mkudesimbaoriginal mkudesimbaoriginal

917 posts   2,184,969 followers   998 followings

Musa Kitale  The East African Actor Singer & Song Writter. Award Winner | Best Comedian 2018 A Story Writter For New Series πŸ‘‡ MANENO YA KUAMBIWA 93.7Efm

Your Love is determined by ur Lover.

MANENO YA KUAMBIWA

Zikiwa Siku 22 zimesalia kuelekea Kombe la Dunia nchini Urusi.
Hicho ndicho kikosi Cha #Belgium kitachoenda vitani Urusi,
Licha ya kuwa na wachezaji wenye uwezo miaka yote lakini bado Ubelgiji hawana recodi nzuri katika Kombe la dunia.
Mpinzani mkuu wa Ubelgiji ni Uholanzi. Nchi hizo mbili zimekutana mara mbili katika historia ya Kombe la Dunia ya FIFA, na kushinda moja kwa Ubelgiji (USA 1994) na kufungwa moja (Ufaransa 1998). Nini maoni yako kwa kikosi hiki cha #Belgium πŸ‡§πŸ‡ͺ mwaka huu, wataonyesha maajabu?
@startimestz @startimes @startimestz
#kombeladuniakiswazi2018nastartimes
#FIFAWConstartimes

Je unasumbuliwa na matatizo ya uzazi kwa muda mrefu??. Je umehangaika kutafuta mtoto bila mafanikio??.je unasumbuliwa na hormone imbalance na umezunguka kila mahali bila mafanikio?.je unasumbuliwa na uvimbe na mirija kuziba?? Je unasumbuliwa na uke waka kuwa mkavu?? je fungus na u.t.I vinakusumbua Tupigie 0674895249 au tufollow
@joycebonus @joycebonus @joycebonus @joycebonus
@joycebonus @joycebonus @joycebonus
@joycebonus

Moja ya Wasanii wangu kwenye Tamthilia ya Maneno ya Kuambiwa wanaofanya vzr @claramkudesimba_

Kichwa Changu kimejaa vitu vingi sanaaa ,adi kuna Muda najiuliza nikipaji au Nina Nguvu ya .......

Watu wengi wanajuaga Mm mluguru kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ siku ya Kuja kujua Nchi gani Natokea ....

Inavyosemekana Kichwa Changu kikubwa kuliko Mwili.

Umetusumbua sana leo Umeyakanyaga @kobelo_chapombe

Muogope sana Mtu Mpole ,sijui Hata tumpe adhabu gani Bakari kwa alichokifanya kwa minah ....?

Most Popular Instagram Hashtags