[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

jongwe__ jongwe__

524 posts   162733 followers   249 followings

JONGWE  Started from the bottom now we here...

# Dinner time tonite @ Hotel Desderia # Southern hospitality...

@ Songwe International Airport leo nikiwasindikiza Mkiti na Katibu mkuu wa Bawacha Taifa baada ya mazishi ya Kamanda wetu Esther Mpwiniza jijini Mbeya jana....#MVMP #M-KK

# Tuendelee kumuombea Kamanda # Maombi yetu yanafanya kazi na Mungu anayapokea... #MVMP #M-KK

# R.I.P Mh Diwani Esther Mpwiniza kamanda wangu wa nguvu na dada yangu # Ni msiba mkubwa kwangu, Bawacha na Jiji la Mbeya...

# Big hommie arising... # God is the Greatest # Thank you Lord Jesus # We will prevail with Lissu...#DEIWAKA #JONGWE #MVMP #M-KK

Taarifa : Jana ilikuwa niende trip ya Kibunge nchini China pamoja na Wabunge wengine. Lakini nimechagua kutokwenda kwa kuwa mwenzetu Mh Tundu Lissu yuko kitandani hospitalini Nairobi baada ya kumiminiwa risasi kikatili na 'Watu wasiojulikana'. Nami naunga mkono kuitaka Serikali iruhusu uchunguzi wa Kimataifa kutoka vyombo kama FBI au Scotland Yard ili kuwatambua na kuwathibitisha waliohusika na kitendo hiki ili wawajibishwe for this senseless murder attempt # Na hao Wasiojulikana sasa wajulikane ...#JONGWE

# A nation in sorrow... # Beyond believe!

# Hotel Desderia # Southern hospitality # Now open...

# Hotel Desderia # Southern hospitality # Now open...

# Hotel Desderia # Southern hospitality # Now open...

# Wananiita kipusaa# Oooh pasua kichwaaa.... #JONGWE #SEDUSEME#

Most Popular Instagram Hashtags