peterzeprezident_ peterzeprezident_

6,133 posts   75,489 followers   2,473 followings

Pmadini💥  TaboraBoy👖👕 Fashion👉Style👉Lifestyle. Entertainment👉Event👉Promo&MorE. MaTaNGaZo📞📲Nichek👉DM Mybirth18-8🎂 Diamond ft.Omarion-AfricanBeauty👇

😊😊😊😊😊😊
Wanawake Msisemee Sikuwaambia Maana kuna Wanawake wengne anakuwa Na Boy wake Mchezon kama KaLadhimishwa😇fanyen Mazoezi Sheiinzi.

#Pmadini
#TaboraboyMnyamweziHalisi
#MunguNiWaKwetuSote.

Leo mida ya saa 12 jioni usikose Chuo kikuu cha Dar es salaam.l department of creative arts... Kushuhudia washiriki wa @thebursttz katika jukwaa moja...#supportgolden.
Cc @rachelmwegoha @meena_ally @kayla_medy @mitindo_tz @nikita_chijumba.

😂😂😂😂😂😂
Jamaa Yang @mbebaplatnumz Wewee Ulipoachwa Na Yulee Dem😊 Sasa ulikonda ukawa kama
Sisimizi dumee daaaaah pole sana.

#Pmadini
#TaboraboyMnyamweziHalisi
#MunguNiWaKwetuSote.

Number one Trending Barbershop in town @cutting_master_barbershop
we do everything
#haircuts
#hairstyles
#freshcut
#haircolor
Karibu upate huduma bora kabisa kwa bei poa!!
kunyoa nipopote ila Kupendeza ni hapa kwa mawasiliano zaidi call #0714757882📱
whatsapp call whatsapp
Follow @cutting_master_barbershop.

@ronaldinho Onde
será que ela foi parar? ⚽

@fcbarcelona.

🔓🔓🔓🔓🔓🔓
Watanzania Waliopo Nchin Kenya wameenda Uganda kuomba kibali Rwanda ChaKuishi Nchini Burundi😊😊Kama hujaelewa kausha Sio Lazma Uelewe kila ktuu. Plizz Pipozz Go follow @mellisa_baddest @mellisa_baddest @mellisa_baddest.

#Pmadini
#TaboraboyMnyamweziHalisi
#MunguNiWaKwetuSote.

Huyu ni mshiriki wangu pendwa @goldentzofficial kijana aliyejaliwa sauti naomba tukamsapoti Jumamosi tarehe 21 mnakaribishwa katika ukumbi wa creative arts chuo kikuu UDSM kutakuwa na live performances 🎼🎹🎤🥁🎷🎺🥁🎸
🎻 za washiriki wa kipindi cha 💥T?The Burst💥Ambacho kitaaanza kurushwa rasmi siku ya
Alhamis ya wiki ijayo Clouds Tv📺

Wote mnakaribishwa kuhudhuria kama watazamaji....HAKUNA kIINGILIO

Muda ni kuanzia saa kumi na moja jioni

Karibuni wooote😄 💥@TheBursttz🤩
Cc @Rachelmwegoha.

#AfricanBeauty🔥
Ukifikia Lengo Lako weka Malengo Mengne Mapyaa kisha Vumilia Matatizo Mengne Mapya ili Ufanikiwe Zaid. Plizz Pipozz Go follow @angel_dangote @angel_dangote @angel_dangote.

#Pmadini
#TaboraboyMnyamweziHalisi
#MunguNiWaKwetuSote.

Most Popular Instagram Hashtags