pepsi_tz pepsi_tz

456 posts   15,834 followers   4 followings

Pepsi Tanzania  The official Pepsi Tanzania Instagram account #MkubwaWao #LiveForNow #LiveForNowTz #PEPSIBIGI

Ukiwa na #MkubwaWao kila aina ya msosi unakuwa mtamu zaidi?

Tuonyeshe wangapi unawajuwa. Watag washkaji zako wote ambao unatamani kuchill nao weekend hii mkiwa mnaenjoyi Pepsi.

Ni wakati ule wa wiki! #TBT, ni nyimbo gani ulikuwa unaielewa saaana zamani? Tutajie ngoma amabyo bado unaikubali kwenye comments. #MkubwaWao

Hakuna kitu kizuri ukitoka kazini zaidi ya kupumzika wakati unaburudika na Pepsi yako baridi. Jaribu kwa Tshs 600 tu! #MkubwaWao
Tusaidie kumtag unaye mwona kwenye picha hapo. 😃

Repost @repostApp @diamondplatnumz Ukieka mambo ya Promoshen Pembeni.... kiukweli nikiwaga Studio huku nagonga pepsi, hunifanya nipate Melodies na maneno Mzuri na Yakitofauti kwenye ngoma... na ndiomaana chunguza nikiwa studio lazima uione pembeni.....kama Unabisha Nenda Studio leo halaf andika Nyimbo huku Unakunywa Pepsi halaf njoo uniambie kesho hapa.... @pepsi_tz #MkubwaWao
@lukambaofficial

Tumesikia kwamba siku ya kula pilau ni Ijumaa, kwa wengine wanapendelea biriani zaidi. Wewe unachagua ipi ukiwa na Pepsi?

Bado kidogo tu itakua wikiendi! Kwa Tshv600 tu unaweza ukatabasamu kama @diamondplatnumz akiwa na chupa ya Pepsi!

Ndio, ni Jumatatu tena! Usikate tamaa, kunywa Pepsi ili wiki yako iende poa. Ni #MkubwaWao tu!

Ni mda wa kuaga mwezi. Unasherekeaje wikiendi hii na Pepsi #MkubwaWao? Tuambie kwenye comment.

Wiki hii, badala ya kukumbuka yaliopitia, kwanini tusijipange kwa yanayo kuja pamoja na Pepsi #MkubwaWao. Umepanga nini kwa miezi inayofata?

R.I.P Ruge Mutahaba.

Most Popular Instagram Hashtags