Instagram post by @ejkilimanjaro EJ Kilimanjaro

Ilikuwa ni Jumapili njema ya ufunguzi wa AICT Pastoreti ya Njiro. Na my uncle surprises me by showing up traveling all the way from Moshi. Ilikuwa pia ni siku ya baraka tele kukutana na Baba Askofu Charles Salala wa dayosisi ya Pwani, na kusikiliza mahubiri matamu yenye hekima kutoka kwenye neno lake BWANA. Tafadhali soma mistari hiyo hapo chini! ๐Ÿ˜Š
. .
Kuimba na kuabudu.
Unaleta amani ambayo binadamu hawezi kuleta
Unaleta faraja ambayo binadamu hawezi kuleta
Unaleta matumaini ambayo binadamu hawezi kuleta
Haufananishwi na kitu chochote
Haulinganishwi na kitu chochote .
.

BWANA Umwingi wa Rehema. Waraka wa pili wa Paulo Mtume kwa Timotheo.
Timotheo 3 1-9
Timotheo 3 10-17
Marko Mtakatifu 12:31
Yohana Mtakatifu 1:34 ๐Ÿ™๐Ÿฟ Ashee Oleng nawatakia Jumapili Njema Kwetu Sote

3 Comments

Most Popular Instagram Hashtags