radiojambokenya radiojambokenya

4,251 posts   65,166 followers   106 followings

Radio Jambo Kenya  Ongea usikike! 🇰🇪

Kama kawa ni #ChapaWaxMonday na @mbusii na @deh_lion katika Temple #MbusiiNaLionTekeTeke

Ungana na @EudaisKigai katika awamu yetu ya leo! #SemaNaEudiasKigai

Hapo awali na Wakili Jackson_Awele katika #LSKLegalAwarenessWeek #GidiNaGhostAsubuhi @gidiogidi @ghost_mulee

Karibu katika Temple ya warasta na @dehmbusii na @deh_lion Katika #NiceItNiceItFurahidei

Kilicho na mwanzo hakikosi mwisho😢. Imekuwa awamu yangu ya mwisho mimi @annitahraey hapa radio jambo! Kwaheri na baraka tele!🤗

Leo ni Furahiiiday! Umeskia mziki mpya ya @djruffkenya na Mash? Hapo awali wasanii hawa waliungana nasi kwenye studio #SemaNaRaey @annitahraey

Katika Awamu yetu ya kwanza tulikuwa na#MadamBoss @akotheekenya Haya basi ndio hio lotto challenge na @annitahraey #SemaNaRaey

Hapo awali na Mbunge wa Suba North Mheshimiwa Millie Mabona! Katika #GidiNaGhostAsubui @gidiogidi @ghost_mulee

Matokeo ya ligi ya Europa @europaleague usiku wa jana. Ushindi mkubwa kwa @arsenal wakiwalaza Vorskla mabao manne kwa mawili. Kauli yako ni ipi? Je, ni wakati wa Arsenal kutamba? #UEL

Haina mbrrrrrrcha! Endelea kuungana na @mbusii na @deh_lion kwenye temple! Hakuna ubaguzi au sio? #MbusiNaLionTekeTeke #zilizovumaThursday

Asante kwa kuungana na #SemaNaRaeyTBT kesho ikiwa special friday , tupatane same time same place! @annitahraey

Show ya leo ilikuwa 🔥kesho kama kawaida ni #GidiNaGhostAsubui @gidiogidi @ghost_mulee

Most Popular Instagram Hashtags