rdj_mamie rdj_mamie

434 posts   104,014 followers   113 followings

DJMAMIE #EFMRADIO  OFFICIAL FEMALE DJ EFM & TVE EXTRAODINARY FEMALE DJ 🎓UDSM GRADUATE BA PSPA🎓 #makedjinggreatagain

Nipo natengeneza DJMAMIE MIXTAPE 2019 nitaiweka na mtaweza kuipata for free..Ngoma gani unahisi isikose kwenye MIXTAPE yangu???

Happy Birthday rafiki angu @musakipanya 😄 my partner in crime..#teammay #mkwe😁

Kaka angu @professorjaytz kabla sijaja kutoa burudani katika jimbo lako naomba nipate ridhaa yako kwanza 😄 maana Mikumi nzima inakuja kutetema siku ya IDD....
.
.
Cc @ritungusafaris @mwijaku

Just getting started #DJMAMIE .
.
.
@rdjmanzyefm_ @neymwaaaaaah

Mamie ake nani huyu??

It's Friday and it's MY BIRTHDAY...lets get the weekend started with DJMAMIE

Dada Mariam #Harmonight #iftardinner
.
.
.
Makeup by @maznatbridal

Asante kwa Mualiko kaka @harmonize_tz I will definitely be there
Cc @chopa_the_bestboy

Mtaani kuna watu wana Vipaji sana ila hawajapata nafasi ya kuonesha uwezo wao...Wewe ni msanii na una nyimbo yako haijapitiwa Airtime kwenye Redio?? Nitumie nyimbo yako sasa kupitia email yangu ( mamulushy@gmail.com ) nasikiliza moja baada nyingine zitazokidhi viwango ndizo zitazopatiwa Airtime...
Wako katika kuinua vipaji #DJMAMIE .
.

ON AIR NOW #EFMRADIO #DJMAMIE .
.
.
Pic by @sai_xl

Waambieni nyimbo zao zilibamba kinouma #DJMAMIE
.
.
.
@neymwaaaaaah @rdjmanzyefm_

Most Popular Instagram Hashtags