[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

nambuacassandra nambuacassandra

986 posts   16581 followers   838 followings

Bi.Mlaki Nambua Cassandra  MAMA PRINCE,Employed at Cassandra Properties,Cassandra Lingerie &Cassandra Jewellery @cassandralingerie @cassandrajewellery +255754411887.

Bwana Yesu asante kwa hichi kiumbe.Kumbuka siku ile nilivyojiapisha na kusema Yesu ukinipa mtoto na kuniondoa utasa nitamrudisha madhabauni kwako afanye kazi yako na kukutukuza daima.Na baada ya kuweka hilo agano nikashika ujauzito.Basi nasimama na kumuweka wakfu PRINCE na kumuunganisha na dhabahu la Yakobo,mahala ambako malaika walipanda na kushuka.πŸ•ŠπŸ•Š PRINCE akatumike na Mungu na afanye kazi ambazo zitaleta ujumbe wa Mungu na kuelimisha jamii..Jina lako litukuzwe ktk maisha ya PRINCE my miracle baby....😘😘😘😘😍😘😘 #tajirimtoto #nambuacassandra
ZABURI 54:4-6 "TAZAMA,MUNGU NDIYE ANAYENISAIDIA;BWANA NDIYE ANAYENITEGEMEZA NAFSI YANGU.
ATAWARUDISHIA ADUI ZANGU UBAYA WAO;UWAANGAMIZE KWA UAMINIFU WAKO.
KWA UKUNJUFU WA MOYO NITAKUTOLEA DHABIHU;EE BWANA,NITALISHUKURU JINA LAKO,MAANA NI JEMA.

KWA KUWA LIMENIOKOA NA KILA TAABU; JICHO LANGU LIMERIDHIKA KWA KUWATAZAMA ADUI ZANGU."

Oohhh.....Kuwa karibu na wale wanaotaka kuwa karibu na wewe.Wale wanaokukwepa na kukaa mbali usilazimishe kuwa nao.Tambua kwamba hawakuhitaji uwe nao hawaoni thamani yako.Na wewe kubali tu kuwa na waliokuthamini .Na kuna wale ambao ukiwa nao kwa ukaribu wanageuka wanakuwa mwiba hao nao watambue na uwaweke mbali na maisha yako na njia zako.Hao ni miiba na wanatumika kukuchoma.Hivyo waweke mbali kwa nguvu zote 😘😘😘 #nambuacassandra #tajirimtoto #hatujawahikuwaachasalama

Mama na mtoto walifanya tena kazi pamoja wakiwa mjini.AHii baada ya kupata chanjo ya miezi mitatu.Natamani aweze kushika kalamu tuanze kazi pamoja.#tajirimtoto

I love you my son PRINCE.πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜— Jina langu niliitwa Nambua Cassandra limezalisha jina jipya naitwa MAMA PRINCE.... Mama wa tajirimtoto.

Zaburi 51:10 Ee Mungu,uniumbie moyo safi,Uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu.Usinitenge na uso wako,Wala roho yako mtakatifu usiniondolee,Unirudishie furaha ya wokovu wako,Unitegemze kwa roho ya wepezi. #nambuacassandra #tajirimtoto #hatujawahikuwaachasalama

😒😒Hizi mambo za chanjo za mtoto sizipendi.Mtoto anachomwa lisindano likubwaπŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰ analia na inabidi ukakamae umshike.Hiyo ni chanjo ya mtoto akiwa 14weeks.Kitoto changu kimelia na mie nikalia kiushkaji.Najaribu kuwaza yule mwanamke anaetupa mtoto wake chooni huwa anawaza nini?.πŸ•ŠπŸŒ»πŸŒ· #tajirimtoto #nambuacassandra #hatujawahikuwaachasalama #huumchezohauhitajihasira

πŸ‘‰πŸ‘‰Tabia za ofisi nilioajiriwa ni kushukuru baada ya kazi ngumu mnayofanya.Hii team ya kazi niliokuwa nayo jana tuliendana vizuri...kazi ilinyooka. Asanteni sana ni neno dogo ila lina uzito sana. πŸ‘‰πŸ‘‰swipe kushoto kuona picha zingine na video .#nambuacassandra

Bwana Yesu aliniwezesha nikafanya kazi nzito ya stock counting na watu wazuri sana sana.Tulipomaliza nikakata nao keki imeandikwa ASANTENI SANA kama ishara ya kuwashukuru kwa kumaliza kazi hiyo. @queenminja22 @tarsila_star84 @tarsila_stambuli

Kweli najipongeza wiki hii kwa kutembea kilometer 5 kwa siku tano ambako nimefikisha 25km wiki nzima....Jomonii nimewezaaaa kwa mzazi niliyetoka kujifungua,mtoto ndio ana 3months.....Nilikuwa nikifika 5km nimechoka hoi napanda zangu pikipiki narudi.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Biblia inasema katika Wafilipi 4:13 Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.....Kweli amenitia nguvu.Amen... #nambuacassandra #tajirimtoto #huumchezohauhitajihasira #hatujawahikuwaachasalama

CASSANDRA APARTMENT FOR RENT....#Repost @dalaliibra (@get_repost)
・・・
#Cassandra Apartment for rent in a block of 4apartment.
#3bedrooms,2bathroom,sitting room,dinning,kitchen
#located at Mbezi Beach next to Shoppers Plaza
#$dola500 per months..inclusive of service charge,security,parking,garden,electric fence.Rent you will pay only 3months. #nambuacassandra

Ohh...Zaburi 34:19 -21Mateso ya Mwenye haki ni mengi,Lakini Bwana humponya nayo yote.Huihifadhi mifupa yake yote,Haukuvunjika hata mmoja.Uovu utamwua asiye haki,Nao wamchukiao mwenye haki watahukumiwa.

BABA WA MBINGUNI,Tunasimama kwa imani ile ktk KRISTO tukiinua mikono yetu juu na kupaza sauti zetu kwa uchungu na kilio kikali kama NABII YEREMIA alivyokuita siku ile.Eeehh Mungu wa ABRAHAM, ISAKA NA YAKOBO tunaomba nyoosha mkono wako kuokoa Mwili wa Tundu Lissu okoa roho ya Tundu Lissu Okoa nafsi yake .JICHO LAKO LA HURUMA LITUTAZAME KAMA NENO LAKO LINAVYOSEMA.Eeh MUNGU ULIYEKETI KTK KITI CHA ENZI INGILIA KUOKOA HILI.WEWE NI DAKTARI MKUU NENO LAKO LINASEMA HUIFADHI MIFUPA YAKE HAUKUVUNJIKA HATA MMOJA.LIANGALIE NENO LAKO ULITIMIZE KWA UTUKUFU WAKO

Zaburi ya 37:1-2 Usikasirike kwa sababu ya watenda mabaya,Usiwahusudu wafanyao ubatili.Maana kama majani watakatika mara,Kama miche mibichi watanyauka.

ZaburiΒ  34:22 Bwana huzikomboa nafsi za watumishi wake,Wala hawatahukumiwa wote wamkimbiliao. #nambuacassandra #hatujawahikuwaachasalama #huumchezohauhitajihasira

Ohh jamani mwanangu amefikisha miezi mitatu na siku mbili leo.Kweli nataka aanze kuongea tuwe tunapiga soga.Najikuta naongea nae nacheka namsimulia hadithi za abunuasi.Bwana Yesu asante kwa zawadi ya huyu mtoto.Prince wangu tajiri mtoto.

Namuangilia mtoto na kusema unastahili kuabudiwa Ee Mfalme wa Israeli,wazee 24 wamesimama mbele za Kiti cha enzi na kusema UNASTAHILI KUABUDIWA.πŸ˜‡πŸ•Š ISAYA 54:1-5......Imba,wewe uliye tasa,wewe usiyezaa,paza sauti yako kwa kuimba,piga kelele,wewe usiyekuwa na utungu;maana watoto wake aliyeachwa ni wengi kuliko watoto wake yeye aliyeolewa,asema BWANA.Panua mahali pa hema yako,wayatandaze mapazia ya maskani yako;usiwakataze;ongeza urefu wa kamba zako;vikaze vigingi vya hema yako.Kwa maana utaenea upande wa kuume na upande wa kushoto;na wazao wako watawamiliki mataifa;wataifanya miji iliyokuwa ukiwa kukaliwa na watu.USIOGOPE;MAANA HUTATAHAYARIKA;WALA USIFADHAIKE MAANA HUTAAIBISHWA;kwa kuwa utaisahau aibu ya ujana wako,pia mashutumu ya ujane wako hutayakumbuka tena.KWA SABABU MUUMBA WAKO NI MUME WAKO.BWANA WA MAJESHI NDILO JINA LAKE;NA MTAKATIFU WA ISRAELI NDIYE MKOMBOZI WAKO;YEYE AITWAYE MUNGU WA DUNIA YOTE.
#nambuacassandra #tajirimtoto

Ugonjwa wa Kichaa ni mbaya sana sana.😒.Unaona huyu anafagia maji baharini,akili yake inamtuma azoe maji ayarudishe yalikotoka sijui anadhani ni vumbi.Na anaweza akashinda hapo siku nzima.πŸ˜ƒπŸ˜­πŸ˜’Kweli unaweza ukalia na ukacheka.

Eid yangu ilikuwa nzuri nikala nikanywa na kucheka.Hongera sana mdogo wangu Alice kwa kupata mtoto wa kiume. @kidwigiftideas 😘😘😘

Most Popular Instagram Hashtags