#Visasi

MOST RECENT

Hasira ni sawa na jiwe la barafu ,Ambalo hukuganda ktk Moyo lakini baada ya Muda flani huyeyuka, Ahsante MUNGU kwa kutuumba wenye Moyo Mfano jiwe hilo kusahau na kusamehe kwa walio tuuzi na kutukosea, Kwani nacho Nikipimo sahihi kwakwo kwa sisi waja wako.

FAHAMU HIVI:Mimi Na Wewe tumeumbwa kusahau na Kusamehe pia, Kwani pasipo kusahau na kusamehe #VISASI Havikomi

#Tatizo La #Wivu Na #Chuki Humuadhibu #Alievibeba Na Havina #Madhara Kwa #Mlengwa Mpaka Vitakapogeuzwa Kuwa #Visasi..... #Natambaaaaaa..... """""""""""""""""""""#KiNyOkO #KiMeNyOkOkA""""""""""""""""""""""

#Tatizo La #Wivu Na #Chuki Humuadhibu #Alievibeba Na Havina #Madhara Kwa #Mlengwa Mpaka Vitakapogeuzwa Kuwa #Visasi..... #fFsh_Market .... """""""""""""""""""""#KiNyOkO #KiMeNyOkOkA""""""""""""""""""""""

#Tatizo La #Wivu Na #Chuki Humuadhibu #Alievibeba Na Havina #Madhara Kwa #Mlengwa Mpaka Vitakapogeuzwa Kuwa #Visasi..... #Natambaaaaaa..... """""""""""""""""""""#KiNyOkO #KiMeNyOkOkA""""""""""""""""""""""

Siku tutakapoacha kua #wabinafsi, tukaondoa #chuki na #visasi katika nyoyo zetu. Ndo siku ambazo mapenzi kwa walotuzunguka yatakapokua na thamani zaid kuliko hata wingi wa mali zetu.
Hii dunia ndogo sana, na hujui nani atakua nani katika maisha yako, hujui yupi atakuja kukushika mkono akakuonesha njia wala humjui atakaekuja kukufunga macho akakufunika,akakuvisha sanda na kukuweka kwenye mwanandani.
Matukio katika maisha yasitujengee chuki, tujifunze kufikiriana na #kusameheana.
dunia inahitaji mapenzi zaidi na sio chuki,visasi na ubinafsi.
#Tupendane

Hii alama ya #KOPA inamaana nyingi kwangu naiyelezea kwenye #UPENDO napenda kuonyesha UPENDO kwasababu Mimi binafsi napende #UPENDO iliuwe na upendo jitaidi kushinda ROHOH ya #visasi #rohohmbaya isiyo na maana NK. ilipia uwe na #MOYO Wa upendo jitaidi kujitoah bila kujali kuthamini kityu atakama kinaweza kisidumU but usijar onyesha #UPENDO Robby John Nina #UPENDO.

Unaweza ukawa ulijijengea #Heshima kubwa kwa #Taifa au Jamii iliyokuzunguka ukaja itoa heshima ile kwa kukosa #Busara na #Hekima, wakajilaumu kumbe #TulipotezaMuda mwingi kuheshimu watu wenye #Visasi na wasiyojua maana ya #MtotowaMwenzioNiWako
.
Kipimo tuwapimiacho Wenzetu ndio tutakachopimiwa na sisi, haupo ujanja wala uhodari kuishi kwa kukomoana
.
Upo wakati sahihi wa Mungu, aliyeifanya #BahariYaSham kupatikana njia #WanawaIsrael wakapita #Salama,...,its true DADY'S COMING Lulu Michael, @elizabethmichaelofficial MUNGU hajawahi kushindwa 😭@drchenitz @mwanasweke
.
Cc:@paulmakonda @majizzo

@Regranned from @mc_nurath - Ndoa ni nini? Hivi ndoa ni watoto? Je wasiyozaa hawana haki ndani ya ndoa?
.
Utakuta wengi wakisema #Ndoa imenichosha mume/mke si mwaminifu, aaaah yaani naishi tu kwaajili ya wanangu
.
Hivi kila MTU na hamsini zake, yeye ana #Kimchepuko na Mimi naondoa #Stress zangu nina #BoyFriend maisha yanaendelea..., watoto wanasukumiwa #SHULEZAKULALAHUKOHUKO, wazazi wapo busy kushindana nani zaidi, na sisi akina mama tunajitahidi kuifikia 50/50 hivi huu ndio mpango wa MUNGU?
.
NIWAKUMBUSHE AKINA MAMA, MWANAMKE NI MWANAMKE TU, HATA UWE RAIS WA NCHI BADO, KUMNYENYEA MUME NI WAJIBU WAKO NI #THAWABU NANYI WANAUME KUTUPENDA SISI WAKE ZENU NI WAJIBU WENU
.
Uliwahijiuliza ulipotoka kwa Wazee wako kwenda kuolewa/kuona, ulitoka kwaajili ya kwenda kulea watoto tu au ulitoka kwaajili ya upendo uliyokusukuma Mapenzi shatashata nikinywa MAJI nakuona kwenye Glass, nikisikia sauti yako ni hoi😀 tena kipindi hichi mnaambiana watoto ni #MAJALIWA kikubwa tuoane tu baby,😍‘Ni heri wawili kuliko mmoja, kwasababu wakiwa wawili, mmoja akianguka, mwingine atamwinua’ (Mhubiri 4:9)
.
.
Ndoa inampa mtu fursa ya kuonyesha upendo wa Mungu kwa mtu mmoja aliyemchagua. Sababu kubwa ya kuingia kwenye ndoa si kupendwa tu bali kwenda kutoa upendo kwa mkeo. Kinyume na hapo, ndoa hiyo itakuwa na matatizo ya ubinafsi
.
WANANDOA rudini njia KUU, hakuna watoto wanaolelewa kwenye NDOANDOANO wakatokea, watoto wanaoshuhudia magomvi ya wazazi hujaa #VISASI
.
FAMILIA ndio #JAMII je tunapoishi kulea watoto tu huku sisi Wazazi hatuelewani tunatengeneza #JAMII ya aina gani??
.
Wapenzi na mpendane, kwakuwa penzi latoka kwa Mungu, Kila apendaye, amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu. Yeye asiye penda, hakumjua Mungu, maana Mungu ni upendo (1Yohana 4:7-9)
.
Wengi wanaodai kuvumilia kwenye ndoa wala hawana furaha ndani ya roho zao, wengi huishi kwa kuangalia hivi nikiondoka watu watanionaje? Wengi huogopa kufanya #MAAMUZIMAGUMU, Wanaopa macho ya watu kuliko kumwogopa na kumweshimu Mungu
.
Wana ndoa #TUBAKINJIAKUU
kumweshimu Mungu ni pamoja na kuishi na kuheshimu, na kuilinda #MISINGIYAMUNGU
.
#IJUMAAKARIMU
.
Mc Nurath
StrongLadyEnough🙏💟 - #regrann

Ndoa ni nini? Hivi ndoa ni watoto? Je wasiyozaa hawana haki ndani ya ndoa?
.
Utakuta wengi wakisema #Ndoa imenichosha mume/mke si mwaminifu, aaaah yaani naishi tu kwaajili ya wanangu
.
Hivi kila MTU na hamsini zake, yeye ana #Kimchepuko na Mimi naondoa #Stress zangu nina #BoyFriend maisha yanaendelea..., watoto wanasukumiwa #SHULEZAKULALAHUKOHUKO, wazazi wapo busy kushindana nani zaidi, na sisi akina mama tunajitahidi kuifikia 50/50 hivi huu ndio mpango wa MUNGU?
.
NIWAKUMBUSHE AKINA MAMA, MWANAMKE NI MWANAMKE TU, HATA UWE RAIS WA NCHI BADO, KUMNYENYEA MUME NI WAJIBU WAKO NI #THAWABU NANYI WANAUME KUTUPENDA SISI WAKE ZENU NI WAJIBU WENU
.
Uliwahijiuliza ulipotoka kwa Wazee na kuolewa/kuoa, ulitoka kwaajili ya kwenda kulea watoto tu au ulitoka kwaajili ya upendo uliyokusukuma Mapenzi shatashata nikinywa MAJI nakuona kwenye Glass, nikisikia sauti yako ni hoi😀 tena kipindi hichi mnaambiana watoto ni #MAJALIWA kikubwa tuoane tu baby,😍‘Ni heri wawili kuliko mmoja, kwasababu wakiwa wawili, mmoja akianguka, mwingine atamwinua’ (Mhubiri 4:9)
.
.
Ndoa inampa mtu fursa ya kuonyesha upendo wa Mungu kwa mtu mmoja aliyemchagua. Sababu kubwa ya kuingia kwenye ndoa si kupendwa tu bali kwenda kutoa upendo kwa mkeo. Kinyume na hapo, ndoa hiyo itakuwa na matatizo ya ubinafsi
.
WANANDOA rudini njia KUU, hakuna watoto wanaolelewa kwenye NDOANDOANO wakatokea, watoto wanaoshuhudia magomvi ya wazazi hujaa #VISASI
.
FAMILIA ndio #JAMII je tunapoishi kulea watoto tu huku sisi Wazazi hatuelewani tunatengeneza #JAMII ya aina gani??
.
Wapenzi na mpendane, kwakuwa penzi latoka kwa Mungu, Kila apendaye, amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu. Yeye asiye penda, hakumjua Mungu, maana Mungu ni upendo (1Yohana 4:7-9)
.
Wengi wanaodai kuvumilia kwenye ndoa wala hawana furaha ndani ya roho zao, wengi huishi kwa kuangalia hivi nikiondoka watu watanionaje? Wengi huogopa kufanya #MAAMUZIMAGUMU, Wanaopa macho ya watu kuliko kumwogopa na kumweshimu Mungu
.
Wana ndoa #TUBAKINJIAKUU
kumweshimu Mungu ni pamoja na kuishi na kuheshimu, na kuilinda #MISINGIYAMUNGU
.
#IJUMAAKARIMU
.
Mc Nurath
StrongLadyEnough🙏💟

Maisha Ya sasa, siyo ya kuoneana #Jealous wala kulipiana #Visasi

Maisha ya sasa siyo ya kulipiana #Visasi

Kila siku mpya na iwe mpya kwako toka ndani ya mtima wako
.
Wengi tunafeli kwa kukumbuka matukio mabaya, yanayozaa #Chuki
#Ubinafsi
#Utengano
.
KUMBUKA Taifa Bora huanzia ngazi ya Familia, tukiishi kwa #Visasi hakuna atakayepona na tusifikiri tunakomoana Vichwa vichache, huu ni #MsibaEndelevu mpk kwa #VizaziVyetu
.
Tuachene na #KUFUKUAMAKABURI maana hayana #NYAMAZAIDIYAMIFUPATUUUUUU
.
Tuwe wafuasi WAZURI wa MUNGU, kwani Mungu akianza kutupekenyua #HAKUNAMSAFI atakayepatikana ndani yetu
.
Silaha ya #USHINDI popote #DUNIANI ni #MSHIKAMANO
.
#SAHAU #SAMEHE #SONGA
.
#McNurath
#StrongLadyEnough💟
.
Cc:#MyGoodManager @dj_chamdoly @mc_nurath_events #MwanasereWetu😀😘🏃 @mwanasweke

Figisu figisu hua sinaaa..... #maisha#Zawadi #furaha#maisha zawadi #kwa Jah #kikubwa#kumudu #karaha#visa #visasi#balaa

Povu la #Visasi???... Anyway, Ngoja tuamini TRA wanafanya kazi yao. Na kwakua ni #Kodi ya serikali lazma walipe ili tuboreshewe huduma zetu.
Ila timing inatia mashaka na kuibua maswali mengi kuliko majibu...

#toiguapo Así me 'quedao' después de enviar más de 300 notas de prensa.

Según el artículo 94/2016 para la ley de protección de #calvas me veo obligado a #pixelar mi calva y no la puedo difundir públicamente #soloprivados #sexycalva #visaSi .

Heri #Masikini wachache wenye #Furaha na #Tabasamu ya milele kuliko #Matajiri wengi wenye #Chuki #Ghadhabu na #Visasi visivyoisha ndani ya nafsi zao. "This will forever be the best killing #Weapon" #SMILE
"Hii itaendelea kuwa #Silaha bora zaidi ya Maangamizi". #TABASAMU

Kila kitu kinatokea duniani kwa sababu maalum,aidha kukufundisha au kukufanya uelewe zaidi jinsi ya kuishi vizuri ukiwa duniani.#Failure ni kama kujikwaa,unapaswa unyanyuke na kujifuta vumbi na kuendelea na safari.Kulala chini baada ya kujikwaa na kuanza kulialia hakutakufanya ufike ulikoplan kwenda. Ukifeli mtihani sio mwisho wa maisha,nafahamu watu waliofeli mtihan either kua wa mwsho #Class kila sku bt leo wako very successful kuliko mimi....There is life even after failure.
Kufukuzwa kazi , ridandasi , kusimamishwa au kutiliwa majungu ili uonekana haufai kwa maBOSS wako ..hiyo pia iskufanye ukate #TAMaa na kuwaza kulipiza #Visasi ,mungu anatusihi tusamehe saba mara 70 .the only way ni kufanya kazi kwa bidii ,nidhamu na utii. maana kazi nzuri inaonekana na kuuzika, inaweza kua hapo ulipo au sehemu nyingine tofauti.. kupata Loss kwa biashara , au kuandamwa na madeni TRA , kodi za nyumba na kila ktu , ISIkuyumbishe ..jipe moyo piga Goti fumba macho ,,ongea na mola wako...nothng imposible under yeye aliye juu....wapo waliokua chini na leo kawapandisha juu

Kupigwa sana vibuti na watu unaowapenda haimaanishi hutaoa au kuolewa,Mungu anajua who is the right partner for you,hao walioondoka hawakuwa type yako na usiforce wawe type yako coz hawatakuwa. Usimlazimishe Mungu akupe mke au mume wa rangi nyekundu wakati anajua kwamba wewe unahitaji wa rangi ya kijani ili uwe Complete.
Ukiachwa na umpendaye shukuru maana unajua yupo aliyeandikwa kwa ajili yako utampata na atakuwa perfect,ukienda kwa feeling ya unachopenda wewe utaibuka na mme au mke mdosho feki a.k.a #MChina.

Ulimwengu huu haujiendeshi,aliyeucreate ni Mungu,aliyekucreate wewe ni Mungu,na anajua who is the best partner for you...ANAJUA where z the best place 4 you na what z the best thing to you ... #Mr #SikatiTamaa ..himself

#BabaSasha@2016

Most Popular Instagram Hashtags