metlgroup metlgroup

111 posts   14813 followers   6 followings

MeTL Group  One of the biggest conglomerates in Africa. 🌐 28,000 Employees 🇹🇿 Proudly #Tanzanian 🌍 Present in 11 African Countries

http://www.metl.net/

Kesho MO Express Store pale mtaa wa msikiti wa kitumbini, Posta ! #Pakti1000 #MoSpaghetti #Tambibae @idrissultan ameamua kugawa Tambi za buurreee !

Jifunze jinsi ya kupika MO Spaghetti na @idrissultan ! Sasa zinapatikana kila duka nchini #MoSpaghetti #metl

Director of Sales- Hussein Dewji akiwa anazindua MO Express Stores ! Mahitaji yako yote ya kila siku ndani ya MO Express Stores #metl #MO

Angalia usije ukala hiyo kibiriti ukaona ni biskuti 😂😂 @idrissultan ! MO MASAAI VIBIRITI ! Cc: @moodewji @moh_amirhamza #METL #MO #werevaa #pigomoja #mosafetymatches

Repost from @idrissultan - Hapo kwenye pigo moja hapooo narudia hapo kwenye one pigo hapo 😅.. Yani paaaaa MOTOOOOOOOO. Kuna siri ntakuja kuwapa soon ya hivi viberiti ni nomaaa. Ila kumbuka hapo kwenye pigo hapo 😷 #PigoMoja #MoSafetyMatches #METL

Our @metlgroup calendars are out! Who is ready for 2017?

Today @metlgroup supported the efforts lead by @modewjifoundation to donate essential household and school items to #TumainiLaMaisha - Tanzania's first cancer ward dedicated to children. Goods donated included: books, pens, cooking oil, flour, petroleum jelly, bar soap, washing soap, medicated soap, biscuits, hand wash and khanga's!

Mungu Ibariki Tanzania

Je, unasikiliza nini sasa hivi? Tuambie hapo chini ❤

#UsikateTamaa #HadithiYako
"Naitwa Maimuna, tangu nilipokuwa darasa la tano, nilikua napenda sana kuwa mwanasheria, nilisoma kwa bidii sana ilk ndoto yangu itimie, niwe mwanasheria, kwa bahati mbaya nilipofika kidato cha sita matokeo yangu hayakuwa mazuri sana, hali iliyonilazimu kushindwa kuendelea na system ya kawaida ya vyuo, ilibidi niapply diploma na nikapata hiyo nafasi lakini kipindi hiko hiko mama yangu alikua mgonjwa sana, pesa nyingi ilikua inatumika kumuuguza, hali iliyosababisha kushindwa kumudu kulipia diploma, ila sikukata tamaa niliamini siku moja ningefanikiwa, na Mungu amesaidia, kwa sasa nasoma bachelor of laws, bado miaka michache nitimize ndoto yangu." Asante Ndugu Maimuna kwa kushiriki nasi hadithi yako. Tunakutakia kila lla kheri katika kufanikisha ndoto aako. Usikate Tamaa!
Je, hadithi yako ni ipi? Tuambie kwa ufupi hapo chini

Leo tumezindua rasmi kempeni ya "Usikate Tamaa"

Kampeni hii ilizinduliwa na Mkurugenzi wa Masoko wa MeTL Bi Fatema Dewji-Jaffer. "Usikate Tamaa" ni kampeni kuhusu utoaji wa matumaini kwa jamii kupitia simulizi za watu waliokuwa na kipindi kigumu na wakafanya vyema, simulizi hii ni kwa ajili ya maendeleo ya kijamii.

Chapa yetu inajitofautisha sana na wengine katika soko si kwa sababu ya kuuza soda tu bali ni ile imani yetu kwamba kwa kila tufanyacho tunabadili maisha ya watu wetu.

Katika kampeni hii hatukulenga tu kufanya biashara lakini, MeTL kupitia chapa yetu ya Mo tunataka kutengeneza hisia, tunataka wananchi wetu kuhamasika wakati wanakunywa vinywaji baridi vya Mo, tunataka vinywaji vyetu kuwapatia matumaini zaidi kuendelea kupambana licha ya kuwepo kwa changamoto mbalimbali

Na sisi katika MeTL kupitia chapa yetu ya Mo tunaheshimu huo uwezo wa kutokata tamaa ambao watu wanao bila wao kujua, tunataka kuheshimu hilo, tunataka kuwapa tunzo watu hawa wa kawaida, tunataka kuwapa sauti ili watu wengine wawaige, hilo ndilo hasa linalomanaanisha kampeni hii ya Usikate Tamaa, huu ni mwanzo tu lakini tuna mengi sana katika siku zijazo

Katika uzinduzi wa kampeni yetu tulipata fursa ya kusikia simulizi za msanii maarufu wa miziki Tanzania, Sheta. Alisimulia magumu na vikwazo aliyopitia mpaka kufikia mafanikio bila ya kukata tamaa #usikatetamaa

“Nikiwa shule nilijigundua nina kipaji cha mziki, Familia haikunipa sapoti ya kutosha. Lakini mama yangu alinipa moyo na Sikukata Tamaa. Leo hii naishi kwenye Ndoto zangu” SHETTA
Je, hadithi yako ni ipi? Tuambie kwa ufupi hapo chini. Hadithi yako inaweza kuhamasisha wengine!

follow this page in feedly

Most Popular Instagram Hashtags