lemutuz_nation lemutuz_nation

12946 posts   465145 followers   6920 followings

Le Mutuz Nation  - THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK - KAZI JUU YA KAZI yaani BAMPA TO BAMPA - Ambassador @asas_dairies - Le Mutuz Blog +255 717 618 997

http://www.lemutuz.com/

Thanks be to God leo tumemalizia Wiring yaani sasa Umeme humu ndani at our New Le Mutuz Online TV Studio Downtown to Downtown back to back upo sawa 100% ....bado a standby Generator umeme wa Tanesco ukikatika ...kazi ya Blog imeshaanza tayari na PHASE TWO ya vifaa vya TV itaanza anytime lakini pole pole hatutaki kukosea U know ....Guys tupigane na tupambane na maisha wachana na maneno ya wasiokufahamu cause ni wewe ndiye unayeijua Size ya Njaa yako kama mimi ninavyoijua Size ya Njaa yangu ....how to fight sihitaji kuambiwa wala ku negotiate au ku Compromise na any one ....ni kupigana tu mpaka siku ya mwisho wa Maisha ila as long as I live the fight goes on na hakuna wa kuniamulia Silaha ....hahaha ....guys hakuna mkato ni KAZI JUU YA KAZI .....Bampa to Bampa and I lov it! - le Mutuz Nation

LE COMMANNDANT FIELD MARSHALL RC @paulmakonda ...Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa _*Paul Makonda*_ leo amekabidhi *Computer za kisasa 50* zenye thamani ya zaidi ya *Shilingi Milioni 170* kwa Manispaa tano za Mkoa wa Dar es salaam pamoja na Watu wa Jiji na Mkoa kwa ajili ya kurahisisha utoaji wa vibali vya ujenzi....Katika mgawanyo huo kila Manispaa imepatiwa *Computer nane (8)* huku Ofisi ya Jiji wakipatiwa *Computer tano (5)* na Ofisi ya Mkoa wakipatiwa *Computer tano (5)* ikiwa ni ufadhili wa kampun ya ulinzi ya *TAMOBA Company Ltd* iliyomuunga Mkono Mheshimiwa _*Makonda*_ kutokana na kuhamasika na utendaji kazi wake mzuri.
...._*Makonda*_ amesema Computer hizo zitawekewa Mfumo wa kisasa ujulikanao kama _*Dar Ardhi E.System*_ utakaoziunganisha idara zote zinazohusika na utoaji wa vibali vya ujenzi (One stop Center) ili kurahisisha Mwananchi kupata kibali cha ujenzi ndani ya muda mfupi, ambapo mwananchi atakuwa na uwezo wa kutuma maombi ya kibali cha ujenzi kwa kutumia simu ya mkononi mwake au Computer hata akiwa nyumbani na akapewa majibu yake kwa haraka.
.._*“Kazi yangu kubwa ni kupunguza mateso,malalamiko na kero za Wananchi dhidi ya maswala ya Ardhi, na namna mbili za kupunguza ni pamoja na kuwawezesha watendaji kuwa na nyenzo na vifaa vitakavyorahisisha kufanya kazi zao kisasa zaidi kuendana na kasi ya Rais wetu Dr.John Magufuli, na pili ni kusimamia uwajibikaji kwamba kila mmoja anatekeleza majukumu yake ili Mwananchi wa Mkoa wa Dar es salaam asipate adha na mateso aliyokuwa akiyapata kwenye Sekta ya Ardhi. Umuhimu wa kutoa vibali vya ujenzi ni jambo lisilopingika hasa katika mji huu unaokuwa kwa kasi barani Afrika”*_ Alisema _Makonda._..Aidha Computer hizo zitawekewa Mfumo maalumu utakao kuwa ukikusanya Maoni na mapendekezo ya wananchi ambapo wananchi watakuwa na fursa ya kutuma maoni yao na kero mbalimbali zinazowakabili kwenye sekta ya Ardhi..._*“Tumeishi sana kwenye mfumo wa makaratasi na mafaili, na wakati mwingine kumekuwa na changamoto ya kupotea kwa mafaili na mwananchi kupata adha ya kutoelewa nini afanye maana ataanza upya kutuma maombi....KAAZI JUU YA KAZI ...Bampa to Bampa ...KANYAGAZZ! - le Mutuz Nation

Le Commandant Field Marshall RC @paulmakonda ...jana na Waalimu Wakuu pamoja na Waratibu wa Elimu Kata...live at the Mwalimu Nyerere Conference ....KANYAGA TWENDE! - le Mutuz Nation

My Best Friend Kenyan Super Bilioneaz & Media Mogul le Mbebez AKILI KUBWAZZZ @beatricendungu ...talking to Students at National Institute of Transportation on the Subject of BRANDING ....proud of you @beatricendungu KANYAGA TWENDE! - le Mutuz Nation

Thank U @dstvtanzania wamekuwa our Sponsors too for the a while ....na for sure we are moving with them to the Online TV...hahaha....I lov it I mean working with @dstvtanzania its kool cause wapo very Understanding and Super Professional ....thank U @dstvtanzania ....sasa ni KAZI KAZI U know! - le Mutuz Nation

Thank U Delina Groups of Companies Inc. @officialdavismosha ...wamekuwa our Number One Sponsors since the Day One tulipoanza na Blog May/2017 ....mpaka leo and as we start to transform to the Online TV tunaenda nao kama ilivyokuwa so againThanks Delina ....Mnatuamini kwa sababu Tunajiamini ....hope wengine wanajifunza ....I am Super Humbled U know! - le Mutuz Nation

With @asas_dairies Big Boss Faraj.....Thank U @asas_dairies kama kawaida ndio our Main Sponsors wa kudumu na ndio Wadhamini wetu wa kwanza wa "LE MUTUZ ONLINE TV" ....again thank U for always believing in our Brand Name ...mnatuamini kwa sababu TUNAJIAMINI .. ...NINAWASHUKURU KWA SABABU NINAJUA AS A FACT KUNA ONLINE TV NYINGI SANA BONGO AMBAZO HAZINA SPONSOR HATA MMOJA ..Thank U @asas_dairies I am Super Humbled!...na sasa KAZI KAZI! - le Mutuz Nation

"LE MUTUZ ONLINE TV".......Thank U the Management @clubnextdoor kwa the Ofa ya kudhamini na kusimamia Gharama zote za "Official Launching Of our New Online Le Mutuz TV" ....I am just Super Humbled na the Ofa ingawa bado sana kufikia Uzinduzi Rasmi ....lakini @clubnextdoor wametupa Nguvu na Courage kwamba hatukukosea kwenye Kuota Ndoto yetu na kuifanyia kazi mpaka kufikia tulipo now .....the iron is the trust and respect ya our Brand Name "LE MUTUZ" by the @clubnextdoor ....again thank U @clubnextdoor I am Super Humbled!....na sasa ni KAZI KAZI! - le Mutuz Nation

Leo ni Siku ya kuzaliwa kwa my Best Friend le Mbebezz @seda7_collection ...love U mingizzz Ubarikiwe uwe na Maisha marefu ....lov U always Babe! - le Mutuz Nation

My Best Friend AKILI KUBWAZZZ @iam_just_rakel ...I just lov U unconditionally what a Super Brains Babe U know ....Hakunagazz like U!..lov U always! - le Mutuz Nation

Tunajifunza how to be humble from wanaotuzidi in the Game ... @king_solo8 ..you are always mfano wa kuigwa Boss on how to be humble ni kama haupo kumbe upo....hahahahah..Salute Man! - le Mutuz Nation

KAZI JUU YA KAZI ...95% ready ..."LE MUTUZ ONLINE TV" at Downtown back to back....Bampa to Bampa ....I am Super Humbled U know! - le Mutuz Nation

Most Popular Instagram Hashtags