ndokeji ndokeji

691 posts   2,746 followers   4,628 followings

Issa  Producer/Reporter | ITV Radio Presenter |Capital Radio Tanzania, East Africa |Host DAILY Sports program from 9PM. (Model & MC)

#Nzagamba💪💪 Tujikumbushe.. Mkulima kala mbegu....

Ubungo Moja.... Ole Chizza?
#Nzagamba💪💪

Thanks for watching @itvtz Habari ...wale wa Simba na Mtibwa tukutane baada ya dakika tisini.... @juliethrobert @lyuuadam
#Nzagamba💪💪

@tanfootball
Vijana wetu walipata mashabiki licha ya kumaliza wa mwisho..@fountaingateacademy
@samagoal77

"Samatta kajipasia na kufunga" umeelewa nini?
Europa League Qualification, Lech Poznan 1-2 Genk. @samagoal77

Fountain Gate Academy warejea nchini baada ya kuiwakilisha nchi huko Ubelgiji katika mashindano ya watoto U13 2018. @fountaingateacademy
Imemaliza ikiwa nafasi ya 24 kati ya timu 24 zilizoshiriki ..usikose kusikiza na kiazama @itvtz sports ya @capitalradiotz, @radioonetz
Kuwasikiza makocha na vijana wenyewe
#Nzagamba💪💪

Kicking and Stamping, is this a football match or Kung FU? What a foul, still no punishment to the defender... Tanzania U17 vs Burundi U17..Afcon U17 2019 Qualifier..

Nahodha wa Tanzania @samagoal77 akitoa maelekezo kwa wachezaji wa @fountaingateacademy katika mashindano ya soka kwa watoto U13 huko Ubelgiji katika mchezo dhidi ya @chelseafc ambapo Tanzania ilipoteza kwa goli 13-0... #hatambuyuulianzakamamchicha

#Nzagamba💪💪 @tfftanzania_fans @itvtz

"Unapataje nguvu ya kuutangaza mpira kwa kipigo hiki ikiwa #TFF mpaka sasa wameshindwa kusimamia jambo hili?" Hivi ndivyo #SimbaDay.. ilivyoisha kwa mwandishi huyu kwa kupokea kipigo kama mwizi mtaani...wapi haki yetu? #MichezoNiAjira @silas_mbise @itvtz @dailymail @caf_online

#Nzagamba💪💪

Glory to God

"Success is where preparation and opportunity meet"
#BaseballTZ
#Nzagamba💪💪 ⚾⚾⚾

Most Popular Instagram Hashtags