millardayo millardayo

23,374 posts   4,002,299 followers   1,333 followings

millard ayo  On AIR personality |CloudsFM Tanzania 🇹🇿 | Blogger (millardayo.com)| YouTUBE,GooglePLAY & AppleSTORE FB Twitter @millardayo | millard@millardayo.com |

Luka Modric wa Real Madrid na Croatia ndio mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa FIFA 2018 akiwashinda MO Salah na Cristiano Ronaldo #MillardAyoUPDATES

Kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa Didier Deschamps ndio mshindi wa tuzo ya kocha bora wa FIFA wa kiume 2018 #MillardAyoUPDATES

Mohamed Salah wa Liverpool/Misri ndio mshindi wa tuzo ya goli bora la FIFA 2018 (Puskas Award) #TheBestFIFA2018 #MillardAyoUPDATES

Baadhi ya mastaa wa soka waliohudhuria sherehe za utoaji wa tuzo za The Best FIFA 2018 zinazofanyika London usiku huu #MillardAyoUPDATES

‪Mbunge Bobi Wine amemkejeli Rais Museveni kwa kuwapa Vijana ktk jimbo lake Dola 26000 sawa na zaidi ya Tsh. Milioni 59, Bobi amesema kuwa Serikali ya Uganda kwa sasa haiwezi kuwaambia Wananchi wake kitu chochote na kutokana na hilo imeanza kuwanunua.#MillardAyoUPDATES
VIA: NTV

UPDATES: Lilipofikia zoezi la kukinasua Kivuko cha MV. Nyerere kilichozama Ziwa Victoria Septemba 20 na kusababisha vifo vya watu 227, kisiwa cha Ukara, Mkuu wa Majeshi Venace Mabeyo anaesimamia zoezi hilo ndio ametoa taarifa. #MillardAyoUPDATES

UPDATES: Lilipofikia zoezi la kukinasua Kivuko cha MV. Nyerere kilichozama Ziwa Victoria Septemba 20 na kusababisha vifo vya watu 227, kisiwa cha Ukara, Mkuu wa Majeshi Venace Mabeyo anaesimamia zoezi hilo ndio ametoa taarifa. #MillardAyoUPDATES

Usingizi pekee usio na ndoto mbaya ni wa magodoro ya @gsmTanzania !!! 😀 sasa hivi yanapatikana kwenye matawi yote ya GSM Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Mbeya, Kigoma, Dodoma na Mtwara, au wapigie waambie MillardAyo amekupa namba yao 0784000000 @gsmmall

NIC BANK.... online shopping kama mbelee 😀

Most Popular Instagram Hashtags