missuniversetz missuniversetz

377 posts   4259 followers   1569 followings

MISS UNIVERSE TANZANIA  Official Account for Miss Universe Tanzania . Follow us for recent updates and posts..

http://www.missuniverse.com/vote

@FlavianaMatata Miss Universe Tanzania 2007 and international model in Los Angeles with basketball star Shaq O'Neal as American Express Ambassador

@jihandimack akiea na furaha kwa kupokelewa kwa shangwe na wanawake wa Meatu Mkoani Simiyu wakati wakisubiria kukabidhiwa mifuko ya saruji kwa aji ya ujenzi wa shule wilayani humo.

Wananchi wa Meatu wamepokea kwa furaha msaada wa jumla ta mifuko 3000 ya saruji iliyotolewa na Freidkin Conservation Fund, Mwiba Holding Limited na Tanzani Game Tracker!Balozi wa Goodwill@jihandimack Miss universe Tanzania hakubaki nyuma kufanikisha hilo.

Mapema leo mrembo wetu @jihandimack ambaye ni Miss Universe Tanzania pamoja na team nzima kutoka African Wipdlife Trust wakiwa tayari wamewasili Meatu ambako kutakua na hafla fupi ya kukabidhi mifuko elfu 3 ya saruji pamoja na mabati 1,000kwa wananchi wa Meatu kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya elimu wilayani humo. Msaada huo umetolewa na wawekezaji wa utalii mkoani Simiyu ambao ni kampuni za Freidkin Conservation Fund, Mwiba Holding Limited na Tanzani Game Tracker Safaris (TGTS). Mkuu wa Mkoa Mhe. Mtaka ameelekeza kwamba msaada huo utajenga mabweni ya watoto wa wafugaji pamoja na madarasa kusaidia kuinua elimu wilani humo.

@jihandimack - Goodwill Ambassador of African Wildlife Trust and Pratik Patel - President of African Wildlife Trust
On their way to Meatu in Simiyu region just got some good time at Mwiba forest in Makao village.

Mrembo wetu @jihandimack akiwa katika vazi jekundu
@jihandimack our Miss universe 2016 look stunning in red.

Do not forget to switch on Choicefm 102.5FM @jihandimack our Miss Universe 2016/2017 will be live from the time 4:00-7:00Pm.

Usikose kumsikiliza Mrembo wetu wa Miss Universe Tanzania 2016/2017 @jihandimack ambapo atakua live Choicefm leo jioni kuanzia saa 10:00 hadi saa 1Usiku.
#missuniversetz

Asanteni East Africa Radio kwa kutukaribisha katika studio zenu leo .. pamoja sana!

Beautiful @jihandimack is grace under pressure at East Africa Radio Sunday morning talk show .. basi maswali na majibu yote yanaenda kiulaniii 😊😊

Glide into your weekend like @jihandimack on stage! 🤗 Muwe na wikiendi njema! #MissUniverse #Tanzania

Hii si ya kukosa kabisa! @jihandimack on East Africa radio kesho Sunday morning #MissUniverse #Tanzania

Nelly Kamwelu - Miss Universe Tanzania 2011 with Leila Lopes Miss Universe titleholder 2011 at the Miss Universe Afterparty

Most Popular Instagram Hashtags