meena_ally meena_ally

1,539 posts   156,633 followers   1,676 followings

Meena el-bahssan  πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Radio Personality| Youth Activist| Creative Genius|Actress SKILIZA AMPLIFAYA/NIAMBIE @cloudsfmtz Na Code 255 ndani ya chachawiza @baharifm1 KENYA

Siku ya kwanza kufika Dar kutoka meru. .πŸ˜‚πŸ˜‚
Karibuni Amplifaya.

Rest easy ndugu zetu wa Mv. Nyerere.
#TutaonanaBaadae #Amplifaya
Tuma ujumbe wako kwa wafiwa na wahanga hapa.

Mashabiki wa Simba hao wanataka tuanze upya πŸ˜‚πŸ˜‚ maana hawajadamshi. Tuma salamu kwa mashabiki wa Simba leo πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
NB: Mimi pia Simba damu.

Nani unataka kumsalimia leo kwenye Amplifaya na kwasababu gani?
Welcome.

Kama jamhuri tunasemaje? @cloudsfmtz

Nipe Max zako kuigiza najua? πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Movie imetoka leo inaitwa MCHEPUKO ya @bongohoodzpichaz Inapatikana Youtube sasa hivi,Link kwenye bio yao.
Bwana Mbasa anajikuta matatani baada ya kuamka na kukuta mchepuko wake umefariki kitandani na wife yupo njiani anarudi home.
@shiraz_ngassa nimekuandama kama umeiba nyama jikoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Throwback thursday kwenye Amplifaya.
Nini hautakaa ukisahau maishani mwako?

❀

Nimeigiza kwenye filamu mpya inaitwa Mchepuko, humo ndani naonekana mbea hatari πŸ˜‚πŸ˜‚
Coming out tarehe 14/9/2018 Mnakaribishwa youtube account ya @bongohoodzpichaz

Karibu kwenye Amplifaya, Weekend yako ilikuaje?
Sisi tunaiokota na @mauasama na @hassan_stone_

"Sungura nipe karoti,maharage sijazoea, iokote..."
Make up : @queennuru_makeup

Make up by the amazing @queennuru_makeup

Most Popular Instagram Hashtags