rammygalisofficial rammygalisofficial

308 posts   581,868 followers   310 followings

RAMMY GALIS (The Heart Rob)  East 🇹🇿/West🇳🇬/South Africa🇿🇦

Sifa zao kubwa utaskiaa , Mimi bwana lazima awe mrefu , mfupi hapana 😔 . Mwingine Utaskia bwana awe mweupe ' weusi hawanishtui 😬 , Na wa mwisho akamaliziaaga kusema mwanaume shombeshombe ' hata mimba bahati mbaya Hautoi 😁 .
#WeweUmejionaWapiHapoo 😁...

Sio huyu Aliyetumia muda wake kutabasamu , Sio Aliyeweza Kupiga picha hii . Bali Muonekano huu umesababishwa na Busara za FUNDi aliyebuni kushona Mshono Huu .
#VaaPendezaKamaRammyGalis🌹
Outfit by @madamemytailor 👏 📸 by @_kabika

is a true Man , who is quiet . Smart & humble . Most people like to share his writings (quotes) since it applies in reality and mostly basing on encouragements , love affair and sadness .
#FashionDesigner is 👉@madamemytailor Place your order now 🔥.

Sometimes is better just to STAND yourself , Because everyone is GREEDY .
#SultanWear #BollywoodStyle order for your brother & husband on DM 👉 @lulu_cyrus_ .

Mwanaume Akipenda kweli humchukua muda kweli kusema , Kisha matendo yake huongea kuashiria upendo wake . Mwanamke mwenye moyo kama huo huyajibu kwa Vitendo kana kwamba walishawahi kuelewana .

#SULTAN #Baddestphotographer 💪 cc @_kabika , #dmfororders cc @lulu_cyrus_ .

Ukitaka kumfurahisha #Mmpenzi wako na aanze kuwa mfuasi wako basi Jaribu kutengeneza Vazi hili la #SULTAN kwangu kisha uvae ' Utakuja Kuniambia Maajabu Yangu🌟
📸 by #Baddestphotographer @_kabika
#SULTAN For your order DM 👉 @lulu_cyrus_

Ukijua THAMANI yako VIZURI . Utajua namna gani utaaacha kuwapa watu PUNGUZO katika muda wako , fikra zako , mwenendo wako na siri zako . Rafiki ni Mtamu sana ila pia ni mchungu.

Laiti Kama Ingekua Sura Inaonyesha Idadi Ya Watu Uliowahi Kuwa Nao Kabla Ya Kukubaliwa Kwenye Mahusiano Yako Mapya , Basi Watu Wangepata Tabu Sanaa 😂 ....

Any MAN can feed you , buy you cloth and take you to the cinema . But only it takes A real man to help You To be come A real woman to build you , Work with you in building a better life .
#TheHeartRobber🇹🇿.

Ukiona wengi hawakuzungumziii basi jua hauna maajaabu , ukiona unaandamwa basi ujue umetwishwa kiroba cha dhahabu .Tafakari ni naamna gani upite tu mbele yao kwa tabasamu .

Some of us have hearts , you know . Some of us don't give up true love . Don't worry if he hurts you , Iam coming to replace him .
#BlackArabian😂

Nimekua mvumilivu kiasi kwa kutojipiga picha nikiwa Gyme kwa muda usiopungua #miezi3. Naendelea kuumiza mwili ili nitimize muoenkano wa STARRING .
#MuonekanoMmpya🏋️‍♀️

Most Popular Instagram Hashtags