pro24djs pro24djs

15,011 posts   75,820 followers   6,886 followings

PRO24DJS  © PRO24DJS is a crew of multi talented DJS from Tanzania ☰ WHATSAPP ☰ +255 657 999 333 ☰ Email: pro24djs@gmail.com ☰ Submit Audio/Video #pro24djs

NEW VIDEO - DJ BOBBY FT MAGNITO - DEM GO HEAR WORD
#pro24video

Moto ama Baridi??#motobaridi

NEW VIDEO - BARNABA FT VANESSA MDEE - CHAUSIKU
#pro24video

PAKUA MZIGO TWENDE SAWA… SIKILIZA NGOMA KALI KUTOKA KWA MADJS WAKAALI… PRO24 RADIO APP!! # Download link #bio#pro24radio

Kipindi cha maisha halisi ya wanamuziki walio chini ya lebo ya WCB (The Real Life of Wasafi) kuanza kuonyeshwa wiki hii.
Akizungumza na waandishi wa habari leo wakati wa uzinduzi wa chaneli ya Wasafi kuingia katika king’amuzi cha StarTimes, kiongozi wa WCB, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platinumz amesema kipindi hicho kitaanza ikiwa ni zawadi yao kwa wateja wao.
Amesema, “Lengo la shoo hiyo ni kuonyesha walikotoka na ni kwa namna gani walipambana kufika walipo, na maisha yao ya kila siku.”
#pro24news #zznews

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limetangaza rasmi kuufungia wimbo mpya ‘#219’ wa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu.
Basata wametangaza hilo kupitia barua yao waliyoitoa Jumanne hii ambayo inaelezea sababu za kuufungia wimbo huo ni kutokana na kuwa na maneno ya uchochezi na kuhatarisha amani pamoja na utengano katika jamii.
#pro24news #zznews
Mbali na kuufungia wimbo huo, Basata wamemuonya msanii huyo kwa kumtaka kuacha mara moja kuutangaza na kuisambaza ngoma hiyo. Soma barua hiyo hapo chini.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Julai 16, 2018 itatoa hukumu kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili mcheza filamu wa Tanzania, Wema Sepetu na wafanyakazi wake wawili.
Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba anatarajia kutoa hukumu hiyo Julai 16 baada ya mawakili wa upande wa utetezi, Albert Msando na wa upande wa mashtaka Costantine Kakula kuwasilisha hoja za majumuisho katika kesi hiyo za kushawishi mahakama iwaone washtakiwa hao wana hatia au la.
Hatua hiyo imefikiwa mahakamani hapo leo Juni 19 baada ya Wema na wafanyakazi wake, Angelina Msigwa (23) na Matrida Abas (19) wakiongozwa na wakili Msando kujitetea na kufunga ushahidi wao.
#pro24news #zznews

REPRESENTING PRO24 DJS @djflexxy123 Kutananae kila siku za Jumatano & Jumamosi CLUB V.I.P IRINGA #pro24djs

REPRESENTING PRO24 DJS @kgthedeejaytz Usikose kumsikiliza.. Kila siku za Jumatatu & Ijumaa Kwenye kipindi cha RUSH HOUR 88.9 Storm fm geita kuanzia saa 8:00 Mchana Mpaka saa 9:00Mchana #pro24djs

REPRESENTING PRO24 DJS.. DJ RAY kutananae kila siku za Ijumaa & Jumamosi S. T. K PUB KINYEREZI #pro24djs

NEW VIDEO - PIDDE MONTANAH FT HONEYA - SINA TIME
#pro24video

Most Popular Instagram Hashtags