[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

#Tatizo

MOST RECENT

#UKOSEFU WA #CHOO #(CONSTIPATION)

Ukosefu wa choo ni tatizo Sugu ambalo linahitaji tiba ya Haraka, watu wengi huona siyo tatizo na kudhani ni hali ya kawaida.

Mtu anapokosa choo kwa siku kadhaa husababisha #uchafu #kujikusanya #tumboni na unapokosa sehemu ya kutokea hukimbilia kwenye damu na kuingia kwenye mfumo mzima wa damu. Uchafu huo kwenye mfumo wa damu huwa #sumu na #chanzo cha #maradhi #mengine ambayo huanza kujitokeza baadae na kuanza kumuathiri mtu bila kujua chanzo chake.
Kwa kawaida mtu anapaswa kupa choo japo #mara #moja kwa #siku, kutegemea na mlo wake wa kila siku. Unapo kosa choo kwa siku nzimaili hali unakula milo yote kwa siku elewa una tatizo kwenye mfumo wa kusaga chakula #(Mmeng'enyo) hivyo #unapaswa #kuchukua #hatua #haraka

#NINI #HUSABABISHA?.
Tatizo hili husababishwa zaidi na ulaji mbaya wa vyakula, kuacha kula matunda na mbogamboga na staili mbaya ya maisha ikiwa ni pamoja na kutokunywa maji ya kutosha kwa siku.

#Baadhi ya #dalili za tatizo hili ni, kutumia #nguvu na #muda mwingi wakati wa haja kubwa, kukosa hamu ya chakula n.k.

#SULUHISHO
#Trevo Ni bidhaa bora ya afya Ambayo imethibitika kuwa suluhisho la changamoto mbalimbali za afya, Ikiwa ni pamoja na tatizo hili la Kukosa Choo. #Trevo ni #kinywaji lishe chenye mchanganyiko wa viinilishe 174 vitokanvyo na matunda, mboga mboga mizizi na madini asilia. Mchanganyiko huu wa matunda na mboga mboga huhitajika mwilini ili kusaidia mfumo wa mmengenyo wa chakula #(digestive system) kufanya kazi yake ipasavyo na kuondokana kabisa na Tatizo hili. Mtu anapotumia #Trevo Kama sehemu #lishe na kunywa maji ya kutosha atakua #ameepukana na #tatizo hili kwa #100%, Na pia hata ambae tayari ana changamoto ya kukosa choo anapotumia Trevo atarejea kwenye hali yake ya kawaida Kabisa.

Calls/WhatsApp
0753645014

Nowa days its all about Grinding...
LIFE:coming soon by (BIGGY SOUND)
#tatizo sio maneno bali #nivitendo
#teamsmartboy @smartboy_swagg

Mpila ni mchezo wa kushindana#na unapocheza kua na mwenzako.anacheza jua na mwenzako anacheza#tatizo letu sikuizi viongozi kama Mashabiki#kwenda uwanjani na matokeo mfukoni /Msimamo wa Ligi(1)Simba-26(2)Azam Fc-26(3)Mtibwa Sugar-24(4)Singida United Fc-23(5)Young Africans-22) Top 5/🎧📺📻⚽⚽

Sasa mkisusa kumsapoti au kupost vitu vinavyomuhusu mnamkomoa nani ? Kipi kibaya kafanya mara ngapi kila akiojiwa anawashukuru mashabiki wake ? Ayo ni mambo ya kibibi #tatizo wajuaji wengi

RWANDA&TANZANIA
*YALIYOJIRI LEO JANUARI 14, 2018 KATIKA MAZUNGUMZO YA RAIS WA JMT, DKT. JOHN POMBE MAGUFULI NA RAIS WA RWANDA MH. PAUL KAGAME KATIKA ZIARA YAKE YA KIKAZI NCHINI TANZANIA.* #Rais wa Rwanda, Mh. Paul Kagame amewasili leo majira ya saa 4 asubuhi katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa JMT, Dkt. John Pombe Magufuli.

#Rais wa Rwanda, Mh. Paul Kagame yuko Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku moja ikiwa na lengo la kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania na Rwanda.

#Nimemuhakikishia kuwa Watanzania tutampa ushirikiano wa kutosha katika nafasi yake ya Uenyekiti wa Umoja wa Afrika - Rais Magufuli.

#Tumekubaliana kukuza biashara kati ya Rwanda na Tanzania kwa kutengeneza mazingira mazuri ya biashara - Rais Magufuli.

#Juhudi za kukuza biashara kati ya Rwanda na Tanzania zilishaanza, mwaka 2017 mizigo iliyofika katika Bandari ya Tanzania kutoka Rwanda ilifikia tani 950,000 - Rais Magufuli.

#Tumekubaliana na Rais Kagame kujenga reli ya kisasa kutoka Isaka, Tanzania hadi Kigali, Rwanda ili kuchochea maendeleo ya nchi hizi mbili - Rais Magufuli.

#Naomba Mawaziri wa Rwanda na Tanzania wanaohusika katika sekta ya miundombinu wakutane wiki hii ili kupanga juu ya ujenzi wa reli hiyo - Rais Magufuli.

#Tunataka ndani ya mwaka huu tuweke mawe ya msingi katika ujenzi wa reli hiyo ya kisasa ili ujenzi huo uanze rasmi - Rais Magufuli.

#Napenda kumpongeza Rais Kagame kwa hatua anazozichukua katika kuiletea maendeleo nchi ya Rwanda - Rais Magufuli.

#Nampongeza Mkuu wa Majeshi wa nchini Rwanda kwa kushirikiana na Mkuu wa Majeshi wa Tanzania katika kuimarisha usalama wa nchi zote mbili - Rais Magufuli.

#Wananchi wa Rwanda wanataka kufanya biashara na watanzania hivyo hii itapelekea kudumisha amani na umoja wetu na kuinua uchumi wa nchi zetu - Rais Kagame.

#Naahidi kuendelea kutembelea nchi ya Tanzania ili kupata ushauri kuhusu mambo mbalimbali yatakayotuletea maendeleo katika nchi zetu - Rais Kagame.

#Tatizo la ajira ni changamoto kwa Afrika nzima hivyo kila nchi inahitaji kukuza biashara na uwekezaji ili kuongeza upatikanaji wa ajira - Rais Kagame.

Wakati Kenya Wanazindua Madege Makubwa ya Kifahari kutoka Nairobi hadi Marekani bila kutua Popote Sisi Mwenezi wa Kile Chama cha Zamani Anajivunia Ununuzi wa Wabunge na Madiwani Wa Upinzani.. #Tatizo letu Kubwa Ni CCM..

Ufundishe moyo kusubiri wakati wa Bwana... #Maaana wakati wa Bwana hauchelewi wala hauwahi - hutimia kwa wakati timilifu.... #Tatizo la moyo halijui wakati timilifu ni upi.... #Mungu tukumbuke Katika KUSUBIRI.

💯Kamu kuja Sasa. 💯Mbaya ndo zetu... #TATIZO NYOTA ☆☆

Unaanza mahusiano na mtu mnapendana,mnapeana,mpka mnazoeana kila mtu anakua anamjua mwezie kila kilichoko mwilin mwake harafu mkija kuachana unasikia mtu anaropoka "TENA NILIKUA SIKUPENDI!" ndo hapo huwa najiuliza ivi kweli mtu haumpendi uwe tayar kumuonyesha utupu wako?
#tatizo nin

#tatizo nini
#Mwamba
#Wa #ARUSHA!???
Video Kali ila views
#Mpka sasa 1k.
2018#AlutaContiouns

3 #BEDROOMS #HOUSE FOR #SALE AT JET #KIWALANI NEAR JNI AIRPORT - DAR ES SALAAM

#Nyumba ni ya #kawaida, ipo eneo #zuri la makazi #karibu na #Airport, haina #tatizo lolote, #hati halali za #umiliki zipo, #uwanja una #ukubwa wa sqmt 700

#Price is TSh. 120,000,000/- #Negotiable
#Service #Charge and #Agency #Fee Apply

#Visit our #Website: www.kibomabo.com
#E-mail: info@kibomabo.com
#Call #Whatsapp: +255 716 859 504

#Tatizo co Umri tatizo Niakili(Ufahamu)💥

Sura hata mbuzi anayo..##tatizo ni wowowowowowwwwww....sio maneno yngu hyo jmn...

31.12. 2017 New Song #Tatizo nini ?
will be released tomorrow

mans not hot
#tatizo quan
#rich gang

#Tatizo nini?

Most Popular Instagram Hashtags