#GentlemanVibe

MOST RECENT

Kama unataka kuwa Imara jifunze kupambana peke yako #gentlemanvibe it's word's of my daddy live long life ma papa we love u.....

from @gabozigamba - Usijadili matatizo yako na wetu walioshindwa kujadili matatizo yao #gentlemanvibe #Uhondo

Filamu ya SEGERE, Part 1 inapatikana BURE kwenye UHONDO mobile application. Ingia Playstore, install Uhondo, chagua "Allow". Baada ya hapo, download Segere. Kuangalia Part 2, changia Tsh500 tu. #gentlemanvibe

Akthari ya moyo wako, ni UPENDO na HAMASA kwa watu, nataka siku moja mtu aje aseme mbele yako, " KWAAJILI YAKO SIKUKATA TAMAA." @harasam_hm #gentlemanvibe

Kama unataka kuwa Imara jifunze kupambana peke yako #gentlemanvibe pakuwa Uhondo upate Uhondo ni 500 tu #kituwiuwiu

Chanzo cha furaha yako ni wewe mwenyewe jifunze na ujaribu vitu vingi kuliko kuja kujilaumu eti Kwa nini haukufanya😊
#gentlemanVibe

Chanzo cha furaha yako ni wewe mwenyewe jifunze na ujaribu vitu vingi kuliko kuja kujilaumu et Kwa nini haukufanya #gentlemanvibe #uhondo

Tupo tayari boss @gabozigamba @gabozigamba kuicheza hyo segeree 😂😂😂😂😂#gentlemanvibe

From @gabozigamba Chanzo cha furaha yako ni wwe mwenyewe jifnze na ujaribu vtu vingi kuliko kuja kujilaumu et Kwa nni haukufanya #gentlemanvibe #Uhondo

Usijadili matatizo yako na wetu walioshindwa kujadili matatizo yao #gentlemanvibe #Uhondo

Chanzo cha furaha yako ni wewe mwenyewe jifunze na ujaribu vitu vingi kuliko kuja kujilaumu et Kwa nini haukufanya #gentlemanvibe #Uhondo

Kunena maneno yaliyonenwa na wanenaj ni neno nono,pia kula kilicho sawa nawe ndio halali ya ruzuku yako pekee kutoka kwa Mollah wako,vinginevyo utailazimu nafsi na viungo vyako kufanya visivyo Halali kwako.... #GentlemanVibe

Maisha yanafurahaa na matatizo na maisha yana raha kwa sababu ya matatizo.. Mfundishe mwanao kufikiria na si nini chakufikiri #GentlemanVibe

Nikiwa Alone in my room sometimes I stay at door, On the back of my mind naziita hisia hebu njoo, Zinaingia zinaniambia hii dunia Ni Soo, Haiko sweet Kama do 💰 I see I need love
#GentlemanVibe

Most Popular Instagram Hashtags