rayvanny rayvanny

2621 posts   1188627 followers   422 followings

Raymond  Musician from East Africa Tz Signed under WCB Wasafi Record label BET AWARDS WINNER Bookings:sallam.sharaff@gmail.com

https://youtu.be/PPT1MgfwArE

Hakuna Kama Mungu..... Nani Anabisha?

Kazi na dawa....My favorite drink @virginiablackwhiskey Enjoying a Wonderful DAY !!! #vb #VirginiaBlack........ Kama Nawewe Ni mtu Wakushtua kidogo Comment hapa Nikuone πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.... πŸ“·πŸ“· @eris.mzava #vb #virginiablack

HAPPY BIRTHDAY Bro Mungu Akupe Maisha Marefu Yenye Mafanikio zaidi @bdozen

HAPPY BIRTHDAY MAMA KIJA #TUNDA Mungu Akupe Maisha Marefu Yenye Mafanikio zaidi nisaidieni Kumuwish jaman...

1.MUNGU 2.NIDHAMU 3.JUHUDI.........

Brand New Song from My brother @officialshetta #WALEWALE Kama bado Ujaipata link ipo kwenye Bio yake

I LOVE YOU SO MUCH @jaydanvanny sema Sio Mbaya Umefanana na mama ako ila Mimi najua tulichofanana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ni muhimu sana hongera kidume jay hhahaah #Littlehandsomejaydanny

(M.A.P) Mungu Amlaze mahali pema peponi Mama yetu

Kwa bahati Mbaya Ndugu Zangu Wa U.K Tumepata Msiba tarehe hio imepelekwa mbele tutawapa tarehe ya Siku Tutakayofanya Tena . GOD BLESS YOU

Subscribe My youtube channel Now #Rayvanny #MBELEKO behind the scenes it's out Now!! Video by director @joowzeytz

Kutoka kwa @speshoz Anaawambia Mashabiki wa yanga jezi zimebaki chache...usipitwe na offer hii,15000 tu!!!size zote zipo...wasiliana nasi 0746517825 Daka yako fasta fasta

Most Popular Instagram Hashtags