maishayabongo.show maishayabongo.show

146 posts   18564 followers   13 followings

Maisha ya Bongo Star TV  Maisha ya Bongo ni Tamthilia inayohusu maisha ya familia za chini, kati na juu inayorushwa kila siku saa 1.00 jioni Star TV. Marudio saa 6.30 mchana.

SIRI ZA FAMILIA @sirizafamilia Tunaliamsha Dude Morogoro. Tuonane Eid Mosi. Kulipia Ticket yako Mapema Wasiliana Kwa Simu au SMS au WhatsApp kwenda namba 0768 355 555 kwanza kisha lipia Kwa MPESA ikiwemo Pesa ya kutolea. Tahadhari: kuwa makini na Matapeli wa njia ya Simu.

SIRI ZA FAMILIA @sirizafamilia Tunaliamsha Dude Morogoro. Tuonane Eid Mosi. Kulipia Ticket yako Mapema Wasiliana Kwa Simu au SMS au WhatsApp kwenda namba 0768 355 555 kwanza kisha lipia Kwa MPESA ikiwemo Pesa ya kutolea. Tahadhari: kuwa makini na Matapeli wa njia ya Simu.

Je Adrian atafurukuta Kwa Serena?

Serena wa Maisha ya Bongo

Ugomvi wa kwenye TV wa Tamthilia ya SIRI ZA FAMILIA @sirizafamilia inayorushwa EATV unahamia kwenye jukwaa sasa. Ni sheeder. Tunaliamsha Dude Morogoro. Na katika hawa wawili lazima moja akae kumaliza ubishi. Je nani atatwaa ubingwa? Nani atalia? Mazoezi waliyoyafanya hadi kujazia vifua yanatisha. Hadi Six Pack! Tuonane Eid Mosi, Uwanja wa Jamuhuri. Kupata Ticketi au Kudhamini Tamasha Wasiliana Kwa SMS au WhatsApp tu: 0768 355 555

JASONS PRODUCTION Watayarishaji wa Tamthilia ya MAISHA YA BONGO ambayo imekuwa ikirushwa STAR TV tunapenda kuwajulisha kuwa Kutokana na Sababu zilizo nje ya uwezo wetu Tamthilia hii haitarushwa tena. Kama kutakuwa na mabadiliko yoyote juu ya urushwaji wa Tamthilia hii tutawajulisha. Tunawaomba radhi wapenzi na mashabiki wote wa MAISHA YA BONGO kwa usumbufu uliojitokeza.

Brandy @neyrinesaul aonana na Allen @ahmedy_shifta na kumuomba amsaidie kupata appointment ya kuonana na Mr Edward

Mr Edward arudi home akiwa amefurahi. Awaimbia mabinti zake Michelle @dayanadeprincess na Sabella @kol_me_sasha. Sijui kama ni kupatikana kwa pochi au kufaulu Kwa Sabella. Hapo ni mwendo wa Zilipendwa kwenda mbele.

Mr Edward @tshilocojack ampa kazi Allen @ahmedy_shifta ya kumtafuta aliyemrudishia pochi. Asema ni kijana mzuri na mwaminifu.

Tony @tonymollel amjulisha mama yake kuwa amesharudisha pochi. Dorcas @bi_mozah asema Mungu atawapa riziki Kwa njia nyingine

Brandy @neyrinesaul aingilia kati swala la kutuhumiana kuhusu SMS. Adrain @abdul_mhema adai anampenda mke wake na Serena @biseko27 Mmmhhh bado haelewiii. Adran aamua kumpeti peti

Issue ya SMS imekuwa Sheeder. Serena @biseko27 amuuliza Camilla juu ya Messages Mwenyewe alia kuwa anasingiziwa na kumtuhumu kuwa anatoka na munewe

Most Popular Instagram Hashtags