mamybabytz mamybabytz

1,113 posts   502,851 followers   592 followings

MAMI  ☆Radio Personality | CLOUDSFM | ☆YouTubeChannel | MamyBaby ☆#KeshoFresh ☆#DadaHood

“Mon amour” 💚

Tarehe 22 Disemba kwenye Viwanja vya Posta Dar es Salaam, Machampion wote wa nchi wanakwenda kutoa shukrani moja kubwa na kushangalia mafanikio ya mwaka huu.

Ni mara 2 ya tulichokimiss: stage ya viwango, sound kubwa kuliko, bata la kihistoria na list ndefu ya machampion.
.
.
#TigoFiesta2018 #VibeKamaLoteeeee

el amor es hermoso 💜

Wachache katika wengi watakaouwa siku ya j.mosi #AfterSkulBash 🎈

ⓂⓂⓂ

Maskini #Designer si kwa kulilia uko "My sneaker..... My sneaker" 😂😂😂 lo! Wakenya sio watu wazuri! Imagine unaambiwa apo ni VIP je angekuwa kule kawaida ingekuwaje si wangeondoka adi na naniliu! 😂😂

Kila mwaka @barbarahassan1 anawa'support @hope4young_girls in december bday month yake . Last time alikusanya vitu kwa ajili ya watoto yatima. Walifurahi sana. Mwaka huu @hope4young_girls wamebadilika kidogo. Wanasherehekea ukarimu wa vijana wanaojitolea na kua wanaharakati wa haki za binadamu. Kwa pamoja tunakukaribisha kusherehekea nasi kwa kuchangia ukarimu wako kwa watu wenye uhitaji.
Tunapokea - mchele, unga, mafuta, sukari, sabuni, juice, maji, nguo, viatu, taulo za kike na kadhalika.
Unaweza kufikisha mchango wako ofisi za Clouds (@barbarahassan1 ) au piga 0652 444322 au email info@hope4younggirlstz.or.tz

💯

Na sisi tunaoku'wish kutoka #Tanzania🇹🇿 tunapost uku uku insta 😂😂😂 @djdommy ushatoka wewe , umeyapatia omarri More life mwanangu! Happy burrfdayyyyy 🎈

That moment when you realize your childhood is over. 💫💫💫 #tbt🔙

Throw🔙 ❤

Most Popular Instagram Hashtags