shilawadu shilawadu

451 posts   274040 followers   2032 followings

Shilawadu  Hii ndo official Page ya Shirika La Wambea Duniani #Shilawadu follow @Soudybrown @kwisamzeemkavu @Djferuuh

https://www.youtube.com/channel/UCVHvnMMd_h2Clj2jEM4XEHg

Happy birthday Mzee Baba @madeeali Rais wa Manzese Legend wa Muziki wa Kizazi Kipya, Umedumu ktk Generation zote Na Unakimbiza Speed 1000, #Shilawadu tunakuja Manzese kukuogeshaa

Kitoto Cha #Shilawadu Kina Afyaaaa Sio Cha mchezo mchezo @lenahedwardmwakila1212

Tangazo:
Tumekua tukipata malalamiko mara Kwa Mara kutoka Kwa watu wakidai Kuwa sisi #Shilawadu tunawatukana Au kuwadhalilisha kwenye mitandao, Jambo ambalo linatuskitisha Sana Sana, Ukizingatia Jambo lolote tunalolifanya mtandaoni tangu tuanzishe Harakati Za #Shilawadu tunazingatia uweledi wa kihabari, hatu tukani Wala hatujawahi kumtukana Mtu yeyote awe Mwanamuziki muigizaji kiongozi wa DINI Mwanasiasa Au Taasisi yeyote Au raia hata Kwa Bahati Mbaya, Sisi kila kundi Lina thamani Kubwa Sana ktk Ustawi Wetu ktk Fani, Hii Ndio Paga ya kwanza na maalum Ya @Shilawadu na tunazitambua Account nyingine zinazojiita Shilawadu...: ktk kutuunga Mkono Tunawapenda Sana, lakini hatuzitambui Account zinazojiita Shilawadu .... Halafu zina wadhalilisha wadau Wetu wakubwa ambao ni Wasanii wa bongo Flava, waigizaji wa bongo movie, Wanamichezo, Wanasiasa, raia wenzetu, Viongozi wa dini, wana Mitindo, Taasisi mbali mbali, Tunaomba Radhi kwa yeyote aliyewahi kukutwa na masahibu Haya Tena akadhani Ni sisi, ukweli Sio sisi, sisi Shilawadu wa clouds tunazingatia uweledi, sisi Ni marafiki wa kila Mtu, Tunaheshimu Mamlaka, hatushambulii madhehebu Au vyama vya siasa Team Za Wasanii Au team Za Michezo Au Celebrities, sisi tupo neutral, Kwanza sisi kwenye Mambo ya siasa hatumo kabisaaaaa na hatuzijui, Tunawaomba wote waliofungua page zao na kuziita Shilawadu... wafuate nyayo zetu
Imeandikwa na Cabinet kuu ya Uongozi Wa Juu wa Shirika la Wambea Duniani @shilawadu

Video: Kile Kitoto Genius Maarufu Kwa kutaja vilivyomzd umri #Itham hv karibuni kimepita ktk Studio Za @millardayo Moja Kati ya vitu alivyozungumza itham Ni .....😂
.
@shilawadu #Shilawadu #hatushindwi #sisisiowatuwamchezomchezo #jinimkatakamba

Wat a blessing... Vitoto Vya Shilawadu

Kitoto cha #Shilawadu Kitoto cha @kwisamzeemkavu

KIHEREHERE CHAMPONZA SHAMSA FORD NA KUAMBULIA JERAHA LA MAISHA, alienda kuamulizia ugomvi wa watu akaishia kujeruhiwa Kama Hv

Zanzibar #ShilawaduFamilyDay ilikua Sio ya Spoti spoti #Shilawadu

La Familia Mr And Mrs @moze.iyobo Na @auntyezekiel Na kitoto Cha Na kitoto Cha @shilawadu anaitwa @cookie_la_princessa_iyobo wamethibitisha Kuwa watakuepo kwenye #shilawadufamilyday Kama ulivyokua Mwaka Jana, Sema woyoooooooooo
.
Escape One Iko Onfire mida Hii, pande Za Mikocheni Karibu Na @cloudsfmtz

follow this page in feedly

Most Popular Instagram Hashtags