala la lebo ni biashara ambayo unapaswa kuridhia na kujua maslai yako wapi.
.
.
#Darassa👉 “Mtu kama mimi huwa sipiganii maslai yangu tu kwa sababu naamini ningekuwa napigania maslai yangu tu ningekuwa na mafanikio makubwa kuliko wasanii wengine wote kwa kitu ambacho nimekipata lakini huwa naangalia na watu wanaonizunguka kwa kuwa sifanyi hivi vitu pekee yangu,” ameiambia XXL ya Clouds FM na kuongeza
.
.
Aliongeza👉“Kwa hiyo kutoka kwenye lebo moja kwenda nyingine lazima niangalie na watu wanaoniamini, nimetembea nao safari ndefu lazima ni angali na wao watabaki katika nafasi gani kitendo cha mimi kuchukuliwa kwenda kusaini lebo nyingi.”
.
.
.
#bongogossip

#SaidaKaroli amedai kuwa mikataba aliyokuwa akiingia na mapromota wa muziki hapo mwanzoni ilikuwa inaandikwa kwa lugha kiingereza hivyo ilimpelekea kuweza kunasa kwenye mitego mingi...... amesema sababu hiyo ndiyo iliyopelekea muziki wake kupotea na yeye mwenyewe kutosikika kwa kipindi kirefu.
.
.
#Saida👉 “Mikataba mibovu ndiyo iliyonifanya nishuke kiasi hicho. Nilikuwa nikipewa mikataba ya kiingereza wakati sikuwa nikijua kusoma wala kuandika, hivyo sikuwa nikijua kilichokuwa kikiandikwa kwenye mikataba ile,” amesema katika mahojiano na gazeti la Mtanzania.
.
.
Mkali huyo kutoka Bukoba ameongeza kuwa, kwa sasa anajua kusoma na kuandika vizuri lugha hiyo [kingereza] pia anatumia Kiswahili katika mikataba yake ya sasa itakayokuwa akiingia
.
.
.
#bongogossip

#NikkiwaPili amenyoosha maelezo ni kwa nini hajatoa nyimbo mbili kwa pamoja kama alivyotangaza hapa awali.
.
.
#NikkiwaPili ameeleza kuwa vyombo vya habari Bongo bado vina uoga wa kucheza nyimbo mbili au zaidi za msanii kwenye kipindi kimoja,  huku akibainisha kuwa alipanga kutoa wimbo wa Quality Time ambao tayari umeshatoka, na mwingine ‘Mawindo’ lakini Quality Time ilipoanza kufanya vizuri watu wake wa karibu walimshauri aiache iende.
.
.
#NikkiwaPili👉“Kingine ni kwamba media za Bongo bado zina uoga fulani wa kucheza nyimbo mbili za msanii kwenye kipindi kimoja, huo utamaduni bado upo na ninafikiri wale wanaosema muziki umekua watafakari hilo suala, tumeona wakina Drake wanaingiza nyimbo 20 Billboard, lakini (hapa) media zinaogopa,  ni kitu kinanishangaza,” aliiambi E-Newz ya EATV .
.
Aliongeza👉“Ndio maana Tanzania ni ngumu kumkuta msanii ana-hit tatu kwa wakati mmoja lakini ukienda Nigeria ni sawa kwa sababu ukienda kwenye playlist ya Nigeria unakuwata Davido na nyimbo mbili zinakimbiza, Wizkid ana ngoma nne lakini hapa ukito ngoma mbili wanasema hawawezi kupiga zote,” .
.
.
#bongogossip

Baada ya #Jux kuhitimu Degree ya Computer Science katika Chuo Kikuu cha Guangdongkilichopo Guangzhou, China na baada ya kupost picha zake za graduation ameamsha hisia za mastaa wengi ambao hawakusita kumpongeza.
.
.
Miongoni mwao ni mwimbaji staa #DogoJanja ambaye licha ya kumpongeza #Jux kwa hatua hiyo hakusita kuelezea kilichopo moyoni mwake kwa kusema anatamani siku moja arudi shule.
.
.
#Dogojanja👉 “Kwanza napenda kumpongeza Juma Jux kwa kuhitimu masomo yake na ni furaha kuongeza mwanamuziki msomi katika kiwanda cha muziki wa Bongofleva. Ni kitu kikubwa sana.....Mimi binafsi nimefurahi kwa sababu watu wengi wanatamani kufika kama alipofika Juma especially mtu kama mimi kwa sababu nimekuwa nikitamani kurudi shule. Nimekuwa nikitamani kuona na mimi navaa madude kama yale. So, ni kitu kikubwa sana"
.
.
Aliongeza👉“Kitu nachoweza kusema ni kwamba, muda wowote na saa yoyote pia mi naweza nikarudi shule kwa sababu ni kitu ambacho kinaniumiza sana kwenye maisha yangu nikiona wenzangu kama hivi. Wanafanya muziki, biashara, elimu. Mi niko na vitu viwili tu muziki na biashara lakini elimu ndio kitu ambacho kinamiss katika carrier yangu. So, In Shaa Allah as soon as possible Mwenyezi Mungu akijaalia tunaweza kufanya jambo kwa sababu umri, muda unaenda.” .
.
.
#Bongogossip

#Jokate Mwegelo, ameweka wazi kuwa anatamani kuwa na watoto mapacha katika maisha yake.
.
.
#Jokate ameliambia Gazeti la Mtanzaniakuwa mwanamume atakayekuwa mume wake atamuweka wazi hivi karibuni lakini anapenda wawe na watoto mapacha atakaowalelea kijijini.
.
.
#Jokate👉“Kuna umri ukifika unajikuta unatamani kupata mtoto, napenda nipate watoto mapacha na wote niwalee maisha ya kijijini na mjini ili wajue maisha ya pande zote. Napenda niwalee watoto hao maisha ya kijijini ili wajifunze kilimo, kula chakula vya asili na wajifunze tabia nzuri na za kupendeza jamii,” alieleza
.
.
.
#bongogossip

#Jackline Wolper amedai anataka kurudi shule mara baada ya kuona picha za #Jux alizopiga katika mahafali yake ya kumaliza elimu ya juu nchini China.
.
.
#Wolper kupitia instagram ameandika👉“nimekumbuka mbali kweli nilivyoiona hii picha, nakumbuka siku hizo mwenyewe ndo nakupeleka airport unaenda kuanza kusoma mpaka na mimi nilitamani kuwa mwanafunzi ili twende wote yaani naandika hii caption huku nasmile nikikumbuka hiyo siku ndo unaenda kusoma mwenyewe…am very happy for you mwanafunzi wangu! yani verrrrry happy…!"
.
.
Aliongeza👉 “hongera sana siku hizi vijana wanafanya yote na shule ipooo ndo unazidi kuwa mnyamweezi, mimi mwenyewe hapa nataka nirudi shule ya kutafuta hela manake maisha magumu sana… Hongera sana kwa kuhitimu..!!nisaidieni kumtag mwanafunzi wangu,” .
.
.
#bongogossip

Most Popular Instagram Hashtags