ladynaaaa ladynaaaa

2,340 posts   175,107 followers   1,485 followings

Lilian Alex  I'm a simple gal with a simple profile who like doing my own shit,along side my own busness.

Shishi baby kagoma khaaaa shishi waachie wao haya mambo yanaumiza kichwa

Tumekukumbuka birthday loading in the UK. @romyjons

Happy birthday my partner in crime I'm coming to ur house on thursday tubeele mukintu.

Happy birthday my friend long live may the good Lord give u strength and happiness in ur life u a good and supportive friend can't say more God bless u .Happy birthday. @nalika.s

Hongera mama kwa kupata mtoto wa kiume mungu awakuzie it's not easy after a long wait @paulmakonda hongera kaka mkubwa

Pale unavosikia diamond katangaza yuko free hana mwanamke nawewe ulitegemea akueke hadharani, sura unavotamani uifiche chini ya uvungu naseeb mungu anakuzoom.

Mmakonde wa kwanza kuzaliwa uk . Hahahahahha aaaaabhaaa kuna ntu na ntu lakini sio kila ntu.

Jamani maswali ni mengi kuusiana na zari white party I just want to let u know kwamba it's still gonna happen ila kuna vitu vichache namalizia kuviweka sawa so tarehe 14 will not be possible nimeisogeza mbele and I will keep u posted kuusiana na tarehe mpya ila party bado ipo we are gonna hit the road soon stay tunned anyways nawapenda. @zarithebosslady

Well said sepetunga nakupenda hapo tu kwa utu na ubinadamuu nakupa shahada yaliyopita sindwele tugange yajayo mimi mwenyewe kiukweli wema nimekupenda asante kwa kilakitu na alhamdulilah kilakitu kimeenda as planned maana mwanzoni sikueleweka ila nashukuru now people know what I was talking about amani itawale kwa wote tuwaombee wazazi wa Patrick mungu awatie nguvu it's not easy . Tuseme amina.

Innalillahi waimna ilaihi rajiuna pole sana muna pole aisee

Benten wake nani huyu eti? Niambie hapa chini.

Most Popular Instagram Hashtags