#alikiba

12413 posts

TOP POSTS

Trending:- 21 AUG

#EXCLUSIVE: DIAMOND KAMCHANA ALI KIBA
-
"Kuni-compare na Cinderella haiwezi kuwa Fresh"- Huu ni mstari wa Diamond Platnumz kwenye Remix ya FRESH.

Niachie Comment yako hapa.
#DiamondPlatnumz x #Alikiba

Kama wewe ni miongoni mwa shabiki unaemchukia #AliKiba, basi hii ndio Tweet yake.
#officialsocialbuzz

Aliyefundwa Yupo Hivii Kweli? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Song:lini @navykenzoofficial ft #Alikiba
Cc @aikanavykenzo x @officialalikiba #RockStar4000Family Wa πŸ’ͺπŸ’ͺ

.
TOFAUTI KUBWA KATI DIAMOND NA ALIKIBA KATIKA KUTAMBULISHA WIMBO MPYA .
.

Eeenhee! sasa hapa ndio utagundua nani anatumia nguvu nyingi kufanya ngoma yake ionekane nzuri/kali wakati ni ya kawaida au mbaya kabisa. .
.

Ikifika siku ya kutambulisha ngoma zao mpya kwa hawa wasanii wawili (#Diamond na #Alikiba) huwa wanapewa Attention kubwa sana na mashabiki zao, Huyu mmoja Ukianzia tu kwenye Interview yake siku hiyo ya kutambulisha wimbo wake mpya ataanza kwa mikwara mara ...'oooh sijui nina ngoma nyingi ndani nina stock ya kutosha, kolabo za kimataifa nilizo fanya na wasanii wakubwa nikisema nianze kuyaachia madude hapa..bro we acha tu in Diamond Platnumz'voice, na kama akitoa boko sasa atatumia ushawishi alionao kuiamisha jamii kuwa wimbo wake ni mkali ila huyu mwingine kwanza anaweza asifanye Interview kabisa akapost tu mtandaoni kuwataarifu mashabiki zake kwamba wimbo wake/Video itachezwa kwa mara ya kwanza kwenye kituo flani cha Tv labda MTV BASE na hata akitoa hit song kwa upande wake atachukulia kama kitu cha kawaida kwake tofauti na yule mwingine kwanza ataanza mbwembwe za kuonesha post za vituo vikubwa ambavyo vimecheza huo wimbo, Video ya wimbo huo ukifikisha views milion moja tu atapost, sijui mdada gani mzuri kajirekodi video akiwa anacheza wimbo wake atapost, Dah yani vurugu mechi. ni mambo ya kizamani kwa msanii yeyote kupost mtu anacheza wimbo wake tena kwa msanii mkubwa kama Diamond ni ushamba shabiki mwingine atajirekodi kivideo akicheza huo wimbo wako lakini sio kwamba anaupenda bali ni kutaka kupostiwa kwenye page yako yenye wafuasi wengi ili auze sura tu. Msanii kama wewe unatakiwa umpost mtu kama Chris Brown au Rihanna ikitokea ameshow love kwa kucheza wimbo wako au Celebrity yeyote mkubwa kwasababu wao wana ushawishi kiasi flani pia atakuongezea views kwenye video ya wimbo wako maana wengi watataka kumjua ni msanii gani kauimba wimbo huo, lakini ety unakuta msanii anapost video ya Mwajuma wa Tandale (samahani wakina mwajuma ni mfano tu) akiwa anacheza wimbo wake ili iweje sasa...anishawishi na mimi niupende au...? Ni upuuuzi!!! Haya mambo waachie wasanii wadogo kama wakina Baraka Da Prince
.
.

Oooooookay! #nimtazamo_tu.

From @tu_brain_dagar_man - #ALIKIBA Live on stage in frankfurt city Germany Alongside #tu_brain #unlimited_ginger πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯DATE 5TH AUGUST 2017 go get ur ticket now party people save the date contact Unbeatable Djstone your v.i.p table now πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸŽ™πŸŽΌπŸŽΌπŸŽΊπŸŽ™πŸŽΉπŸŽΈπŸŽΆπŸŽΆπŸ”Š Please share this video πŸ‘πŸ‘πŸ‘
@kiba_family1 @transportefn @iamterryg @b_babyyyyy @ashleylve12 @Diasponight @marlieskt @yomistone @nice_steffi @mix_master001 @deejey_buuchezo

Pata Burudani Na Matangazo Na Story Kibao Za Kumuhusu #Alikiba Tu Hujachelewa Follow Now @alikiba_rockstar4000 @alikiba_rockstar4000 Uweze Kupata Vitu Vizuri

Only him who make them with their team uncomfortable! Go kiba go kiba goooo
And i wish ungebeba na bendera ya kenya kabisa
Maana hiyo kwenye kofia naona haitoshi because we love Tanzania but Tanzania don't love us backπŸƒπŸƒπŸƒ
#kingkiba @officialalikiba
#oneafricamusicfest
#betawards2017 #alikiba @officialalikiba
#betawards2017_alikiba

MOST RECENT

Kama wewe ni miongoni mwa shabiki unaemchukia #AliKiba, basi hii ndio Tweet yake.
#officialsocialbuzz

Trending:- 21 AUG

#EXCLUSIVE: DIAMOND KAMCHANA ALI KIBA
-
"Kuni-compare na Cinderella haiwezi kuwa Fresh"- Huu ni mstari wa Diamond Platnumz kwenye Remix ya FRESH.

Niachie Comment yako hapa.
#DiamondPlatnumz x #Alikiba

Kiistoria #alikiba ni msanii bora kuliko doma a.k.a mond

HP
Specifications
RAM 2GB
HDD 80GB
PROCESSOR ATOM
Tsh.200,000/=
Contact 0658446176,0656595499,0715312046,0718586289
#laptop #laptoptz #brineso #kingkiba #alikiba #shilawadu
@teknokona

Yaaas come through with the body

Most Popular Instagram Hashtags