imma_tz imma_tz

20 posts   11,443 followers   134 followings

immatz  KARIBU KWENYE UKURASA HUU Habari Mahusiano| Ndoa|Ushauri Go Follow @imma_tz @imma_tz

Kama huna mtoto na unatamani kupata mtoto comment “AMEN” hapa Mungu akufanyie muujiza wiki hii Amen 🙏

Kamwe hakuna, hayupo na hatokuwepo MWANAUME mkorofi, mtundu na mjeuri mbele ya MWANAMKE mnyenyekevu, mwenye heshima na mtiifu.

Huenda mambo yako hayajakwenda sawa kwa miezi iliyopita iwe kimahusiano au kiuchumi. Ila hilo lisikuumize na kukusononesha. Mungu anazo opportunity nyingine nyingi mbele yako kwa siku zijazo.Tegemea kuona baraka zake kwa namna mpya, jiandae kupokea baraka hizo na kutimiza malengo yako yote uliyonayo. Unachotakiwa kufanya ni kuzidi kumuomba Mungu, kuwa na matumaini na kuwa na mawazo chanya juu ya maisha yako. Mungu anatengeneza njia kwa ajili yako. He alone is God!!! .

Mapenzi, mahusiano na ndoa ni kitovu cha maisha ya mwanadamu mwenye umri
wa miaka 16 mpaka 35
Dada kafika #kanisani anamsubiri mwenza wafunge pingu za maisha. Inamjia taarifa kuwa bwana kafumaniwa ugoni na binti wa huyo bibi harusi.
.

#TafakariWapiTutaziwekaSuraZetu

YES OR NO! .

Cc @imma_tz @imma_tz

Chagueni kupendana hata kama mtakua mnapitia kipindi kigumu kiasi gani, upendo wenu usio na shaka utawafanya muweze kukabiliana na kila aina ya changamoto itakayowakumba.

Ni nadra sana kumpata mwenza wa mawazo au ndoto zako, ila ukimpata muonyeshe kwamba alipo alistahili kuwepo na amefika.

Mabinti Tusiowapenda Wana Uwezekano Wa Kubeba Mimba Zetu, Mabinti Tunaowapenda Na Kuwanyenyekea Wana Uwezekano Wa Kutubambikizia Mimba
.

True Or False?

Muda mwingine ili tupige hatua katika maisha ni lazima tujitenge na baadhi ya watu. "PROGRESS requires SEPARATION.
Hauwezi kufika At the top au kilele cha mafanikio wakati bado unajichanganya na wanafiki, wambea, drama queens, wasaliti, slay queens, haters na low thinkers.

Maisha ni mafupi mno kuishi na watu wanaokuvuta uzidi kuwa chini. Kama Girlfriend wako au boyfriend wako haonyeshi jitihada zozote za;

1. Kukufanya uwe bora zaidi
2. Kukufanya uzidi kuwa smart
3. Hatambui mchango wako
4. Hakusogezi kwa Mungu

MWACHE AENDE... Hauwezi kupanda kuelekea kilele cha Mlima Kilimanjaro huku ukivuta lorry la tani 1000. .
Cc@imma_tz @imma_tz

Neno gani linaumiza zaidi kutoka kwa mpenzi wako unaempenda kwa dhati kati ya haya:-
.
.
1. Tuachane,
2. Sikutaki tena,
3. Nimepata mwngne,
4. Mbona king'ang'anizi wewe?,
5. Sikupendi,
6. Wazazi wangu hawakutaki,
7. Siwezi kuwa na wewe,
8. Kwako nilikosea njia tu,
9. Huna mvuto naona aibu,
10. Najuta kuwa na ww,
11. Huwezi kunihudumia fuata wajinga wenzio,
12. Wewe sio type yangu,
13. Dini zetu ni tofauti hivyo siwezi kuwa nawe...
.
.
FUNGUKA HAPA NDUGU ZANGU

TENDO LA NDOA.

UNAZINGATIA MAMBO GANI YA MSINGI WEWE NA MPENZI WAKO KABLA YA KUANZA KUPEANA UTAMU. -Usafi
-mood
-Romance
-Maneno Matamu.
-Kudekezana.
-Kuepuka Kuongelea Yatakayo Mkasirisha Mwenzako.
-Ucheshi.
-Upendo.
-Upole.

Ongeza Unachozingatia Ili Kufurahishana Zaidi.

Morning

Most Popular Instagram Hashtags