sports_soccertz sports_soccertz

5879 posts   11174 followers   210 followings

Sports_SoccerTZ  The Home of Sports News -Tunahakikisha Hupitwi na Habari Motomoto za Michezo Maoni, Ushauri, Mawazo👇 Whatsapp +255688189969. 📝02/03/2017.

http://Mobile.twitter.com/Sports_Soccertz

Klabu ya West Ham United Imemwambia Robert Snodgrass kuwa Yupo huru Kuondoka kwenye klabu hiyo kwani Hayupo kwenye Mipango ya Kocha. Snodgrass Alisajiliwa Mwezi January Mwaka Huu Kutoka kwenye klabu ya Hull City kwa ada ya Pauni milioni 10.

Pale Unapokuwa Shabiki wa Manchester city lakini Unampenda Paul Pogba @paulpogba.

Orodha ya Wachezaji Wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA Mwaka 2017.

Orodha ya Makocha Wanaowania Tuzo ya Kocha Bora wa FIFA wa Mwaka 2017.

Beki wa Arsenal Gabriel Paulista Amewasili Nchini Hispania kwa ajili ya Kukamilisha Usajili wa Kujiunga na klabu ya Valencia kwa ada inayotajwa Kuwa Pauni Milioni 10.

Ruis Suarez atakosa Mechi 4 Kwasababu ya Kuuguza Majeraha ya goti .

Klabu ya Barcelona Imethibitisha Mshambuliaji Ruis Suarez Atakuwa nje ya uwanja kwa takribani Mwezi Mmoja Kutoka na majeraha ya goti aliyoyapata kwenye Mechi ya Jana dhidi ya Real Madrid.

Imeripotiwa Kuwa kocha wa PSG UNAI EMERY Amwembia Julian Draxler kuwa Hayupo kwenye Mipango yake Kuelekea Msimu Mpya wa ligi 2017-18. Draxler Alisajiliwa Mwezi January Mwaka Huu Kutoka Wolfsburg ya Nchini Ujerumani kwa ada ya Euro Milioni 40 amecheza Mechi 17 amefunga Magoli 4.

Happy birthday Anko @paulnonga_13 🎂🎉(Muhenga) ⚽.

Paulinho 15.

Ngao ya Jamii 2017.

Most Popular Instagram Hashtags