kiba_family1 kiba_family1

3 posts   440 followers   347 followings

kiba family 1 

Rock Stars Ndani Ya Dar @officialalikiba @ommydimpoz
#Tigofiesta2017 Tumekusoma

@Regrann from @hasmovich - Natoa pongezi za dhati kwa mheshimiwa Mwakyembe kwa kuchaguliwa kua Wazir wa Habari na Michezo.

Wizara inachangamoto nyingi lkn kwa uwezo uliokua nao pamoja na utendaji wako wa kazi tunaiman na wewe. Ya kwamba utafikisha tasnia yetu ya sanaa pale ambapo cc tunataka. Yan Tanzania ijulikane kimataifa kupitia michezo na mziki.

Lkn mheshimiwa kwa hili ulioanza nalo naona wazi kabisa hii wizara inaweza kua ngumu kwako.

1. UHURU WA VYOMBO VYA HABARI;- Kuna mambo mengi ambayo mengine sijajua lkn kubwa ni suala la Bashite ambalo hukuona umuhim wa kuanza nalo.

2. BUNGE LIVE :- Wananchi tumelia hakuna wa kusikiliza kiliochetu. Tunataka bunge live tuwasikilize wabunge wetu tuliowachagua jinsi wanavyowakilisha matatizo yetu kwa serikali yetu lkn hilo nalo hujaliona

3. KIBA na JABA :- Nimeshangazwa, mheshimiwa tunaomba uanze na Bunge live pamoja na uhuru wa vyombo vya habari. Kuhusu jaba na kiba achana navyo. Hakuna mtu aliewai kusema ana bif na mwenzie. We leo unatangaza kuwapatanisha waligombana lini. Na nan alisema hawa watu wamegombana na wanagombania nn. Je ulishawai kusikia mmoja wapo akisema anabif mwenzie HAPANA. Bas tunaomba bunge live na uhuru wa vyombo vya habari.

Mheshimiwa. Tunaomba utambue tu Kiba awezi kua na bif na matajiri. Kiba hawezi kua na bif na watu wanaokesha kumtukana yy pamoja na familia yake. Kiba awez kua na bif na msanii mwenye nyumba mia Tanzania na gofu moja SA. Kiba hawez kua na bif na watu wenye roho mbaya wanaomfanyia figisu kila kukicha kwenye mziki wake. Kiba hawez kua na bif na waliokua wakijifanya vilanja MTV. Kiba hawezi kua na bif mtu mwenye kinywa chenye urefu zaidi ya nchi 6. Kiba hawez kua na bif nao. Kwa hy mheshimiwa hawa watu hawajagombana. Tunaomba Bunge live na uhuru wa vyombo vya habari. Deal na bashite kwanza. - #regrann

Dada langu la kipaimala #mangebashitekimambi wayaaaa #AJEREMIX LINK ON MY BIO

Most Popular Instagram Hashtags