lizyreplies lizyreplies

3,688 posts   105,280 followers   104 followings

ⓕⓐⓝ ⓟⓐⓖⓔ  6/5 Baby fruit is BAE 🍒🍓🍏🍉🍅🍎🍇🍍🍠🍆🍑🥒🥝🍊🥑🍋🥒

Beyonce wa bongo hutaki kumbatia transfoma....

Ila wabongo sisi kwa kushadadia mambo duh...tunasahau mpk utu na ubinaadamu!.....Mitandao isitutoe ubinadamu tukumbuke tu formula ya maisha halisi ni kwamba leo kwa mwenzio kesho kwako!...hilo halina ujanja na alikwepeki.....Asubuhi njema💔

Morning lululovers 😍😍😍

Pumzika kwa amani Patrick daima utaishi mioyoni mwetu
Mwenyezi Mungu amtie nguvu mama yako katika kipindi hiki maana najaribu kiatu chake hakitoshi jaman

Eeh Mungu usielala walala kusinzia tunakuomba umwamshe Patrick awe mzima tena Mungu wetu na Kama kuna wachungaji plz waungane na sisi kumuombea Patrick aamke bado Nina imani na Mungu Kama unaamin Mungu atamponya Patrick ungana nami tuseme Amina Mungu anaweza.

Fave 🔥🔥🔥🔥🔥💗

Good morning lovies

My girl💗

Kipenzi cha wengiiiiii 💗💗💗

Good night guys💕💕

Yan apa tulale tuote tuamke tulale tena tujambe tulale tuamke wanaume wa Africa sijui uwa hawaangalii ata movie nyoko hawa wanatushonesha mavitenge kama tunaenda kuzindua kwaya mxieeww zao

Kwanini nmeongea kwa uchungu lakin😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Most Popular Instagram Hashtags