[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

ladynaaaa ladynaaaa

2,140 publicações   152,473 seguidores   1,484 seguindo

Lilian Alex  I'm a simple gal with a simple profile who like doing my own shit,along side my own busness.

Alofanya hivi mungu anamzoom nimecheka kwa sauti.

Kanyimbo kazuri balaa ila hii nyimbo angeimbwa mtoto wa mwanfulani tusingekunywa maji insta ingesimama tukatagiwa hadi basi sema team zari mshazoea haya mambo nyie kwenu niraha tupu nifuraha kwakwenda mbele Mrs manyamanya bado hukatajwa wheheheiiyaaa.

Heheheheheheh njooni tucheke wote I'm so happy to the fullest.

Itasaidia saana saana pia tukiachana na watu wenye nyota za gundu itasaidia sana sana ili tuendelee kushine. Jamani nimemkumbuka Nape.

Kumekucha kwetu tukiachana na gundu la Mrs nyamanyama naomba niongee kitu sifurahii nakinachoendelea nakufungia nyimbo za wasanii kiukweli machozi ya wasanii majonzi ya wasanii haitakiwi kusababishwa na serikali inatakiwa serikali ilete furaha kwao unaona hapo malaika alivokua anafuraha na anaipenda ccm kwakinachoendelea furaha kama iyo itakatika support ya wasanii itapungua nashauri tu serikali mngekaa makayamaliza msiwauzunishe wasanii maana sometimes ikifika wakati mtawaitaji kiukweli mimi ni ccm na naipenda sana, ila sipendi kuona watu wanaongea vibaya inaleta picha mbaya tussuport vya nyumbani .nanyie wasanii sikuzote mmekaa kimya mnamsubiri simba aongee ndo nanyie mpaze sauti you need to be together kama mnaonewa mnasema sio mnamsubiri mtu mmoja aongee ndo nanyie mfunguke. Tuifanye tanzania iwe ya amani jamani bendera yetu haina rangi nyekundu inamaana haijawai kumwaga damu let's not make this happen ,asikwambie mtu furaha na amani ndo kila kitu tusifanye hadi wasanii wakajisikia kukimbia nchi yao do something viongozi. Sema fat nawewe umeleta gundu mmxxuuu.

Muda bado upo wa mashambulizi lazima mkae nina sababu nyingi sana za kuwapenda team zari kwanza hawayumbishwi pili wanajielewa hawahamihami wako loyal yani I will die for them as long as wanaendelea kujielewa kule kwengine sasa hakujulikani team million 5 wapi na team minyama nyama wapi unabaki kusaajabu ya musa tu. Hebu tusherekee kwetu tunafanya yetu oyooooo.

Ok sasa niwakati wa burudani tupate tangazo kutoka kwa wazamini tukirudi ni bomu lingine kama nawaona mnavoingia chini ya uvungu wa kitanda. Heheheiiyaaa asley endelea kupiga kazi baba .

Kazi kazi London stand up postini picha zangu hadi za mwa 2000 ila habari ndo hiyo hatutoi kiki hehehehiiyaaa save the date .

Nimecheka jamani hadi natamani kunya unajua kuna watu wanatafuta kiki kwa pikipiki halafu limegoma hata ukipost ua la rangi ya damu ya mzee no one cares kabla zari hajapost ua la rangi yoyote nilikua sioni mtu yoyote akipost hata ua mmmxzuuuu halafu kuna mtu zamani alikua akifanya kitu kidogo tu dunia inasimama ila saivi amechina watu wanamchora tu anavohaingaika eti leo ndo anagundua kuna maua mekundu ovyooo. Halafu zari kashawaachia pambaneni na Mrs million5 mtu na dada yake kama nawaona mnavopigana vikumbo hahahahaha sisi kwetu raha no stress endelea kuhangaika ila kiukweli kiki limebuma vibaya hadi huruma. Team zari yenu macho nyie angalieni hili movie litakavo enda mwisho wasiku stering hauwawi labda movie za kihindi nakuja kuwanunulia porp cons sit back and watch time will tell . Nilijua shoga kabadirika kawa na akili za kufanya yake nikaanza kunfagiria kumbe anakiri za tembo bado maskini bora ukose pesa kuliko kukosa akili.

Tujiandae na mwezi wa saba

Kazi ni kazi mura.

Mtu na cousin yake wako home kwa compound wanafurahia hali ya hewa.

Hashtags mais populares do Instagram