kinyurinyuri_fashion kinyurinyuri_fashion

60 posts   16,240 followers   6,379 followings

SAMEER THE GOLD  >GENIUS sameer ~~NAJIAMNI kuliko NENO lenyewe °°New life style ••KF°°COMPANY ••Davina )(Wastara)(Johari +255 TZ =DESIGN OF TZ = =MANAGER OF NANA GUM

Boss wangu narud muda si mrefu naumwa sana ila nitakuwa powa soon tu nakupenda mnoo dadaake @zuhurafashion

Nisiku tamu sana.Siku ya kijana machachari sana wakuitwa #Sameerhasaan Anaenda kufanya upumbavu siku ya Tarehe 25 pale SERENA HOTEL. Wakinywa na kusaza DINNER FRIENDS Akifurahi na kutabasamu na wenzie siku iyo. Km ww UPo Tunashindana #KUVAA KUWAKA siku iyo usikose. #KINYURINYURI Ndani ya SERENA HOTEL kutawaka Faya.... #serena #frend #kf #sameer #25 #unakosaje #smartboysameer

Nawatakia usiku wenye kheri km wangu Mimi good night wapendwa wangu ..... Asanteni mnao zidi kunisaport

Leo kazaliwa Boss wangu kichwa cha @azamtvtz sio mwingine @timothychelula Heli ya kuzaliwa boss wangu Nakutakia maisha marefu yenye furaha na Amani kwa ujumla namuomba mungu hakupe itaji la moyo na nguvu thabiti HAPPYBIRTHDAY Boss wangu @timothychelula

Smart Boy sameer ....Nimejifunza kuumia na Kufurah Leo hii siwezi kuumia tena nishazoea kwa sasa maumivu yananiogopa yenyeweee yani .....

Smart BOY in the world ....najiona km shujaa nilieweza kupona kwenye vita kari ya Mapanga sio ya Binduki ...

Wakati mwingine wapendanao inabidi watengane ili waone umuhim wakuwa Pamoja ........

Usicheze na mimi kwa sasa cheza na unaofanana Nao sio Mimi

Tukutane onAir kipindi tunasongesha mikoa hiyo kwa haraka na Faida ya kupata Taalifa muhimu na za kipekee kabisa karibuni sana....

Sponsor kutoka kwangu kuanzia sasa.....

Leo ni siku tamu kwangu na kwa wengine namuomba mungu anipe siku tamu kila siku km Hasari Leo nimejifunza mapenz yako kwa wazaz tu mtu baki Ana mapenz yatakayo mshinda mzaz .....

Jumaa Kareem ni siku nzuri sana Leo siku ya ijumaa na mvua inanyesha baraka kwa viumbe vyote vilivyokuwa Ardhini .....

Most Popular Instagram Hashtags