munalove100 munalove100

2,034 posts   820,779 followers   837 followings

MUNALOVE  C.E.O MUNA ENTERPRISES LTD🇹🇿 God fearing woman👧 Follower of Jesus Christ⛪ A mother Called to bring Hope and inspire people's live by my testimony🌍

atakama unachuki na mimi ila nakuomba nisamehe kama wewe ni mzazi na unaniombeea hivi kwa mtoto wangu Huyu baba wa Mbinguni akusamehe kikubwa naomba Mungu alizihirishe😭😭😭😭mimikama😭😭😭mama mzazi nimeumia sana na maneno haya mlionivika nakumuombea mtoto wangu ..nakuomba atakama umpendi mtoto wangu naomba umsamehee ila kama na wewe ni mama na Mungu amekusukuma uniseme haya uliyoamua basi baba yangu wa Mbinguni akubariki ...PATRICK NI MTOTO WANGU NA NIRAFIKI YANGU NANIKIPENZI CHANGU ILA UBARIKIWE SINA NGUVU YA KUKUFANYA LOLOTE ZAIDI YAKUMUOMBA MUNGU AKUBARIKI NA KUKUSAMEHE.😭😭😭😭😭😭😭😭MUNGU WEWE NDO UNANIJUA NA SI MWANADAMU ..NA WEWE NDO UTAAMUA BABA YANGU😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Eeeeh Mungu wangu,sifahamu yale yatakayonitokea Leo.Nafahamu jambo moja tu kwamba hakuna kitakachonitokea,ambacho wewe hukijui, na kukiongoza kwa jema kuu kwangu toka milele yote.Ufahamu huo unanitosha. Naabudu mipango yako ya milele na isiyoweza kufahamika.Najitoa kwa Moyo wangu wote kwayo kutokana na upendo wangu kwako.Natoa sadaka ya Maisha yangu yote kwako na naiunganisha sadaka yangu kwa ile ya Yesu,Mwokozi wangu wa Kimungu.Kwa jina lake na kutokana na mastahili yake yasiyokuwa na mwisho, Nakuomba unijalie Uvumilivu ktk mateso yangu,ma maumivu nayopitia ,uchungu nilionao,nipe nguvu ya kudharau anaekuja tu ili aniumize atimize furaha yake nitenge na yule alie karibu nami kwa nia zake na kujifikiria yeye niweke moyo wangu muda wote ukutamani wewe kuliko mwanadamu na kujitoa kikamilifu,ili kwamba kila kitu unachotaka au kuruhusu kitokee matokeo yake yawe ni utukufu wako Mkuu na kutakatifuzwa kwangu. unaona nilipo na ninavyovipitia #kuumizwa#kulia#sina farajazaidi yako baba yangu😢😢 BADO NAKUAMINI BABA YANGU NITAVUKA🙏😢😢😢

BADO NAKUAMINI YESU.🙏🙌
.
.Haijalishi unapitia CHANGAMOTO,TATIZO,UGUMU au SHIDA gani...usiruhusu zikuibie AMANI &FURAHA yako jifunze kuwa kimya mtulivu na kulinda AMANI yako kwa gharama zote .Usiyaitikie maisha kutokana na nini unaona au unasikiia ama kuisi.Matatizo na changamoto ni sehemu ya safari ya maisha,hivi vyote huja ndani ya muda na kuondoka,hakuna shinda,tatizo au changamoto ya milele vyote vina mwisho.Mtu alinawfanikiwa ni yule anaeweza kutunza FURAHA na AMANI wakati wa MAGUMU badala ya kukata tamaa na kuzama.ndio maana ni muhimu sana na lazima kujizoeza kutafuta MAARIFA YA NENO LA MUNGU toka kwenye BIBLIA na vitabu vya watumishi wa MUNGU waliofanikiwa hayo maalifa hubadili kabisa mtazamo na DEFINITION yako ya maisha,Unapoyaweka kwenye matendo unaitwa mwenye HEKIMA na maisha yako yanakuwa yamejengwa juu ya mwamba hutikiswi na mvua,upepo,wala mafuriko ya maisha unakuwa Imara kama mlima sayuni hutikiawi wala.kuyumbishwa na chochote.Usifungue kinywa chako na kuyatukuza au kuyazungumzia ukubwa wa matatizo yako nisawa na kuyawekea mbolea na maji magugu huku ukiamini yatanyauka.jizoeze kukubaliana na changamoto yako kwa Neno la Mungu,hata nyakati za giza limetanda neno la Mungu ni kweli.Mungu hata kuacha wala kukupungukia atakuwepo muda qote kukusaidia ila hata fanya lolote mpaka umpw nafasi kwa kumfungulia MLANGO WA IMANI,huu ndio mlango pekee utakaomfanya Mungu awavuke binadamu bilioni 7 wanaomuitaji kuja kushughulika na mambo yako.Kumbuka pasipo IMANI haiwezi kumpendeza MUNGU.

NA HIZI NI SABABU MTU ZINAZO MFANYA ACHOKE.kuona muda umekuwa mrefu sana tangu ameanza kumuomba Mungu jambo analoitaji lakini bado hajalipata.2kujilinganisha na watu wengine,huenda unaangalia watu wengine ambao kwa mtazamo wako unaona wamefanikiwa.mafananikio hayo yanaweza kuwa ni Nyumba nzuri,Magari,mavazi mazuri n.k.inawezekana watu hao wamefanikiwa kwa njia za Mungu,lakini pia inawezekana kabisa wamefika hapo kwa nguvu za Giza.Maaana shetani alimpandisha Yesu mlimani akamuonyesha milki zote za ulimwengu kisha akamwambia nitakupa wewe enzi hiyo na,fahari yake kwa kuwa imo mikononi mwangu nami humpa yoyote kama nipendavyo basi wewe ukinisujudia mbele yangu yote yatakuwa yako.shetani anaweza kuwatajilisha watu na hivyo ndivyo anavyifanya kila siku.Jambo moja nikujuze ambalokinaweza kuwa msahada kwako siku zote shetani huwa anakutamanisha na vitu vitamu na vizuri mbeleni.nashetan kuna wakati atakukudanganya kwakukuongelesha ili umuamini yeye,na uone Mungu hana msada kwako katika hali zote unazopitia ,magonjwa,matatizo,shida,njaa, na Mungu atakuacha upite ili aone utamkumbuka na kumuanini yeye? Mungu baba na ukimwamini basi uwezi kuumia jua atafanya kwa nafasi yake....ila utakavyo teteleka na Mitego ya SHETANI na ukamsahau YESU basi jua SHETANI Amekudanganya nyuma yake ameficha maumivu makali sana huwa hakuonyeshi kwanza maana anajua hutamfuata hivyo lazima atumie ushawishi.lakini kwa Mungu ni tofauti yeye anakuambia ukimkili Bwana Yesu utakuwa umeikolewa na umesamehewa dhambi zako na umefinyika kuwa mtoto wake wala hakuadai kwa Mali.ila ukweli ni kwamba fedha na dhahabu na vyote vinavyojaza ulimwengu ni mali Yake.na hapo ndio utajifunza mwenye nacho sikuzote huwa hana makelele au kutumia nguvu kujua kuwa yeye ni tajiri.Mungu wetu siyo wa matangazo bali matendo yake ndio yanamtambulisha.YESU BADO NAKUAMINI SITAYUMBA

Mbele ya miguu yako Yesu ninapiga goti na kukusujudia...maaana wewe unastahili kusujudiwa maana umesimama kwenye maisha yangu umetoa uhai ukazalilishwa na kuteswa ili me niokolewe niponywe na nifunguliwe ktk vifungu.....Nakupenda Yesu wewe ulimponya mwanamke alie kuwa anavuja damu miaka 12 na mbili. Lakini kwa kushika pindo la vazi lako tu ukamponya ndio maana na mimi nakudujudia miguuni pako maana najua kwako kunamsahada na kunaushindi Daima..... Nitalitangaza neno lako popote niendapo na nitalisifu jina lako kila siku za maisha yangu kwamaana wewe Yesu nakuamini na bado ntaendelea kukuamini siku zote za maisha yangu .🙏
.
.
Haya maneno ata wewe unaesoma hii Caption naomba uyatamke ukimaanisha katika hali yoyote unayopitia basi jua yupo Mwokozi wako atajibu kwa Imani.usiyatamke kwakua mimi Muna nimeandika tamka kwakua unamwamini yeye aliekupa uhai mpaka leo upo.

Wewe ni Mungu,usieshindwa 😢🙌🙏 @mercymasikamuguro 🙏Nakuamini Yesu.

Ndiwe sitara yangu na ngao yangu, Neno lako nimelingojea.
ZAB. 119:114

Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze. Nanyi mpingeni huyo, mkiwa thabiti katika imani, mkijua ya kuwa mateso yale yale yanatimizwa kwa ndugu zenu walioko duniani.
1 PET. 5:8‭-‬9

Mambo yameiva!💥 ijumaa hii tarh #29June #YoteMema🙏 yake @joellwaga_official video & Audio itakuwa kiganjani mwako kupitia YouTube Channel yake #JoelLwaga na online store zote! Subscribe fastaa kwny YouTube Channel yake uwe wa kwanza kuiona na kuipakua video hii itakayoinua tumaini lako kwa Mungu na kukupa nguvu tena ya kusonga mbele!
Audio by @oggykeyz
Video by @directorivan_tz
.
.
.
#YoteMema🙏
#itstimetotakeofftheworldawaits🔥🔥 #heavencultureonearth

Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
MT. 28:19 . . Mua by @jenheri_pro_mua
Stly by @gcina_culture_desgner
Photo by @zuchhy .
.
TUENDELEE KUVOTE TUNZO @sautiawards ILIMTUMISHI WA MUNGU @joellwaga_official AWEZE KULETA TUNZO NYUMBAN.

Ndiwe sitara yangu na ngao yangu, Neno lako nimelingojea.
ZAB. 119:114.
Mua by @jenheri_pro_mua
Stly by @gcina_culture_desgner
Photo by @zuchhy

tuendelee kuvote @sautiawards ili mtumishi @joellwaga_official alete heshima nyumban.

Most Popular Instagram Hashtags