seriousfunny.tz seriousfunny.tz

203 posts   55,096 followers   31 followings

Official Serious Funny Tz ®  JUMATATU - IJUMAA KUPITIA CLOUD PLUS BE A SPONSOR #MtaliChuma ☎ : +255 653 28 45 38 ✉: seriousfunny.tz@gmail.com 👇👇Subscribe to our youtube channel

R I P🙏🏾
Agness Masogange

Mwendo wa #Vitasa
This 6th April at Kinesi ground Shekilango

#Vitasa kwa kwenda mbele
Njoo ushuhudie mwenyewe usingoje kusimuliwa
#Vitasa

Kinachoendelea ukumbini hivi sasa
#Ndoa

Siku zimebaki chache sana tunaomba sana support yako kuipgia kura short film ya #mtalichuma andika NDIO 112 tuma kwenda 0757339 567 gharama ni za kawaida tu!
#mtalichuma
#Sziff
@sinemazetu103
@sinemazetu103

Wadau wa Serious funny

Tunapenda kuwashirikisha katika zoezi la kuipigia kura short film ya MTALI CHUMA kutoka Serious entertainment ambao pia ndio waandaji wa kazi za Serious funny

Filamu inawania tuzo za SZIFF kupitia Azam tv @sinemazetu103

Tunaomba sana ushikiano wenu katika kuipigia kura ili kukuza tasnia yetu ya filamu nchini na tuzo isiende nje pia kututia moyo na sisi kwa hiki tunachokifanya

Kuipigia kura fungua sehemu ya kutuma SMS za kawaida kisha andika hivi: NDIO 112
Alafu tuma kwenda no. 0757 33 95 67

Hakuna gharama ya ziada ni kama tutumavyo sms kawaida tu

Tunaombeni sana support yenu jamani🙏🏾 Unaweza kupiga kura kila siku mara moja
#SZIFF
@sinemazetu103

Ukitaka kuona Solo Artist wakubwa FOLLOW @officialmiketz sas kumpa support yako kam shabiki wenu
@official_miketz
@official_miketz
#MzikiMzuri
#SeriousFunnySupport

Kutana na demu mwenye mashetani Gheto
Mtag aliyewahi kukutwa na hii
Yote ipo YouTube
#over1min (Use headphones or external speakes, audio format not supported for some mobile devices)
#ZoteKali
#Usipitwe
#OnCloudsPlus
#KilaSiku
#Mpya

Fundi fen bwana Kabo nae leo kaingia kwenye electronic
Hebu twende YouTube tukaiangalie yote labda fen itawaka
Cjui itawakaje
#over1min
#ZoteKali
#Usipitwe
#NiKilaSiku

Tunaendelea kuwaonjesha utamu unaoendelea Clouds plus
Angalia nyingine kali zaidi kila siku ukiwa na king'amuzi cha Azam

Video hii kamili ipo YouTube
Andika Serious funny
Link ipo kwenye Bio
#over1min
#ZoteKali
#Usipitwe
#AzamtvChannel121

Most Popular Instagram Hashtags