shammytz shammytz

370 posts   16,544 followers   178 followings

ⓢⓗⓐⓜⓜⓨ 🇹🇿 ©™  CEO of Shammy Nails $ SPA @shammynailsnspa Mother of 3, 2 boys 👬 & 1 gal💃

Have a blessed Sunday all...
Hair by @luluzhair

Allah akufanyie wepesi Rajab...
@Regran_ed from @zarithebosslady - Ningependa kuchukua fursa hii kuwaomba Ndugu, Marafiki na Mashabiki zangu wengi mlio Tanzania na popote mlipo, tumchangie Ndugu yetu, mwenzetu Rajab pesa yeyote utakayo jaaliwa iwe ni shillingi 100, 500, 1000 nakuendelea ili iweze kumsaidia Rajab safari ya kwenda India kwa matibabu. Nawaomba wote yenye mapenzi mema hiyo pesa itumwe kwa Dada Flora kwenye simu namba ... 0759 665555....Natanguliza Shukran zangu za dhati kwa wote mtakaojaaliwa. Asanteni sana. Mungu awabariki. "Kutoa ni Moyo si Utajiri" Ndugu zetu WEMA SEPETU, IRENE UWOYA, JACKLINE N. MENGI, MAMA DULY, JACKLINE WOLPER, RITA PAULSEN, AUNT EZEKIEL, JOKATE MWEGELO, DIRECTOR JOAN, NANCY SUMARI, FARAJA KOTA, HAPPINESS MAGESSE, MIRIAM ODEMBA na Wengine wengi wataokugwa naombeni tusambaze upendo kwa Rajab. @flora_nitetee2
FOR ANY DONATIONS OR ANY HELP POSSIBLE CALL THE CONTACT NUMBER ON THE PHOTO.. - #regrann

😃TUMEDASHI Chiii...
Karibuni wateja wetu mpate madira pambe...Mwanamke kupendeza!!! Njoo upendeze nasi leo, kwa Madira makali, vijora kutoka Mombasa, mitandio, hereni,vitenge vya wax,kanga,mapochi, bangiri, pete za ukweli, uddi kutoka Dubai na vitezo vya kila aina.
Pia tuna funga na kushona SARE za aina mbalimbali...
Duka lipo Magomeni Kagera, kwa mawasiliano zaidi tuchek kwa namba 0743999294

Happy birthday mwanangu, kipenzi changu, rafikiangu, best friend...@fettyjfour @fettyjfour namuomba mungu aendelee kukuweka Inshallah. Enjoy your day love...

Ofa za mwisho wa mwaka zimeanza wapendwa!! Tell a friend to tell a friend...Tag as many friends as you can!!! #shammynailsnspa

😩😩😧
Hair @luluzhair
Dress @cspeshoz

🍰🎂🍨🍷🥂 @jaimstore

Its your day slay queen... 😙😙

🌹Happy birthday Diva...live long with many blessings my Jaja @jaimstore 🥂🍷❤💖

Today at @shammynailsnspa 😎

🤗🤗🤗😚

😋Its a lovely Sunday!

Most Popular Instagram Hashtags