Instagram post by @dalalileonard DALALI LEONARD🇹🇿

DATE LISTED 16/05/2018
#PLOT FOR #SALE
#LOCATION #KUNDUCHI #MTONGANI #BLOCK 'C DK 2 KWA MIGUU TOKA LAMI INAYOTOKA #AFRIKANA #DARESSALAAM #TANZANIA
___
#DOCUMENT #TITLE #DEED #HATI #SAFI
___
kiwanja kimepimwa na kipo sehemu nzuri kwa makazi na biashara, jirani kabisa na barabara kubwa ya lami, toka kituo cha daladala unatembea kwa miguu
Mtaa mzuri hakuna madimbwi na huduma za kijamii kama umeme na maji ziko jirani
Njoo ujionee mji mzuri upepo mwanana
__
Gari linafika hadi kwenye uwanja
Hakuna mgogoro nyaraka zote zipo safi, document zina jina la Muuzaji/mmiliki na hakuna mgogoro wowote
___
kiwanja kinatosha kujenga nyumba ya kisasa ya familia yenye vyumba vitatu na sebule na packing ikabaki
___
#AREA SIZE SQM 309
___

#BEI MILLION THELATHINI TZS (30,000,000 TZS)
#MAONGEZIYAPO
___
Service charge Elfu 20 TZS hadi unapata kiwanja utakachopenda tgt
___
#CALL
#0712968728 ​​WATSAP​​
#0788377773
#0759415833
DALALI LEONARD

Likes

No Likes Yet

Most Popular Instagram Hashtags