ntvsasa ntvsasa

34 posts   289 followers   13 followings

NTVSasa  Kipindi kinachojumuisha gumzo mitaani, mijadala ya kisiasa, maswala ya kijamii, matukio yanayojiri, visa na, mikasa, biashara, michezo na burudani

Usikose kutazama #NTVSasa ndani ya runinga ya @ntvkenya,tunao Team Kaka Empire #UdakuSasa @rashidyabdalla @sameerbry

Na wametoka @grandparecords tayari kufungua roho !! Tuko rede na @ginideal @sameerbry @rashidyabdalla

Ijumaa ndani ya Udaku ni mwendo wa taratibu katika @ntvkenya. Wazia Salsa na Udaku...Kitaeleweka tu!!!Hii si ya kukosa. @rashidyabdalla @sameerbry @ntvkenya @ntvsasa @jamilantv

@Regrann from @ntvkenya - Mtazame msanii @vivianne_ke kwenye Ntv Sasa na @rashidyabdalla na @sameerbry katika #UdakuSasa - #regrann

Usikose kutazama udaku sasa kesho ndani ya runinga ya @ntvkenya tutakuwa naye @vivienne cc @rashidyabdalla @sameerbry

@otilebrown ametoka kivyake tena kitofauti. Je amejipangaje?

@Regrann from @ntvkenya - Je, Dr Eddie aliamuaje kumtoa Otile Brown Dreamland Music hadi kutoa nyimbo zake zote YouTube? Msubiri akiwa na Rashid Abdalla na Sameer Bry katika #NTVSasa leo saa 1.30pm. - #regrann

Je @doctaeddie aliamuaje kumtoa @otilebrown Dreamland Music hadi kutoa nyimbo zake zote youtube? Kesho msubiri akiwa na @rashidyabdalla pamoja na @sameerbry

#Udakusasa usikose kutazama #NTVSasa hapo kesho saa saba unusu

#NTVSasa Ijumaa tutatambua KumbeKumbe kisha tumtambue "Prayer Partner " wa @bahati pamoja na @sameerbry @rashidyabdalla

Most Popular Instagram Hashtags