sports_soccertz sports_soccertz

6,487 投稿   27,024 フォロワー   168 フォロー

SSTZ🇹🇿  *The Home of Sports News 🇹🇿. *WhatsApp +255688189969 *Business +255717459642

Mchezaji aliyepata Kadi Nyekundu nyingi kwenye Historia ya Klabu ya Real Madrid : Sergio Ramos Kadi 24.

Mchezaji aliyepata Kadi Nyekundu Nyingi kwenye Historia ya Ligi Kuu ya Hispania : Sergio Ramos 19.

Mchezaji aliyepata Kadi Nyingi za Njano kwenye Historia ya Klabu Bingwa Barani Ulaya : Sergio Ramos 19.

#Ramos #SSTZ🐐.

Tukio Lililofanya Cristiano Ronaldo apate Kadi nyekundu ya Moja kwa Moja Kwenye Mechi ya Jana Dhidi ya Valencia Hivyo atakosa Mechi dhidi ya Klabu yake ya zamani (Manchester United) Old Trafford.

Kabla ya Mechi @memphisdepay.

MD7💥

Matokeo ya Mechi za Leo Uefa Champions League.

#UCL #SSTZ🐐.

Goli la Mariano Dhidi ya As Roma.

#UCL #SSTZ🐐.

Mariano Jersey no 7.

人気ハッシュタグ