new_kajala new_kajala

3452 posts   2015284 followers   700 followings

Kajala Masanja  Actress | Business woman | C.E.O - KAJALA ENTERTAINMENT CO | Bookings: kajala227@gmail.com cc mxcarter@slidevisuals.com Snapchat | new_kajala

https://www.facebook.com/NewKajala/

Happy birthday dear live long @ricky_erick 😍

#Repost @mpokicomedyofficial (@get_repost)
・・・
Achana na michezo ya ajabu ajabu cheza BIKO uone jinsi gani nguvu ya buku inavyoweza kukutajirisha na kubadilisha maisha yako.Tukiwa Bank ya NMB kumkabidhi BW.EDWARD GAMA @edward_gama pesa TSH MILIONI 20 alizojishindia katika droo ya JUMATAMU.
kucheza na kushinda BIKO ni rahisi sana fuata hatua hizi;
1. Ingia kwenye Tigo Pesa, Mpesa au Airtel Money.
2. Chagua Lipia bili
3.Weka namba ya Kampuni ambayo ni 505050.
4.Kisha weka namba ya kumbukumbu 2456 ambayo ni sawa na neno #BIKO
5. Weka kiasi unachotaka kucheza kuanzia tsh 1,000.

Nunua kwa mpigo ili kuongeza nafasi yako ya kushinda.
@bikotanzania @mpokicomedyofficial @hassan.melles
#Mshikonjenje
#NguvuYaBuku

Mpoki nimekumiss bwana tukafate kibahasha @mpokicomedyofficial πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£@qqtrends4u @qqtrends4u thank you for the dressπŸ˜πŸ‘Œ #Balozi @bikotanzania

Pole sana ndugu yangu mungu akutie nguvu kwenye kipindi iki kigumu @selemanimasenga @lamataleah @wolperstylish naomba bff tukutane sinza

BIKO tunatikisa Tanzania nzima achana na wazushi na usiumize Kichwa kucheza michezo migumu na isiyoeleweka, cheza BIKO ujizolee mshiko kiulaini kabisa kama BW.EDWARD GAMA mkazi wa TABATA mshindi wa MILIONI 20 za JUMATAMU.
@bikotanzania
#NguvuYaBuku
#MshikoNjenNje

Yanii ngombe wa bluee #bluecowtz ana maziwa matamu ambayo yanapatikana Clover #clovertz jionjee mwenyewe usisubiri kuadisiwa.. Asee @imctz marketing yenu siyo ya kitoto big up sana.

Happy birthday kipenzi changu @romyjons

Maziwa matamu hayajawahi kutokea #bluecowtz
#clovertz
@imctz ... Hongereni imctz kwa ubunifuuu

IRENE KITINGA aliamshwa kutoka ndotoni na kuambiwa ndoto yake imekua kweli kwani yeye Ndio mshindi wa JUMADILI.
Kiasi kinachotangazwa ndio hicho tunachotoa bila longo longo. JUMATAMU ni siku 3 zijazo anza kucheza sasa ili na wewe ndoto yako ya kushinda Million 20 iwe ya kweli.
@bikotanzania #NguvuYaBuku #BikoMshikoNjeNje

#Repost @chokadj (@get_repost)
・・・
Huku tunakunywa ma Sprite tu leo. Cc @new_kajala @countryboytz
#spritebballkings

#Repost @mpokicomedyofficial (@get_repost)
・・・
Ukikosa hela mjini kila demu mzuri utamwita SHEMELA @new_kajala dress by @qqtrends4u @qqtrends4u #Balozi #team biko @bikotanzania

Most Popular Instagram Hashtags