[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

j4cinyo j4cinyo

1172 posts   2512 followers   331 followings

#We "A" (J4C)  #MrAtown #VideoDirector (J4CFilmS) #CnaMuda - #MtotoWaMungu Email : j4cinyo@gmail.com #Kanibariki Official Music Video

https://www.youtube.com/watch?v=2tWJfh8VwRI&t=59s

#FullVideo Link Kwenye Bio Yangu Hapo Juu

#Namtazama Mama .. Mama Mzazi
Namtazamani Hana Amani Jay Sina Kazi
Majukumu Daily Yako Shazi Nakomaa Nitoboe Kwenye Mitikasi
Nina Wewe Sina Wasi Wasi
Navyocross Hyo Jana Kama MwendoKasi
Umenipinya Mimi Na Mikosi
Umenishika Siku Zote Hukusema Basi

#KANIBARIKI

Ndoto Imekua Alive Siku Yote Niko Love Life
Msela Siko Ruff Life
Home Nina Wife
Mamaake Jahmon King
Ma Beautiful Thing
M Gonna Through a Ring
Tuzifanye Ndoto Zetu Ziwe Kweli We
Unavyotaka Ndo Navyotaka Ni Kuwa Na Wewe
Nahitaji Kuwa Nanyi Bby Nisiwe Mwenyewe
Mahitaji Yako Yote Bby Nami Nijivunie
Ni Kware Mara Zote Bby Unitulizee

Nikutuze Wewe , Turuke Kama Mwewe
Kwangu Uko Mwenyewe
Bby Nipe Mchele , Unifinyie Kwa Mbele

Njoo Juu Juu
Njoo Juu Juu , Ni full Mpaka Mbulu
Mbulu Kwa Mama Lulu, Tunapiga Mululu
Tukipiga Na Nduru , Kwa Neema Tupo Huru
Kwa Neema Tuna Nuru
Ashukuruwe Mungu (Ndoto Imekua alive Siku Yote Niko Love Life , Msela Siko Ruff life , Home Nina Wife
Mama Yake JahmonKing , Ma Beautiful thing)

#KANIBARIKI

#KANIBARIKI
Pamoja Na #Chuki Kubwa #RohoMbaya #Wivu Tunayokutana Nayo .. Ila Bado Kuna Watu Mungu Anawaleta Kututia Moyo

Huu Ni Mwanzo Tuu.. nitashusha Mangoma Mpaka #Kieleweke .. Kitu Pekee Mziki WangU Unachokosa Ni Platform And Niko Tayari Kupambania Hili.. Kwa Sababu Kila Aliyepata Nafasi Ya Kunisikia Anajua Nina Kitu.. I Just Nid Time

#GodBless Ma #Hustle #Thank 4 The Love And Support Kwa Ww Uliyesupport Hyo Kazi Yangu Kwa Namna Moja Ama Nyingine #Blessd

#Na Kama Ww Ni Wale Kwenye Chuki Fitina Na #RohoMbaya #FungaMkanda Masta.. #NdoNimeanzaa

#MtotoWaMungu

#Thanx4TheLove #Bro
#SupportUrOwn
#BongeUmetisha @gnakowarawara

#Repost @gnakowarawara (@get_repost)
・・・
Song Title : Kanibariki
Performing By @J4cinyo

#Bonyeza https://www.youtube.com/watch?v=2tWJfh8VwRI&t=59s
Ama Link Kwenye Bio Ya @j4cinyo #Kuitazama

Audio By @defxtro #Noizmekah
Video Directed By @j4cinyo

Most Popular Instagram Hashtags