jumashibe jumashibe

590 posts   3285 followers   164 followings

Juma shibe  Actor/Director/writer Best actor coast film festival 2014 Best actor pwani celebrity 2015 Best actor Nzumari awards 2016 Watch my show realπŸ‘‡

https://youtu.be/aPmWKXiAsmw

I give not that I have much but I know how it means by having nothing ✌✌
#actorslife #actor #film #photo

Ikijaa haichunguliwi.... Tele taitsungurirwa

It's @nyota_tvdrama time.......alafu @mlelandro (Kito) hili beach lina wenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚tutapatana tuπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Pesa Sina basi hata maneno matamu yanishinde 😜😜😜😜@daudimichael_duma mapenzi hayataki kifua bro twende pole pole πŸ‘…πŸ‘…ubondia peleka chalinze
@rashey254
@nyota_tvdrama

Kwa uhondo kamili tukutane Azam two Saa moja na nusu usiku kwa tamthilia ya nyota
#filming #actorslife #scene #creativity #actor

Caren wangu😘😘😘 @esha.s.buheti @esha.s.buheti @esha.s.buheti

Dah leo nimeamka na kummiss huyu mtoto Wa kike @esha.s.buheti

Kuna tofauti ya kiu na njaa,kiu dawa yake ni kunywa maji na njaa dawa yake ni shibe tatizo ni kuwa maji yanaweza kukidhi njaa ila Shibe haiwezi kukidhi kiu.@rashey254
#nyota #Sally #omy #ashinerpictures #azamtwo #actorslife #bestactor #filming

Duniani hakuna certificate muhimu itakayokusaidia maishani kama certificate ya radhi za wazazi.

Ni habari njema kwa mashabiki wetu kote ulimwenguni Sasa unaweza kudownload app ya @azamtv ukichaguwa @azamtwo kuweza kuangalia tamthilia ya nyota ambayo inakujia kila ijumatatu hadi ijumaa Saa moja na nusu usiku.Ingia play store na udownload sahi kupata uhondo kamili popote ulipo, kupitia simu yako.
#nyota #ashinerpictures #actorslife #bestactor
@rashey254 bbz wangu

Most Popular Instagram Hashtags