ladynaaaa ladynaaaa

2,454 게시물   195,382 팔로워   1,480 팔로우

Lilian Alex  I'm a simple gal with a simple profile who like doing my own shit,along side my own busness.

Warembo kusherekea ni mwendo wa picha week nzima

Kila mtu was happy

Yani mnaopendo si kwa nyomi hiyo ya jmosi

About white party

Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru watu wangu wanguvu wooote walokuja kuhudhuruia na kusherekea zari all white party mmetoka mbali wengine mmetoka Belgium wengine america na sehem nyingine tofauti eaurope mkakata ticket kuja uk kusherekea siku na mrembo wetu halafu watu wa uk pia asanteni maana bila nyingi nisinge kamilisha mipango mmeacha kwenda makazini mkaja kukesha na sisi jamani asanteni sana tusubiri mwakani nshallah mana nasikia wanasema zari wamemburn kuja UK kitu ambacho nakishangaa hadi saivi ila majibu nikwamba tusubiri mwakani ndo tutajua mana ntamuona anapanda ndege tena kuja hapo ndo burn itakapokuja kujulikana asanteni saana ndugu zanguni upendo kwanza mengine baadae.

Happy birthday my queen hii ndo zawadi yako ya cake kutoka kwangu thanks for believing in me let's go at Rio basi and cut this cake mambo ni moto batarokota benyewe kunyaavu

U heard what she said come join her tonight.

Happy birthday mrembo today it's at Rio club oyoooi sisi kwetu nishangwe tuuuuu.

Tonight at Rio club things are happening it's Zari birthday .

Birthday arrangements jamani mambo nimotooo hukuuu Rio club on fire happy birthday zari

Happy birthday zari ndugu yangu shogangu afe beki afe kipa nakupenda hadi naumwa mungu akupe maisha marefu anyway let's meet at Rio club people tonight and cut the cake with our queen don't miss birthday week batarokota benyeweee kunyaavuuu

가장 인기있는 인스타그램 해시 태그