[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

princekhamis1 princekhamis1

5326 posts   124217 followers   2387 followings

diamondthesuperstar1  Gentleman

https://youtu.be/dpFpApiQ5dk

@Regrann from @eddy_platnumz - its @harmonize_tz with #koredebello in
#shulala #song
ngoma kali mzee .. hukoseagi #KONDE_BOY %
link ipo kwenye bio ya @harmonize_tz - #regrann

📸@kifesi 🔥🔥

Watch brand new song #shulala from @harmonize_tz feat @koredebello link on @wcb_wasafi bio

TUNAKUTANA MAISHA CLUB DODOMA MUDA HUU .
CC @romyjons

Mshukuru mungu kwa kile kidogo ukipatacho na daima usimdharau mtu katika maisha 🙏🏾

My president chibu dangote @diamondplatnumz

#MarryYou ya @diamondplatnumz ft @neyo Imefikisha Views 17M+ kwenye Channel ya @VEVO Ndani Ya Miezi 8.

KIFESI MOBILE APP is now available on GOOGLE PLAY STORE... All About RELATIONSHIP tips and ADVICE..true LOVE stories and confessions..LIFE and INSPIRATION post..fashion..ENTERTAINMENT etc
Hautahitaji tena mambo ya ku CLICK link kwenye BIO yangu or usumbufu wa ķila saa kuchungulia kwenye WEBSITE nimepost nini.. We this APP updates zote utazipata kwenye SIMU yako.....
Ingia google playstore search Kifesi and ..download for free.
NB:zipo app mbili usidownload yenye picha yangu download yenye herufi K.. ...ahsanteni

Watch #Hallelujah link on @wcb_wasafi bio

@Regrann from @abby1_thebest - BONGOFLEVA NI KAMA CHUO AMBACHO NDANI YAKE KINATOA MAFUNZO NA AJIRA ILA NDANI YA CHUO HIKI KUNA WATU AMBAO WANAGEUKA KUWA ELIMU KWA WALE AMBAO WANATAMANI KESHO NA KESHO KUTWA KUINGIA KWENYE CHUO HICHI.

Naomba leo nijaribu kupanga majina ya wahadhiri ambao wanafaa kukiendesha chuo hichi na kipekee nimpe nafasi @diamondplatnumz ya kuwa muhadhiri wa SAIKOLOJIA na UCHUMI ndani ya chuo cha BONGOFLEVA.

KWANINI @diamondplatnumz NI MUHADHIRI WA SAIKOLOJIA:Siku zote @diamondplatnumz amekuwa kila akifanya kitu lazima awaze kuteka mawazo ya watu.Ndio mana hata akifikia kuimba nyimbo za kuumizwa hata kama ana rasta ataondoa na kuweka muonekano mzuri ambao lazima akiimba kuumizwa utamuonea huruma na kujivika uhalisia wake.Amekuwa ni mtu ambaye anapenda kutizamwa kwa jicho la tatu katika kila kitu anachofanya. @diamondplatnumz ukiachana na kubeba uhalisia wa nyimbo zake za mapenzi na kuteka hisia za watu na mengine lengo ni picha na neno la ujio wa album A BOY FROM TANDALE.

A BOY FROM TANDALE:Hii itakuwa ni album yake ya kwanza ambayo itaenda kimataifa.Kwenda kimataifa ndo kukutana na watu kama @richforever @morganharitage na wengine wakubwa.
Ila @diamondplatnumz ametaka watu wamchimbue zaidi chimbuko lake kabla ya kuanza kutoa album zenye majina kama MATTER OF TIME au BACK2BACK.Maana yangu picha ile kwa muonekano ule kila mtu atatamani kwenda wikipedia na kutafuta documentary zake kujua uhalisia wake kabla hajafika pale, Watataka kujua alikuwa nani kabla ya mafanikio yale kutokana na picha kuonekana mtoto wa kimasikini, ila neno TANDALE litafanya watu wapatafute sana tandale kuwa ni wapi, Wakiona TANDALE palivyo na wakijua huyu kijana anayewaka kwa umaarufu ndo alizaliwa pale TANDALE ataheshimika zaidi kama mpambanaji mwisho wa siku ni album ambayo itabeba hisia kubwa sana za watu ambao wengi huenda wakimuona sasa hivi wanafikiri ni mtoto wa kishua.hii ALBUM itafanya watu wengi wamuheshimu kama mpambanaji.

KUHUSU UCHUMI:Kila mtu anajua @diamondplatnumz kajulikana rasmi mwaka 2009 ndani ya miaka 8-9 anasimama kama msanii mwenye mafanikio Tanzania jibu ni rahisi kupata kwanini awe MHADHIRI WA UCHUMI NDANI YA CHUO CHA BONGOFLEVA.

#BEINSPIR

Most Popular Instagram Hashtags