kiloriti kiloriti

564 posts   16,029 followers   902 followings

KILORITI  NewKing👑 🎤MUSICIAN from Tanzania RAGGA&DANCEHALL ARTIST. Recording& performing artist.#KABOOOOM watch my videoz on YouTube👇.. 👑

#party #party woyoooo..... #HAPPYBIRTHDAY #happyfathersday ... Kaboooooom... Club bengaaaa bengaaa.. Nyonga kituu tuleeee... Washa kitu tuleee .. Kata kekii waleeeee.... Kabooooom... #RealBadMan #Murder

#HAPPYBIRTHDAY KWANGU*
Leo kazaliwa Badman @KILORITI #New👑 Nijambo la kumshukuru Mungu maana Tunazidi kuona #Jua* likipanda na Kushuka.. #Tukilala* na #Kuamka* Hakuna chocho nilicho MPA Mungu zaidi ya Utukufu wake . Sasa basi nichukue hii nafasi kukukaribisha wewe Ulie #Ndugu/#Rafiki/na #shabiki wangu Kusherekea siku hii ya Kuzaliwa kwangu... Aksanteni sana🙏.... 🎂 #HappyBirthDay to ME*

#eidmubarak EID MUBARAK #GooDpeople... .. Mungu akawalinde na kuwaepusha mabaya yooote.. Akawatangulie popote pale muendapo na muwapo.. Akawape haja ya mioyo yenu na akadumishe #Amani na #Upendo katika familia zenu na Undugu pamoja na urafiki wenu.. #Amani ikatawale sasa na msherekee #sikukuu kwa Upendo Mmoja.. #Allah anawapenda sana #Amen

#DreamCheaser.. .. God Plan.. .. >16 is mi #BirthDay ...... Will you wish Mi.????????????????

#NewKing #Dancehall Ting... Africa>Tanzania ..... #masaiwarrior

Shida shigidii. . mazee .. Kama ndoto iviii.... Mtajua kazi ikishatoka wazee... Tanzania>Uganda >Africa... Mambo ni motooooo... @blackskinsooja1 @eno_beats_production @cindysanyu @naviomusic @jchameleon @iam19hrz @jettyman_hainamfano @hardmad_kidume_mkush @cocofinger @zizabafanaug @bosco_music @bignani.afrika .... Kwikwiiiiiii

Iyo Luga nilomalizia nilikuwa nanena kiroho .... Marapa Wa siku izi wananena kiroho na very soooon ntakuwa na mkalumani maana naona kama kunamiujiza ya Kunena kiroho sana... #NewKing #Murder

*NewKing👑* #CultureBwayy ... Di #RealBadMan KILO Mingimingi... Kabooooom.

Dey Know Mi.. BadMan.. Ukicheza na Kima utavuna Mabua & Na ukicheza za Muda Utavuna Umasikini... Maandiko yanasema Ombeni nanyi mtapewa&Bisheni nanyi mtafunguliwa ... Maana kila aombae atapata na kila Abishae atafunguliwa... Milango ipo wazi kwahiyo usikate tamaaa kwa Yale uyaombayo na uyatafutayo.. #MUNGU yuu pamoja nawe Ndugu/Rafiki na Mashabiki zangu kwa ujumla .. #GodOverEverything

Chalii ya R.. My City Chuga.. Msanii pekee Mwenye Roho ya kipekee kutoka Chugani..#CultureBwayy #masaiwarrior ............................. #RealBadMan #NewKing Of Dancehall Ting... My Africa Land

#BrandNewMusikAlert
#Umenibamba🎼 is officially out 🎶🔥🔥
Bofya hapa https://www.audiomack.com/song/mega-the-nice-dude/umenibamba kupakua/kusikiliza #MzikiMuri 🎵🎵🎵
Link kwa bio ya @megathenicedude
#ShareKwaWengine
#SupportYourOwn
#HatutokiKwenyeReli🔥🔥🔥 Infopowered by @megathenicedude.... See yaa @kim.naa fireeeee

Giv tanks 4life.... I lov mi life... #RealBadMan 4ever... Boooooom

Most Popular Instagram Hashtags