#afroswagga

MOST RECENT

Walewanao Sema Her Dress Is Soo Simple Let Us Know How Better You Could Have Done Not To Outshine Kate's Dress ====================================
#Afroswagga #RoyalWedding

#Royalwedding | Kutana Na #davidbeckham A.K.A Ebuka Wa England Na #priyankachopra A.K.A Elizabeth Michael ================================
Sema Priyanka Viatu Kama Ka-Force Hivi
===============================
#Afroswagga

#Royalwedding | She Lives For Colors... #queenelizabeth Chose Neon & Purple Outfit For #meghanmarkle & #princeharry Wedding ===============================
That Bag Though 👏👏👏
================================
#Afroswagga

#Royalwedding | #meghanmarkle Chose A Simple Off Shoulder #givenchy Dress.... Wanasema Upele Umpata Asie Na Kucha Enhe....!!!! Meghan Na Fatima Dangote Are The G's ================================
#princeharry 😱🔥🔥🔥#afroswagga

#Royalwedding | Fav's So Far... Colorful Outfits ========≠=======================
#earlspencer #amalclooney #ladykittyspencer #afroswagga

#royalwedding | #oprahwinfrey Ame Attend The Rota Wedding In Pink #stellamccartney Dress
=================================
Inasemakana Alikua Avae Nyingine But Imeonekana Kuwa Too White, Two Lessons we Learnt Here
.
. • Kufikiria Kuhusu Bibi Harusi (Thank You Oprah Huku Africa They Slay Outta The Bride )
.
.
•Always Have A Plan B.... Sio Oh Mbunifu Kaniharibia ================================
#afroswagga

#royalwedding | Idris Elba Fiancee #sabrinadhowre AME attend the Royal Wedding In Gucci Outfit ( Gucci Gang) Kuanzia Shoes,Mkoba Na Hio Cardigan Well How Extra Guccing Is She? (Hope Mmeelewa) =================================
#afroswagga #guccigang

#ASredcarpetreview | Hizi Ndizo Outfits Alizo Zivaa Mwanamitindo Miriam Odemba Katika Red Carpet Ya Cannes Film Festival ===============================
Tumefanya Review Kwenye Blog Click Link Kwenye Bio Au Visit Afroswagga.com & Let Us Know Outfit Ipi Imekupendeza Zaidi
===============================
#cannes2018 #cannesfilmfestival #redcarpet #afroswagga

The Goal Is To Never Rewind Your Age Kusema Unamiaka 20 Wakati We All Know Una 30, But The Goal Is To Look 18 While Your 30....!!!!! #kaedirty30 Bih We Are Inspired ==================================
Tag That Person Who Is Always 18 & Say Nothing 😂😂😂
================================
#bodygoals #afroswagga

Ya'll Remember Ile Dress Mac Couture Alimvalisha Wema? Wema Kapata Twin =================================
Imefika #cannesfilmfestival bwana Huyu Muigizaji Kutoka Ghana Amevaa Same Dress... Tulisha Wahi Kuandika Huyu Dada Huwa Anakomoa Kwenye Red Carpet Ila Hii Katuangusha Big Time....!!! Chochote Ambacho Our Designers Wanajaribu Kufanya Na Hii Nguva au Mwamvuli It's A No To Us....
==================================
Ingia afroswagga.com kusoma zaidi
================================
#ASredcarpetreview #redcarpet #redcarpetlooks #redcarpetreview #afroswagga

Tume Review Collection Ya @mimas_collection_ Katika Blog.
Ni moja Kati Ya Collection Zilizotuvutia Katika @starafashionweek
=================================
Her Collection Was Modest & Chick Lakini Kuna Ambayo Kidogo Tumeyaona Yameenda Kushoto So Head Over To Afroswagga.com Na Utuambie Wewe Wapi Kakufurahisha Na Wapi Kakosea.
================================
#modest #modestswimwear #modestfashion #modeststyle #modestdesigner #afroswagga

Sometimes What You Need Is A Little Pop Of Color....!!!!
==================================
#modest #modestfashion #modestswimwear #modeststyle #afroswagga

So June 2 Kuna Pop Up Shop Kubwa Iliyo Andaliwa Na @swahilifashionweek Inafanyika Nyumbani Kwa Balozi Wa Italy
=================================
Tuna Meza Moja Ambayo Tunaitoa Give Away Kwa Upcoming Designer (Wabunifu Chipukizi)
==================================
Repost Hii Post Na #afroswagga Atakae Pata Valid Likes Nyingi Anakua Mshindi.... Tag A Mate Unaemiaminia Anaweza Pata Meza Hii Kushow Case Bidhaa Zake.
=================================
Ps Terms And Condition Ni Umention @swahilifashionweek Na @afroswagga
#forourmate #afroswagga

#talkinginvestments | This little Balenciaga Handbag Inauzwa $2,000/ Sawa na Tzs 4,679,022.90/- ===================================
Tumeispot Kwa Fashionista #tokemakinwa Na #ebubenwagbo Huyu Ebube Ndio Anazo Mbili Na Mabalaa Yake.
===================================
#mates would you buy this samosa (sambusa) shaped bag kwa hio bei? Remember It's Balenciaga =================================
#balenciaga #balenciagabags #handbags #afroswagga

#ramadhaniedition | Namna Unavyo Weza Kustyle Au Kutumia Mavazi Yako Ya Kila Siku Katika Mwezi Huu Wa Ramadhani Ipo Kwenye Blog
===================================
Kwenye Picha Katumia
. •Tuxedo Dress .
•Off White Belt .
•Skin Jeans ================================== PS: Kama Unaona Hii Haiendani Na Wewe Au Mawazo Yanatofautiana Subiri Post Yako Please Maswala Ya Huu Sio Uhalisia Mtupumzishe Please Ndo Kwanza Chungu Cha Kwanza #alamseek =================================
#modest #modestfashion #modeststyle #hijab #hijabfashion #hijabstyle #afroswagga

Eyebrow stamp kit....
Karibuni wateja wajumla na rejareja!! Inarahisisha kupaka wanja na haichagui uso kabisa!!
Rejareja elfu 38
Jumla whatsapp no +255718865606
Kwa maelezo namna ya kutumia tembelea page yangu utapata video.
Weekend mzigo unaingia Dar waliooda watapewa kipaumbele!!
Karibuni
#eyebrowgame #instaprenuer🇹🇿 #instapreneur #afroswagga
#Fashionkits #fashioncop

#wedswednesday | How Gorgeous Is This Bride?
===================================
Designer: @kyamirwa
Mua : @cherie_mals ================================
#wedding #weddingdress #weddingmakeup #weddingphotography #afroswagga

#ASfashioncourt | So Tumeona Hii Issue Ikiendelea As Fashion Ambassador Imebidi Tulitolee Maelezo Nani Alipatia Na Nani Alizingua Siku Hii.... Maana Sio Wanajisifia Wenyewe Tu.....
===================================
Tembelea Afroswagga.com Kusoma Zaidi Kisha Tuambie Wewe Unahisi Nani Kapatia?
==============================
#fashioncop #fashioncourt #afroswagga #redcarpetlooks #redcarpet #redcarpetsaga

#hairtips | Tips For How To Blow Dry Natural Hair
=============================================
Moto Si Mzuri Katika Nywele Zetu Lakini Natural Hair Zinajulikana Kwa Kujikunja Sometimes Unahitaji Straight Hair Na Jibu Ni Ku-blow Dry Lakini Unawezaje Ku-blow dry Na Kuzifanya Ziwe Less Damaged? ==========================================
Osha na deep condition nywele zako - usiblow dry nywele zikiwa kavu au chafu, osha nywele zako na uziache zikae kwa dk 10-15 kisha ndio uziblow dry.
===============================================
•Detangle na chana nywele zako vizuri kabla ya kuzi-blow dry - hii itasaidia kufanya nywele zinyooke na zisitoke/kukatika wakati una zi-blow dry
=========================================================
•Paka heat protector - unaweza kutumia mafuta ya nazi au heat protector nyingine zinauzo uzwa madukani hizi husaidia kulinda nywele zako na moto utokao katika blow dryer na kufanya usifikie nywele direct
===================================
For More Ingia Afroswagga.com
===============================
#hairstyles #naturalhairdoescare #naturalhair #hairtreatment #afroswagga

Most Popular Instagram Hashtags