legendarymusic legendarymusic

322 posts   1958 followers   3326 followings

Production | Studio | Events  Production House In Tanzania Recording Studio, Video Production, Photo Shoot, Graphics, Printing +255 754 63 50 57 +255 713 47 43 48

http://www.legendary-music.com/

KARIBU MUSIC CENTER
Ni Kituo Cha KUKUZA na kutoa MAFUNZO ya MUZIKI, SANAA Mbali Mbali na UTAMADUNI

Fika Ofisini Kwetu
#KaribuCenter MBEZI BEACH Tank Bovu Mtaa wa Maguruwe +255 756 720 534 #KaribuMusicCenter #MusicIsLife

Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Karibu KARIBU CULTURAL PROMOTIONS ORGANIZATIONS (KARIBU MUSIC CENTER) Iliyosajiliwa kisheria chini ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto. Imefungua kituo (Center) kwa ajili ya Ukuzaji na mafunzo ya Muziki, Sanaa na Utamaduni, Taasisi inatoa nafasi kwa Watanzania wote hususan Vijana wenye vipaji  na /au uwezo katika maeneo yafuatayo:
#UIMBAJI
#UPIGAJI WA ALA ZA MUZIKI #UTAYARISHAJI WA MUZIKI #UTAYARISHAJI WA VIDEO

Kituo kitaendesha mafunzo na kutoa fursa kwa vijana watakaochaguliwa kuendeleza vipaji vyao BURE. Vijana watakaofanya vizuri zaidi watapata fursa za kuendeleza vipaji vyao kama, nafasi ya kurekodi na usimamizi wa kazi zao, kushiriki kwenye Bendi, Kushiriki Matamasha na nyingine nyingi.
JINSI YA KUJIANDIKISHA:
Fika katika ofisi zetu zilizopo #MbeziBeach #Tangibovu (Maguruwe Street)

Wasilisha maombi yako kwa kutuma barua pepe kwenda info@karibumusic.org
Au piga simu 0756720534 kwa Maelezo zaidi
NAFASI NI CHACHE, USAILI UTAFANYIKA JUMAMOSI TAREHE 24/06/2017

@karibumusiccenter
Ni Kituo Cha KUKUZA na kutoa MAFUNZO ya MUZIKI, SANAA Mbali Mbali na UTAMADUNI

Fika Ofisini Kwetu
#KaribuCenter MBEZI BEACH Tank Bovu Mtaa wa Maguruwe +255 756 720 534
What's App +255 713 474 348 #KaribuMusicCenter #MusicIsLife

Je Una KIPAJI cha MUZIKI? Kama KUIMBA, KUPIGA ALA ZA MUZIKI au KUTAYARISHA MUZIKI? Kaa Tayari Mambo Mazuri Yanakuja. #MusicIsLife

#KaribuMusicCenter Ni Kituo Cha KUKUZA na kutoa MATUNZO ya MUZIKI, SANAA Mbali Mbali na UTAMADUNI. #WeLoveMusic @karibumusicfestival @legendarymusic @legendaryproductiontz

@chikaya_buruya "Nimefanya Muziki kwa muda mrefu. Lakini kwa miaka miwili sasa nimeamua kufanya kazi za muziki tu.

#KaribuMiniFestival ni jukwaa langu kubwa la kwanza kutumbuiza.
Nawashukuru sana kwa kweli maana juzi niliona watu wanaoelewa muziki Nnaofanya.

Nawaomba watoe nafasi zaidi kwa wanamuziki wa kike kuonesha uwezo wao"
Chikaya Buruya

#KaribuMusicFestival2017 November 03 - 05 #Bagamoyo
@karibumusicfestival FAHARI YA TANZANIA
Let Us Promote Our #Culture & #Music Together.
#TukutaneBagamoyo

Most Popular Instagram Hashtags