sarahnyallandu sarahnyallandu

73 posts   695 followers   590 followings

Sarah Nyallandu 

God we Glorify your Name

Happy birthday mdogo wangu Baraka za Mungu ziendelee kuwa nawe uishi maisha mazur yenye kumpendeza Mungu

Glory Sunday

Sunday Glory

Ni kwa Neema tu.

Ijumaa karimuuuu

Ma Boys, much love @gikaro4

Tumekombolewa kwa Damu ya Yesu. Hallelujah

Heri ya siku ya kuzaliwa mume wangu mpenzi nimeongea na Mungu mambo mengi sana mazuri juu yako kaa mkao wa kupokea mpk ushangae. Mungu akulinde na kukutunza daima. Tunakupenda sanaaaaaaa.@gikaro4

Happy birthday my bby Brother, nikianza kukuelezea hapa nitaandika gazeti, ninachoweza kusema juu yako Mungu aseme na haja za moyo wako, akubariki na kukulinda zaid ya yote aendelee kukupa hekima na busara uliyonayo na zaid ya kumjua yeye, watu wamtukuze Mungu kupitia wewe, Tunakupenda sana umekuwa baraka sana kwny familia yetu na kwa wote wanao kuzunguka,uwiiii nilisema siandiki gazeti mweeee, happy birthday once again.

Wamama ni Jeshi kubwa tukisimama vzur katika nafasi zetu familia itapona, jamii itapona na Taifa kwa ujumla.Mungu atuwezeshe kutambua nguvu iliyondani yetu.

Most Popular Instagram Hashtags