[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

mbotohaji mbotohaji

785 posts   407231 followers   3420 followings

Mboto Haji  Mimi ni mtanzania ni muigizaji wa filamu za vichekesho(comedy) Naongea saana kiswahil na Am not good in English Napenda marafiki wenye kunifunza

Unakula had unasahau kama una mtoto daaah, sijui anakula milungi

Looo jamaaaani

Timu msondongoma oyeeeeee @dacotadelavida

Wahenga only

Happy Birthday future Pilot Jotham cake wapi jaman @zamaradinzowa

Maisha bila utan hayaendi (utani kidogo)

Heeee

Faida ya (....)

Wataalam wamekata kipande cha kansa nakukijaribu kuwa, ukiwa unatumia kitunguu swaumu kinakimbiza kansa lakin dhahabu inafatwa.
Tuwe waangalifu na dhahabu kwamba inafanya kansa kuwa karibu nawe kwa asilimia kubwa sana. Tupende kutumia kitunguu swaum na tuwe mbali na dhahabu

Kifaa maalum cha kuwakimbia wanaokudai, usipate tabu wahi sasa kuwakimbia kisomi wooote wanao kudai

Mungu mkubwa, amemjaalia yule mtoto wetu Enock ambae alikuwa akijisaidia haja ubavun, kafanyiwa upasuaji na kuunganishwa kwa utumbo ili kumsaidia Enock aweze kujisaidia kwenye njia ya kawaida, bado dua ziendelee kwani juma tatu doctor bingwa atapita ili kutoa tamko rasmi LA maendeleo yake, mwenyez mungu mwingi wa Rehema hashindwi. Dua zinahitajika ili tupate majibu mazur kwa mtoto Enock

Mmmmhhhhh

Most Popular Instagram Hashtags