mangekimambi_ mangekimambi_

8,133 posts   1,849,103 followers   381 followings

Mange Kimambi  Political commentator | Democracy Activist Los Angeles ~ Whatsapp:+1 424 288 1123 ~ πŸ‘‡πŸ‘‡ magroup ya maandamano

Dah @mariastsehai umeiweka vizuri mnoooooooo kwakutumia mfano wa Ben Saanane... .
.
. Kwenye hili la 1.5 Trillion hawachomokiiiiii, hata watishie watu vipi hawachomokiiiiiii. Magufuli atatuonyesha hizo pesa zilipo.
.
.
Mkulu akiona tweet kama hizi anahisi TCRA wanachelewa kuzima mitandao. Tubaki tunaangalia TV za kumsifia, radio za kumsifia na kusoma Magazeti ya kumsifu. Hapo ndio atakuwa ana raha ya dunia. Mitandano haina muda TZ

Walipopitisha sheria za mitandao waliwatumia wasaniii kufanya sheria hii ikubalike kwa jamii kwa kudai kuwa itawasaidia wasaniii wasitukanwe. Kina Wolper waliitetea kufa wakiamini ndio mwisho wa vichambo. Niliwasihi mnooo kuwa sheria hiyo haiwahusu wao ila itawalinda viongozi, niliongea hadi koo lilikauka ila mastaa hawakutaka kusikia kitu sababu viongozi walikuwa wamewashika masikio. Leo hii sheria ya mitandao inamlinda nani?Si inawalinda viongozi tu? Je Mastaa wameacha kuchambwa?Sasa kwanini wanakuwaga wabishi tunapojaribu kuwa elimisha?
.
.
Bashite na vita yake ya madawa ya kulevya aliwatumia wasaniiii kufanikisha zoezi na kuficha hila zake ila his main target walikuwa ni kina Manji na wale matajiri wa mafuta.
.
.
Na hizi video za kina Dai na kina Nandy. Zilikuwa na kazi mbili tu kuwatoa kwenye reli ya mambo ya maana ya bunge la bajeti, upotevu wa 1.5 trillion na maandamano pia video hizi zitatumika kujustify hatua ya Serikali kublock mitandao ya kijamiii. Mtaambiwa inabidi mitandao ifungwe ili kulinda utamaduni wetu. Kama mlivyoambiwa wanazima bungelive ili mfanye kazi.Mnadhani huo usanii wao wa sijui Diamond kaitwa polisi sijui passport yake inashikiliwa mnadhani wanapoteza muda wao tu?Mnadhani Diamond ni nimtu wa kuwekwa ndani na serikali hii? Ni usaniii mtupu. Ila Target kubwa ya video hizi za wasaniii ni mitandao kuzimwa. Na Rais wenu mmemsikia jana, anataka TZ iwe kama China, hakuna mitandao. Facebook, Instagram, Twitter, whatsapp vitabaki historia Tz.Very soon.
.
.
Na mitandao ikishazimwa ndo wapumbavu wengi wataanza kuuliza maandamano ni lini wakaandaname ila itakuwa too late, hakutakuwa na njia ya kujipanga kiurahisi kama sasa. Yani kuna mijitu mpaka ikose umbea wa insta ndo itaanza kupigania uhuru wao.Sasa hivi tunahamasisha maandamano yapo busy yanaposti ushuzi wa mastaa. Kuna fake account zina followers zaidi ya laki 5 ila wanapinga maandamano bila kujua kuwa in a few weeks hizo Page zao zinazowaingizia vihela vya kula kwa matangazo zitapotea.
.
.
Sometimes natamani nimchape mtu kibao ili anielewe. Natamani nimwambie unapinga maandamano hivi unajua kuwa mwezi ujao utakuwa huna hata hiyo page ya instagram sababu hao unaowatetea watazima mitandao?

Sista tuko tayari kujikomboa na viongozi wanaovunja katiba na kutuonea, tunaishi kama mateka. Ajira hakuna sista tuna hali mbaya sista. Tukiongea tunafungwa nchi gani hii? Kina Sugu wamefungwa kwa kusema ukweli. Yeye anataka kusifiwa tu? Nchi yenyewe imemshinda, uchumi umeporomoka alafu bado anatunyanyasa. Jamaa mkatili mno sista.Tuko tayari kuandamana ili tuogopewe na viongozi na sio sisi kuwaogopa viongozi. Sista tumechoka.

Huyu ni mbunge wa CCM, Omary Mgumba, nae akizidai 1.5 Trillion.
.

Hii 1.5 Trillion Magufuli hawezi kuikwepa.... Ataionyesha tu ilipo. Anadhani kumwita CAG Ikulu na kuumuliza kibabe ndo kafunga mjadala? Tena kamuulza swali ambalo halipo kwenye hoja?

You can do it πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Sidhani kama bado mnahitaji mtu yoyote yule kuwaeleza maisha yanayowasubiri huko mbele. .
.
Magufuli mpaka sasa hivi by 90% amefanikiwa kuvi control vyombo vya habari. Ni mitandao tu inayomuumiza akili. Imagine amefikia sehemu anatufananisha sisi na China. Yani ana admire jinsi wachina hawako free kwenye mitandao. Hivi bado ni ushahidi gani mnauhitaji kuwa huyu mtu ni dikteta, tena sio dikteta uchwara anymore. Ni dikteta aliekamilika.
.
.
Nnachowaeleza ni kwamba Tarehe 26 msipoandamana Yani atapata confidence ya ajabu mnoooo maan sasa atajua hakuna mtu atakaefurukuta. Na cha kwanza atakachofanya ni kujipa miaka 7. That means uchaguzi ujao utakuwa 2023 instead of 2020.
Ninawahikikisha Magufuli haondoki madarakani. Na uchaguzi wa 2020 mtalia machozi, wabunge wa upinzani hakuna hata mmoja ataerudi bungeni. Na atashinda ushindi wa ku historia 90% or more Yani kama Kagame anavyoshindaga....
.
.
Na hakuna mtu anaekuja kuwaokoa. No one is coming to save you. You have to save yourselves. .
.
Na kibaya zaidi huyu ni dikteta wa mifano ya kina Mugabe. Nchi itapukutika. Umaskini utakuwa ndio umaskini. Hakuna watu ambao ni rahisi kuwa control kama watu maskini ni sababu hata ukiwapa mkate tu wanasahau njaa ya jana wanaridhika.
.
.
Nchi yenu inapotea. Tanzania anayoitaka Magufuli itafanana na Rwanda copy and paste. You will live in fear, your children will live in fear, your grandchildren willl live in fear. Na kibaya zaidi mkimruhusu Magufuli alete udikteta msidhani kwamba kuna siku mtarudi kwenye Demokrasia Hii ndio kimoja.
.
.
Kwa wale ambao bado mlikuwa hamjawa convinced kuandamana kama hii video haitakufanya uandamane basi hakuna kitu kingine kitakachokufanya uandamane. Hiii video inaonyesha mnaongozwa na mtu mwenye mpango gani na nyinyi. Na msipoandamana sasa hivi mkamtoa baadae hamtomuweza. He will only get stronger from here on....

19. Dar - Posta- Askari Monument
20. Songea - Maeneo ya soko kuu
21. Sumbawanga -
22. Mwanza - Round About ya Samaki Samaki
23. Singida -
24. Manyara -
25. Tanga - Mabanda ya papa

13. Kigoma - Round about ya Mwanga
14. Shinyanga - Njia ya Magari ya Mikoani- Njia panda ya kuelekea Old Shinyanga
15. Pwani- Kibaha Maili Moja
16. Tabora - Soko Kuu
17. Lindi - Round about ya CRDB- Mnara wa Saa karibu na soko kuu
18. Musoma - Round About Stendi ya Zamani

7. Unguja - Round about ya Michenzani
8. Pemba- Benki
9. Bukoba- Round about ya Stendi
10. Njombe - Stendi Kuu
11. Kilimanjaro- Mnara wa Saa
12 Katavi - Round About ya Mpanda Hotel

1. Mbeya - Mafiyat
2. Arusha - Clock Tower
3. Mtwara - Mnarani
4. Dodoma - Kiplefti cha zuzu
5. Morogoro - Round about ya Msamvu
6. Iringa - Posta- Mnara wa Saa

Kipanya aliishtukia mapema πŸ™†πŸ½β€β™€οΈ

😳😳😳😳

Most Popular Instagram Hashtags